Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipatie simu yakeMkuu,kwani huyo gigy hajiuzi???tofauti ni kwamba yeye unampigia simu unamuita ulipo na dau lako!
Hahahahahaa uwiiiiiii nacheka kama chizi leo hadi watu wananishangaa.Hao itakua wameanza uhusiano muda tekno ndo kaja kuzindua mwaka mapajani kwa lulu make naona anampost mara kwa mara.....uuuh sijui aliemvalisha ile Pete ya uchumba nani au tecno aliituma DHL lulu akapokea akavaa lol
Uwiiiiiii hivi nyie watu leo mmeniamulia au?Hivi angekuja yule dogo aliyeimba Godwin na now yuko na ngoma nyingine inaitwa romantic si ndo wangembakia pale airport???
Mtake radhi asee Warumi dume tena la haja voooMi ningepata ya sister Warumi ningeburudika sana, maana anahabari motomoto na anawafahamu watu balaa , kama ana PHD vile ya kuwafahamu watu
Mkuu umenichekesha sana na mwanao sikujua...Sisi ambao tunaishi shamba hata hatuelewi haya.. wala hao unaowataja hatuwajui.. mimi na mwanangu "Sikujua" basi.. nafikiria tu jioni nimnunulie "Big Bom" yake, nimelala, nimeamka.. siku zinaenda!
Ewoooooo my chudron this is an abomination ooooohhhh!!!!!! Ewoooooo!!!!! HahahahaaaaaaaaChineke oooohhhh!!!!
This is an abomination
I miss u christine ibrahimMbona haifunguki jamani
Sijui kama yuko na makaka wanajiskiaje muda huu...Huyu Gigy anaongoza kwa kujidhalilisha utafikiri hana wazazi au anaishi msituni