Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Acha utani....
![]()
![]()
Hahahahahahahahaha
Daaa hili gari limenifanya nicheke sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha utani....
![]()
![]()
Jamani kweli mapenzi hayana mwenyewe...mwili wote ule na yeye anapenda?
Hii itakua xxxxxxxxl special order kwa hisani ya wazee sugu
Hahahaha mapenzi hayana mwili we we Lemutuz ni sukari ya warembo
Lemutuz atakukamata akiona unatia huruma ana kusamehe
Ina maana ali invest million 40!
Baada ya Siasa kumshinda sio?Lemutuz ni Celebrity pekee wa kitanzania ambaye amehamua kulitumia jukwaa la Celebrity!
Jamaniiiiii....huyu mbabu ni shidaaaah....lol
Ndio mkuu kateketeza mill 40 apate mill 100.. This is according to him
Kwahiyo anaitwa afande lemutuz au?
Hahahaha huyo ndio sukari ya warembo bhana
Nikiangaliaga hii picha na ukubwa wa huyu jamaa huwa na hamu sana kumuona akiwa amekasirika kama huwa anachange!
![]()
HahahaHahahaaa wajukuu wanacheza na babu yao...
Hahahaha Sidhani kama huwa anachukia
Huwa inamuuma sana lakini sasa kule kwenye GOOGLE hawezi kuidelete!Hahahaha Sidhani kama huwa anachukia
Le baharia hanaga nyodo kabisa, ukimjia kishari atakujibu kishari ila hawezi kukutukana kamwe.
Huwa inamuuma sana lakini sasa kule kwenye GOOGLE hawezi kuidelete!