Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.

Nifah

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2014
Posts
34,020
Reaction score
79,098
Hali si hali,balaa tupu Instagram kumechafuka ndani ya dakika 20 alizozitoa Super Star kutoka Nigeria Teknomiles hazijatosha kwani comments za wadau wa umbea zimefika 1000 na zaidi!

Yote haya yalianza baada ya mwanamuziki huyo (yes ni mwanamuziki na sio msanii) kuja nchini kwenye tamasha la muziki la siku ya kuamkia mwaka mpya tarehe 31 Alhamis iliyopita,sasa wadada wa mujini kama kawaida yao kila mmoja akataka kulala na Star huyo (what a shame).

Vita kubwa ilikuwa kati ya Lulu na Gigy Money (mwanadada anayetafuta umaarufu kwa nguvu mjini hapa)

Leo mchana huu mwamuziki huyo kutoka Nigeria katuacha midomo wazi kwa alichopost Instagram kama ifuatavyo....
Cha kujiuliza ni nani kamfundisha kiswahili tena kilichonyooka namna hii?
Tuliowahi tumescreen shot,jioneeni wenyewe....
 
Last edited by a moderator:


Duuuh ,haya ya mujini
 
Yeeeeeew Ooooome!!!!! Sijui nimepatia kushangaa kinaijeria???
 
Kuna ameumbuka hapa. Huyu gigy hovyo kabisa
 
Aibuuu ya kufungulia mwaka kwakee huyo mdada daaah
 
Huyo LULU aliyesifiwa ni LULU yupi?
 
Mjini mambo yake mazito,leo Gigy kakanwa na Tekno hadharani tena kamuita malaya aliyelala na meneja wake.
Nimejisikia aibu sana.
huyo gigy huko alipo sijui atajisikiaje,kuitwa malaya mmh,ila swali je nani aliyemfundisha tekno kiswahili? hata kama huyo tekno inabid tumnyooshe adabu haiwezekani hatudhalilishie dada yetu hata kama ni malaya , mbwa huyo kumanina zake si anajifanya anashoboka kwa lulu, ngoja amuue ndo ashike adabu
 
Ni hela wanatafuta au ile prestige tu kwamba nimetembea na flani?Icho kiswahili anaeza akawa katumiwa na mbongo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…