Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Nadhan mitazamo yao,ila hata katika dini Bikra haijatajwa kama kigezoSio sana...lakini si wawaache bikra ndio nini karne hii
Tekno alikiri kutumiwa na marafiki zake wa huku Tz nae akapost kama ilivyo sababu hajui kiswahili.Kwani yale yaloandikwa kwenye ile page yaneandikwa na mwenye page au mtu mwingine?
Afu mie nashangaa sana....basi dadazake ote na ndugu zake ambao hawana ni malaya...bikra zingekua utajiri waliobikiri wote wangekua mabilionea khaa...mie napita tu😛😛😛😛Nadhan mitazamo yao,ila hata katika dini Bikra haijatajwa kama kigezo
Wasichana wana shida sana,sasa Gigy anapowapapatikia hao wamkaze ni kwamba wanampa hela au yeye anaongeza nini?je ana kazi gani labda,msanii,au MC au video queen or else,bado sijajua kuna.kipi anakifanyaTekno alikiri kutumiwa na marafiki zake wa huku Tz nae akapost kama ilivyo sababu hajui kiswahili.
Sasa hapo unadhani ni nani hao?
Hata kama sio Lulu ila ile siku alikuwa anaweka post huku akifurahi sana,wakati Tekno kama wanaume wengine ile ilikuwa mbinu ya kuwatafuna wote (kumkana Gigy kumfurahisha Lulu).
Afu mie nashangaa sana....basi dadazake ote na ndugu zake ambao hawana ni malaya...bikra zingekua utajiri waliobikiri wote wangekua mabilionea khaa...mie napita tu😛😛😛😛
Nikuambie kitu?Relax....next time usiwe unakuja na povu namna hii uwe unauliza kwanza.next time wewe mleta mada jaribu kujipanga vizuri kuleta uongo wako hapa hii mbona naona kama ni umbea tuu sasa hiyo post ilikua ni kwa dakika 20 lakini wewe umescreenshort ikiwa ina masaa tisa sasa hizo dakika 20 vp tena mbona zilizidi mpaka masaa tisa kingine ulisema ndani ya dakika chache ilikua na comment zaidi ya 1000 lakini according to your screenshort hiyo picha ilikua na masaa tisa but ilikua na like 11 tuu sasa hiyo ni akaunt sahihi ya tecno au kuna mtu kabadilisha user name instagram ili mmchague huyo gigy money alaff mkajitia mnascreenshort ila wabongo wengi hamnazo sana hebu jipange next time ukitaka kutengeneza skendo uwe unajaribu kushawishi hadhira ila mimi hujanikamata ata kidogo nakuona mpumbavu tuu hujielewi jipange mdada
My dear,anadai alipewa pesa na Tekno eti!Wasichana wana shida sana,sasa Gigy anapowapapatikia hao wamkaze ni kwamba wanampa hela au yeye anaongeza nini?je ana kazi gani labda,msanii,au MC au video queen or else,bado sijajua kuna.kipi anakifanya
Hahahahahaaa mkuu umenipa raha sana,asante.Mie najiuliza mbona @niffa uko vizuri kuliko hivi vitoto afu uko calm?! Vinatakiwa vijifunze kutoka kwako......ikishindikana vipe michambo heavy maana katika sector hiyo sijaona kiumbe kinachokukaribia hapa humu ulimwenguni
Hahahahahaaa mkuu umenipa raha sana,asante.
Huyu mtoto mimi huwa namuona mnafiki na dada yake muna,ila ipo siku yaoHata mimi naamini hivyo,Lulu alivyo mjinga akafuraaahi mwenyewe.
Ni mwanamke mpumbavu pekee asiyewajua wanaume anayeweza kuamini aliyoyasema Tekno.
Haha wewe ngoja hapa waje, maana jf wanaume wote walioa mabikra,huwa siwaelewi...Sio sana...lakini si wawaache bikra ndio nini karne hii
Wanalalama sijui hao wadada wanajitoaga wenyewe au....aiseeHaha wewe ngoja hapa waje, maana jf wanaume wote walioa mabikra,huwa siwaelewi...
Duh upo ulimwengu gani...inaonekana mgeni wa umbea..next time wewe mleta mada jaribu kujipanga vizuri kuleta uongo wako hapa hii mbona naona kama ni umbea tuu sasa hiyo post ilikua ni kwa dakika 20 lakini wewe umescreenshort ikiwa ina masaa tisa sasa hizo dakika 20 vp tena mbona zilizidi mpaka masaa tisa kingine ulisema ndani ya dakika chache ilikua na comment zaidi ya 1000 lakini according to your screenshort hiyo picha ilikua na masaa tisa but ilikua na like 11 tuu sasa hiyo ni akaunt sahihi ya tecno au kuna mtu kabadilisha user name instagram ili mmchague huyo gigy money alaff mkajitia mnascreenshort ila wabongo wengi hamnazo sana hebu jipange next time ukitaka kutengeneza skendo uwe unajaribu kushawishi hadhira ila mimi hujanikamata ata kidogo nakuona mpumbavu tuu hujielewi jipange mdada
Tunda76 anasema alipewa nauli tu sijui ni kweli.teh nimejikuta nachekaMy dear,anadai alipewa pesa na Tekno eti!
Huyo Gigy hakuna cha maana anachokifanya mjini hapa zaidi ya kuweka picha za uchi insta.
Na hana tofauti na Le Mutuz (Kuvizia watu maarufu ili apige nao picha).
Kingine kalazimisha muziki hakuna kitu (huo wimbo wake hata siujui),na ni video vixen ila hakuna video aliyocheza kama main character zaidi ya vipande tu.