Instagram Party Tanzania Tour 2014 Mwanza Waandika Historia Watu 5,000 Wajitokeza Jembe ni Jembe



Hiyo number 1 kwenye UZOEFU sio mchezo!



Huyu mtu ni timing bomb about to explode. Many people wanamuita kubwa jinga au kwa jina jipya alilonalo kwa sasa ni "Msaliti." You can never trust him for ni mbea kinoma.
 
Watu ambao wanategemewa kama wazazi kuwalea na kuwapa muongozo vijana ndio hao hao wanashiriki kuwajaza ujinga vijana na kuwapoteza.

Instagram iwe na party tangu lini kama si kuzidi kuwatia ufukara Watanzania maskini ambao ndio wateja wa huu ujinga ujinga.
 
Huyu mtu ni timing bomb about to explode. Many people wanamuita kubwa jinga au kwa jina jipya alilonalo kwa sasa ni "Msaliti." You can never trust him for ni mbea kinoma.

Ha ha ha....!
Le Mutuz ana Diploma ya Engineer wa Meli....
Kama vipiz Bongo mjipange. Muanzishe Diplomaz zitakazozalisha Mainjiniaz
 
Katika potapita instagram nikakutana na hii....




Huyu mtu ni timing bomb about to explode. Many people wanamuita kubwa jinga au kwa jina jipya alilonalo kwa sasa ni "Msaliti." You can never trust him for ni mbea kinoma.

Le mutuz usinishambulie nawasilisha tu nilichokiona
 

Attachments

  • 1412668059270.jpg
    59.4 KB · Views: 209
Le mkareez katupia uzi afu kautelekeza, naona bado atakuwa anakula mavuno ya Insta Party

Yupo anasikilizia kwanza watu wanavomponda, page zikifika 8 ataingia kuanza kutema pumba zake kama kawa
 



Swali la kizushi.... Zona faida gani kwa washiriki??

Naona nyuso za wengi hapo ni watu duni sana
 
Ndo akili za ndugu zetu hizo...

90% ya maisha yao ni starehe na kupiga soga tuu

Halafu anayeshabikia ujinga huu licha ya kwamba anaingiza pesa kwa kuwatumia vijana mafukara wa mali hadi akili lakini ndani ya chama chake amepewa dhamana kama mzazi, sijui kama anajuwa hata jumuiya wazazi kazi zake ni nini hasa!?
 
Halafu anayeshabikia ujinga huu licha ya kwamba anaingiza pesa kwa kuwatumia vijana mafukara wa mali hadi akili lakini ndani ya chama chake amepewa dhamana kama mzazi, sijui kama anajuwa hata jumuiya wazazi kazi zake ni nini hasa!?

Asilimia kubwa ya watu na viongozi waliopo kwenye hiyo jumuia ni duni na hopeless mno....

Ndo maana kuna kipindi JK aliwahi pendekeza ifutwe tu ndani ya chama kwakuwa haina tija...

Wapo kwenye uangalizi hao sasa watu Kama akina Lemutuz ndo think tank zao sijui Kama itakua na uhai...

Kwa umri Wa lemutuz licha ya kuwa kiongozi huwezi shabikia upuuzi Kama huo....
 

Hapo nakubaliana na wewe, kabla ya shule za kata na Private school tulitegemea shule za jumuiya ya wazazi kwa ajili ya vijana ambao hawakuchaguliwa kwenda secondary shule za serikali, sasa kwa jumuiya hii kuwa chini ya wav hopeless kama Bulembo na Le Mutuz watauwa hata hizi shule ambazo zilijengwa na kina Marehemu Chibwae, Mzee Jongo na wengineo, maana swala la wao kujenga walahu shule moja sahau wanawaza beach party tu.
 

Tena huyo Bulembo simpendiiiii, aligombea udiwani huku kwetu watu wakamlia hela halafu wakampiga chini...Akashinda Diwani wetu wa chadema, yani alivyokuwa na laana kaenda kumtengenezea zengwe diwani wetu hadi leo hakai ofisini...Simpendi ana mashauzi tena naomba 2015 aje tena tumuonyeshe kuwa watu hatuangalii chama tunaangalia mtu ziliyemtimia kichwani....

Sijui huko umoja wa wazazi wanachaguana kwa vigezo gani...
 

Naona hiyo jumuiya ivunjwe tu maana mpaka sasa tukiwaambia wamefanya nini kama jumuiya kusimama,kuibua miradi mipya na ile ya zamani iwe endelevu.Sidhani kama wana majibu.
 
Naomba na Dar mfanye nyingine tena kuubwa ya kufungia mwaka

- Mkuu worry not, tunaenda Mbeya, Iringa, Dodoma, Morogoro and then Dar Nov 1 itakuwa VIP tu at Golden Jubilee and then Boxing Day Dar tutakuwa kwenye ukumbi wa $10,000 wa Mlimani City kumaliza Mwaka so stay tuned!!

Le Big Show
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…