Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
teh teh teh teh

Si kweli, namtahadharisha tu... Kwahiyo unataka kusema wanaopenda wakiona hivo anazama PM kabisa kwenda kusaka huduma au??

Mkuu lukesam njoo utusaidie hapa..
Hahahahaaa huenda aisee,huko PM kuna mambo sana.
 
Hapana mkuu,kwa dini yangu huo mtandao sipaswi kuutatua marinda ila naskia mastaa wanautoa kushindana kibiashara na watoto mchelemchele!!
Inaonekana unajua mengi sana mkuu.
 
Hiyo niliipata, tekno na davido si wamepita wote kwa masogange, ila davido bado anakula kishkaji akienda South..

Kama wengi walivyoongelea humu hiibtabianya kushindwa kusoma na kuona miili yao ndio itawalipa itaaribu watoto wengi sana wa nchi yetu...sababu kubwa klni kufagiliwa kuonekana kama ni mastaa kila kona..wanaweza fanya yao ila ni hapo mzazi na kumwangalia mwanawe ndio muhimu zaidi kwa maisha ya Tanzania.
 
Anachokifanya Giggy ni kielelezo cha wanachofanya mabinti wengi wa mjini tofauti ni plat form ambazo wanatumia wakati Giggy and the like wako busy kwenye social networks wengine wako uku mtaani na ma-ofisini wanapambana kama Giggy tu.
Tekno ni mjanja sana toka kaja Tz alijipanga ku-create stunts ndio maana wadada kwa wehu wakaingia kwenye mtego wake alijua dada zetu wana ubongo wa kuku alafu ajabu ni kwamba Giggy anachekwa wakati Lulu anasifiwa duh utagundua ni janga kiasi gani.
Nah hard feelings tho'
Mkuu soma haka kaparagraph kwanza

"SAPs policies reflect the neo-liberal ideology that drives globalization. They aim to achieve long-term or accelerated economic growth in poorer countries by restructuring the economy and reducing government intervention. SAPs policies include currency devaluation, managed balance of payments, reduction of government services through public spending cuts/budget deficit cuts, reducing tax on high earners, reducing inflation, wage suppression, privatization, lower tariffs on imports and tighter monetary policy, increased free trade, cuts in social spending, and business deregulation. Governments are also encouraged or forced to reduce their role in the economy by privatizing state-owned industries, including the health sector, and opening up their economies to foreign competition." C& P

Sasa sisi nchi kama nchi wala hayo mambo ya msingi hatuyajali, wala hatuna plan zozote za wapi tunataka tuwe miaka 20 ijayo, sisi sifa yetu kubwa ni kujenga barabara mbovu na kufanya maigizo kwenye siasa.. Elimu tumeitupa nayo tunaiendesha kisiasa siasa, nchi hatujui tuko wapi wala wapi tunaenda... Utandawazi umetuzidi nguvu (Umekuja wakati bado elimu yetu ni duni) ndio maana kila kijana sasa anataka amiliki Iphone 6s, anataka apost kwenye social networks anakula Lunch Hyatt Regency, atataka akishakaribia angalau 25 awe tayari ana hata IST, lakini hapohapo hana kazi ya msingi wala elimu hana... Hana njia nyingine ya kupata hizo pesa zaidi ya huo umalaya wanaoufanya... Nchi kama nchi tumepotea, mambo ya msingi tumeyaacha kila kiongozi anapigania ulinzi wake na watoto na wajukuu wake...
 
Kama wengi walivyoongelea humu hiibtabianya kushindwa kusoma na kuona miili yao ndio itawalipa itaaribu watoto wengi sana wa nchi yetu...sababu kubwa klni kufagiliwa kuonekana kama ni mastaa kila kona..wanaweza fanya yao ila ni hapo mzazi na kumwangalia mwanawe ndio muhimu zaidi kwa maisha ya Tanzania.
Nashindwa kuimagine dada zetu hawa mastar wa bongo wanavyotembea na maringo kibao na smtymz hata salamu hawatoi kumbe washatoa mtandao pendwa daaaah
 
Hahahahaaa wewe nae mbea?
Mimi nasikiaga tu mkuu,sina uhakika na hilo.
Pole sana... Nikijaribu kuhisisha hizi Likes 180+ na Mambo ya PM naona ni kwa jinsi gani unapata shida...
 
Nashindwa kuimagine dada zetu hawa mastar wa bongo wanavyotembea na maringo kibao na smtymz hata salamu hawatoi kumbe washatoa mtandao pendwa daaaah

Aagh sasa ungemuona huyu gigy sijui wa wapi angelala nae kweli basi hata picha za Tekno akiwa uc.hi angerusha na kuficha mabaya watu wajue alimuona bila nguo mwilini.

Hata za kuvizia wakiwa wamekumbatiana au ndani ya mashuka lazima angerusha.

Tabia zao watu wakiwa kama wengine sie kuzipondea watajitambua na kufanya biashara zao kimya kimya wanatia kichefu chefu.
 
Haya hayaaaaa Lulu nae kajibu mapigo,ni muendelezo wa vita.
Na habari zilizopo chini ya kapeti zinasema Lulu aliiba passwords za Tekno,so leo mchana ni mkono wa Lulu ule.
Ndio maana kapost hivi kujihami...
 

Attachments

  • 1451973825962.jpg
    1451973825962.jpg
    52.6 KB · Views: 42
  • 1451973856246.jpg
    1451973856246.jpg
    70.2 KB · Views: 47
  • 1451973872259.jpg
    1451973872259.jpg
    68.2 KB · Views: 37
Wasemavyo watu mkuu!!!watoto mchelemchele wameongezeka sana sijui tatizo nini😕
Ukiona bidhaa imeongezeka sokoni ujue walaji wengi,watu wanachangamkia fursa.
 
Pole sana... Nikijaribu kuhisisha hizi Likes 180+ na Mambo ya PM naona ni kwa jinsi gani unapata shida...
Mhhhhhhh,kikubwa kujitambua tu.
Haya mambo ukiyaendekeza ndio utapata shida.
 
Sasa hawa wasanii baada ya kupiga collaboration na kina richmacoko belle9 wanapiga collaboration na hawa wadada kama gig na agness Tanzania bwana
Pesa ina thamani kuliko mwanamke halafu huyu itakuwa watu wanapiga mitandao yote bila shaka
 
Sasa hawa wasanii baada ya kupiga collaboration na kina richmacoko belle9 wanapiga collaboration na hawa wadada kama gig na agness Tanzania bwana
Pesa ina thamani kuliko mwanamke halafu huyu itakuwa watu wanapiga mitandao yote bila shaka
Inashangaza sana.
Hao akina Belle 9 watapata wapi nafasi ya kuongea na hao wasanii wenzao?
Foleni inapangwa korido la hoteli wanayofikia kunajaa.
Ndio ile dhana ya mwenye kisu kikali.......inaposhika hatamu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom