MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Acha utani....
[/uQUOTE]![]()
.... Yote haya ni uumbaji wa Mola unajua kama wasingekuwepo watu kama Le Mutuz aka. Le Bilionea, Le Big Show humu duniani watu tungekosa raha jamani so mwacheni tu huyu mtu asiyekua aendelee kuburudisha na kutuondolea ma-stress ya maisha... ha ha ha Le Mburulazz Le Bilionea you know.. a Love It