Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ka ulikua kichwani kwangu binamu nimewaza hivyo hivyo ila ni ujinga tu waaaaaiiiiiiHuyo atakuwa Lulu kamtumia hivyo vichambo,haiwezekani Tekno aandike Kiswahili kilichonyooka kuliko mie Mtanzania.
Hao itakua wameanza uhusiano muda tekno ndo kaja kuzindua mwaka mapajani kwa lulu make naona anampost mara kwa mara.....uuuh sijui aliemvalisha ile Pete ya uchumba nani au tecno aliituma DHL lulu akapokea akavaa lol99% Lulu kaliwa na Tekno,na alivyomganda ni shiiidah.
Hadi nywele katengeneza kwa kuiga stlyle na model wa kwenye video ya Duro!
Na watu wangekua wanabaki na alphabet za wanaume walizotembea nazo, kuna watu nyuso zao zingekua na A to Z.Tamaa mbaya jamani.Huyo atakuwa Lulu kamtumia hivyo vichambo,haiwezekani Tekno aandike Kiswahili kilichonyooka kuliko mie Mtanzania.
WekaMbona haifunguki jamani
Mjin form six kwel...99% Lulu kaliwa na Tekno,na alivyomganda ni shiiidah.
Hadi nywele katengeneza kwa kuiga stlyle na model wa kwenye video ya Duro!
Linapokuja swala la kuwakirimu wageni,mabinti wa kitanzania wako vizuri sana..Hongera Lulu Michael kwa kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania
Hivi angekuja yule dogo aliyeimba Godwin na now yuko na ngoma nyingine inaitwa romantic si ndo wangembakia pale airport???Zaidi ya aibu!
Imefikia mahali watu maarufu wakija tz wanawaza papuchi za bure kuliko wanavyofuata.
Ref. Mboni Masimba na Etoo + Fally Ipupa.
Mkuu,kwani huyo gigy hajiuzi???tofauti ni kwamba yeye unampigia simu unamuita ulipo na dau lako!Halafu hiyo post imeandikwa na mbongo kabisa. .unaweza kuta aliyeandika ni huyo aliyepewa credit(Lulu)
Duu lakini wanawake wa kibongo hasa wanao jiita mastar wanapenda sa kujidhalilisha hawana tofauti na watu wanao jiuza!
Hivi huyo Gigy money ana tofauti gani na wale wanao jipanga barabarani?
Hao itakua wameanza uhusiano muda tekno ndo kaja kuzindua mwaka mapajani kwa lulu make naona anampost mara kwa mara.....uuuh sijui aliemvalisha ile Pete ya uchumba nani au tecno aliituma DHL[ /color]lulu akapokea akavaa lol
Mkuu sifahamuMkuu,kwani huyo gigy hajiuzi???
Hivi angekuja yule dogo aliyeimba Godwin na now yuko na ngoma nyingine inaitwa romantic si ndo wangembakia pale airport???