Acha utani....
[/uQUOTE]
.... Yote haya ni uumbaji wa Mola unajua kama wasingekuwepo watu kama Le Mutuz aka. Le Bilionea, Le Big Show humu duniani watu tungekosa raha jamani so mwacheni tu huyu mtu asiyekua aendelee kuburudisha na kutuondolea ma-stress ya maisha... ha ha ha Le Mburulazz Le Bilionea you know.. a Love It
Hahahaha.... Yote haya ni uumbaji wa Mola unajua kama wasingekuwepo watu kama Le Mutuz aka. Le Bilionea, Le Big Show humu duniani watu tungekosa raha jamani so mwacheni tu huyu mtu asiyekua aendelee kuburudisha na kutuondolea ma-stress ya maisha... ha ha ha Le Bilionea you know.. a Love It
Hivi kuna mtoto wa mzee Malecela aliyefuata nyayo zake kwenye ulingo wa siasa kweli!
View attachment 191021
Hiyo number 1 kwenye UZOEFU sio mchezo!
Jamaniiiiii....huyu mbabu ni shidaaaah....lol
Hahahahaha uzee mwisho chalinze ...sukari ya warembo
Hahahahaha uzee mwisho chalinze ...sukari ya warembo
Sema ukwelii mi sipendi mwanamke yeyote amkumbatie au kumbusu msukuma wangu, mke wa lemutuz super baharia ana kaziiii asiwe na wivu
HahahaHahahaaaa...uwiiii mbavu zangu...
Yani hawa watoto wanavyomchezea babu yaoooo...ona alivyoweka midomo jamaniii......lol
Hahaha
Sio babu wewe sukari ya warembo!
Hahahaaaa...uwiiii mbavu zangu...
Yani hawa watoto wanavyomchezea babu yaoooo...ona alivyoweka midomo jamaniii......lol
si haki kabisa kulinganisha na turubai...
Mhh...basi hii sukari ya mawee.....hahahaaa
Wanamuona kuku wa kuchorwa masikini......hawiki, hatagi, hadonoi...
Hiyo number 1 kwenye UZOEFU sio mchezo!