Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
Kwani yale yaloandikwa kwenye ile page yaneandikwa na mwenye page au mtu mwingine?
Tekno alikiri kutumiwa na marafiki zake wa huku Tz nae akapost kama ilivyo sababu hajui kiswahili.
Sasa hapo unadhani ni nani hao?
Hata kama sio Lulu ila ile siku alikuwa anaweka post huku akifurahi sana,wakati Tekno kama wanaume wengine ile ilikuwa mbinu ya kuwatafuna wote (kumkana Gigy kumfurahisha Lulu).
 
Nadhan mitazamo yao,ila hata katika dini Bikra haijatajwa kama kigezo
Afu mie nashangaa sana....basi dadazake ote na ndugu zake ambao hawana ni malaya...bikra zingekua utajiri waliobikiri wote wangekua mabilionea khaa...mie napita tu😛😛😛😛
 
Tekno alikiri kutumiwa na marafiki zake wa huku Tz nae akapost kama ilivyo sababu hajui kiswahili.
Sasa hapo unadhani ni nani hao?
Hata kama sio Lulu ila ile siku alikuwa anaweka post huku akifurahi sana,wakati Tekno kama wanaume wengine ile ilikuwa mbinu ya kuwatafuna wote (kumkana Gigy kumfurahisha Lulu).
Wasichana wana shida sana,sasa Gigy anapowapapatikia hao wamkaze ni kwamba wanampa hela au yeye anaongeza nini?je ana kazi gani labda,msanii,au MC au video queen or else,bado sijajua kuna.kipi anakifanya
 
Waache alidondoka yule mzito hadi jeneza lilishushwa na winch sembuse.
 
next time wewe mleta mada jaribu kujipanga vizuri kuleta uongo wako hapa hii mbona naona kama ni umbea tuu sasa hiyo post ilikua ni kwa dakika 20 lakini wewe umescreenshort ikiwa ina masaa tisa sasa hizo dakika 20 vp tena mbona zilizidi mpaka masaa tisa kingine ulisema ndani ya dakika chache ilikua na comment zaidi ya 1000 lakini according to your screenshort hiyo picha ilikua na masaa tisa but ilikua na like 11 tuu sasa hiyo ni akaunt sahihi ya tecno au kuna mtu kabadilisha user name instagram ili mmchague huyo gigy money alaff mkajitia mnascreenshort ila wabongo wengi hamnazo sana hebu jipange next time ukitaka kutengeneza skendo uwe unajaribu kushawishi hadhira ila mimi hujanikamata ata kidogo nakuona mpumbavu tuu hujielewi jipange mdada
Nikuambie kitu?Relax....next time usiwe unakuja na povu namna hii uwe unauliza kwanza.
Kingine wewe ni MSHAMBA,wenzio wote hakuna aliyeuliza hili swali hujiulizi kwanini?
Basi umejiona mjaaaanja mwenyewe.....

Well,ngoja nikujibu sasa.
SAA:Simu yangu sijui nimekosea wapi katika settings kwani hata huku JF post ya muda huohuo kwenye simu yangu inaonesha masaa 8/9 yaliyopita.

COMMENTS & LIKES:Baada ya mimi kuingia Instagram na kukuta Tekno katoa dakika 20 tu nilichokifanya ni kuscreen shot kwanza kabla haijafutwa kisha niendelee kusoma comments.
Kwa maana hiyo niliwahi wakati kapost tu nami nikaiona.
Hivyo baada ya kuchukua screen shot ndio nikarudi kucomment na kusoma comments.
Baada ya 15 mins ilikuwa na comments 700!!!!
Narudi tena baada ya 20 mins nikakuta 1000 huku zikizidi kutiririka,nikarefresh ikawa imeshafutwa.
Upo hapo?
Jipange wewe,usipende kukurupuka.
 
Mie najiuliza mbona @niffa uko vizuri kuliko hivi vitoto afu uko calm?! Vinatakiwa vijifunze kutoka kwako......ikishindikana vipe michambo heavy maana katika sector hiyo sijaona kiumbe kinachokukaribia hapa humu ulimwenguni
 
Wasichana wana shida sana,sasa Gigy anapowapapatikia hao wamkaze ni kwamba wanampa hela au yeye anaongeza nini?je ana kazi gani labda,msanii,au MC au video queen or else,bado sijajua kuna.kipi anakifanya
My dear,anadai alipewa pesa na Tekno eti!
Huyo Gigy hakuna cha maana anachokifanya mjini hapa zaidi ya kuweka picha za uchi insta.
Na hana tofauti na Le Mutuz (Kuvizia watu maarufu ili apige nao picha).
Kingine kalazimisha muziki hakuna kitu (huo wimbo wake hata siujui),na ni video vixen ila hakuna video aliyocheza kama main character zaidi ya vipande tu.
 
Mie najiuliza mbona @niffa uko vizuri kuliko hivi vitoto afu uko calm?! Vinatakiwa vijifunze kutoka kwako......ikishindikana vipe michambo heavy maana katika sector hiyo sijaona kiumbe kinachokukaribia hapa humu ulimwenguni
Hahahahahaaa mkuu umenipa raha sana,asante.
 
Saa zingine akiwa 'hajavuta' anaonekana wa maana sana....asa hiko kidole sijui alikuwa anarekebisha chupi au...
Screenshot_2016-01-06-22-23-18-1.png
 
Hata mimi naamini hivyo,Lulu alivyo mjinga akafuraaahi mwenyewe.
Ni mwanamke mpumbavu pekee asiyewajua wanaume anayeweza kuamini aliyoyasema Tekno.
Huyu mtoto mimi huwa namuona mnafiki na dada yake muna,ila ipo siku yao
Maana kumnyakulia mwenzie hamisa daah,na hii ya gigy lulu anajiona yupo juu sana anajidanganya
 
next time wewe mleta mada jaribu kujipanga vizuri kuleta uongo wako hapa hii mbona naona kama ni umbea tuu sasa hiyo post ilikua ni kwa dakika 20 lakini wewe umescreenshort ikiwa ina masaa tisa sasa hizo dakika 20 vp tena mbona zilizidi mpaka masaa tisa kingine ulisema ndani ya dakika chache ilikua na comment zaidi ya 1000 lakini according to your screenshort hiyo picha ilikua na masaa tisa but ilikua na like 11 tuu sasa hiyo ni akaunt sahihi ya tecno au kuna mtu kabadilisha user name instagram ili mmchague huyo gigy money alaff mkajitia mnascreenshort ila wabongo wengi hamnazo sana hebu jipange next time ukitaka kutengeneza skendo uwe unajaribu kushawishi hadhira ila mimi hujanikamata ata kidogo nakuona mpumbavu tuu hujielewi jipange mdada
Duh upo ulimwengu gani...inaonekana mgeni wa umbea..
 
My dear,anadai alipewa pesa na Tekno eti!
Huyo Gigy hakuna cha maana anachokifanya mjini hapa zaidi ya kuweka picha za uchi insta.
Na hana tofauti na Le Mutuz (Kuvizia watu maarufu ili apige nao picha).
Kingine kalazimisha muziki hakuna kitu (huo wimbo wake hata siujui),na ni video vixen ila hakuna video aliyocheza kama main character zaidi ya vipande tu.
Tunda76 anasema alipewa nauli tu sijui ni kweli.teh nimejikuta nacheka
 
nifah Umeona teckno kafuta post zote huko insta, kaweka moja anajikosha. Sasa watz wanavyo tukana huko chaaa, yani nimewavulia kofia, gloves na socks!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom