Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
Hao itakua wameanza uhusiano muda tekno ndo kaja kuzindua mwaka mapajani kwa lulu make naona anampost mara kwa mara.....uuuh sijui aliemvalisha ile Pete ya uchumba nani au tecno aliituma DHL lulu akapokea akavaa lol
Hahahahahaa uwiiiiiii nacheka kama chizi leo hadi watu wananishangaa.
Eti katumiwa pete kwa DHL....lol
 
1451917821560.jpg
 
Inamaana hapa alikua ananuka bao la meneja


gigy_money_2015-12-31_18-49-27_zpsarcwtzqt.jpg


Lakini bora HUAWEI kamaliza ubishi,maana watu walisema gigy ameshugulikiwa na DILDO


gigy_money_2015-12-31_19-34-14_zpsfht8rxkd.jpg




Kwaiyo hizi picha meneja ndo alikua mpiga picha???!!baada ya kula mzigo


gigy_money_2016-01-04_00-09-03_zpsmq5vdbnl.jpg
 
Hivi angekuja yule dogo aliyeimba Godwin na now yuko na ngoma nyingine inaitwa romantic si ndo wangembakia pale airport???
Uwiiiiiii hivi nyie watu leo mmeniamulia au?
Ngoja nitoke huku maana nacheka kama chizi hadi kichwa kinauma.
 
Mi ningepata ya sister Warumi ningeburudika sana, maana anahabari motomoto na anawafahamu watu balaa , kama ana PHD vile ya kuwafahamu watu
Mtake radhi asee Warumi dume tena la haja vooo
 
Sisi ambao tunaishi shamba hata hatuelewi haya.. wala hao unaowataja hatuwajui.. mimi na mwanangu "Sikujua" basi.. nafikiria tu jioni nimnunulie "Big Bom" yake, nimelala, nimeamka.. siku zinaenda!
Mkuu umenichekesha sana na mwanao sikujua...
 
Huyu Gigy anaongoza kwa kujidhalilisha utafikiri hana wazazi au anaishi msituni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom