Mbona Masogange alishamuwahi huyo...haukuiona hiyo?
Kwa w labda awe amesinzia.
Mbna umeanza na jambo la maana vip nifahMhhhhh hebu nicheki kama una jambo la maana.
Na iwe hivyo mkuu...Hapana mkuu,kwa dini yangu huo mtandao sipaswi kuutatua marinda ila naskia mastaa wanautoa kushindana kibiashara na watoto mchelemchele!!
Kumbe eeehh..Hahahahaaa huenda aisee,huko PM kuna mambo sana.
Hiyo niliipata, tekno na davido si wamepita wote kwa masogange, ila davido bado anakula kishkaji akienda South..
Mkuu soma haka kaparagraph kwanzaAnachokifanya Giggy ni kielelezo cha wanachofanya mabinti wengi wa mjini tofauti ni plat form ambazo wanatumia wakati Giggy and the like wako busy kwenye social networks wengine wako uku mtaani na ma-ofisini wanapambana kama Giggy tu.
Tekno ni mjanja sana toka kaja Tz alijipanga ku-create stunts ndio maana wadada kwa wehu wakaingia kwenye mtego wake alijua dada zetu wana ubongo wa kuku alafu ajabu ni kwamba Giggy anachekwa wakati Lulu anasifiwa duh utagundua ni janga kiasi gani.
Nah hard feelings tho'
Nashindwa kuimagine dada zetu hawa mastar wa bongo wanavyotembea na maringo kibao na smtymz hata salamu hawatoi kumbe washatoa mtandao pendwa daaaahKama wengi walivyoongelea humu hiibtabianya kushindwa kusoma na kuona miili yao ndio itawalipa itaaribu watoto wengi sana wa nchi yetu...sababu kubwa klni kufagiliwa kuonekana kama ni mastaa kila kona..wanaweza fanya yao ila ni hapo mzazi na kumwangalia mwanawe ndio muhimu zaidi kwa maisha ya Tanzania.
Pole sana... Nikijaribu kuhisisha hizi Likes 180+ na Mambo ya PM naona ni kwa jinsi gani unapata shida...Hahahahaaa wewe nae mbea?
Mimi nasikiaga tu mkuu,sina uhakika na hilo.
Wasemavyo watu mkuu!!!watoto mchelemchele wameongezeka sana sijui tatizo nini😕Inaonekana unajua mengi sana mkuu.
Nashindwa kuimagine dada zetu hawa mastar wa bongo wanavyotembea na maringo kibao na smtymz hata salamu hawatoi kumbe washatoa mtandao pendwa daaaah
Inashangaza sana.Sasa hawa wasanii baada ya kupiga collaboration na kina richmacoko belle9 wanapiga collaboration na hawa wadada kama gig na agness Tanzania bwana
Pesa ina thamani kuliko mwanamke halafu huyu itakuwa watu wanapiga mitandao yote bila shaka