Teh..shangaa na wewe...Wanalalama sijui hao wadada wanajitoaga wenyewe au....aisee
Hebu nyoosha maneno basi--- unachokataa wewe hasa ni nini?! Halafu unaona unavyojichanganya? Umeambiwa comments 1000+ lakini wewe unasema Likes 11; hivi hujui kwamba kuna tofauti kati ya comments na Likes? Lakini kwa upande mwingine, picha ninayoipata hapa ni kwamba, mleta mada alianza ku-screenshot kwanza labda kwa kuhofia post ingeondolewa na alichoandika ni updates! Na watu wa Instagram kwa habari kama hii kuwa na comments 1000+ ndani ya muda mfupi ni kawaida sana... hizi ndizo posts tupendazo Wabongo! REMEMBER, wakati population ya Nigeria ni karibu mara 4 ya Tanzania, lakini ni Diamond wa Tanzania ndie mwenye followers wengi huko Instagram!next time wewe mleta mada jaribu kujipanga vizuri kuleta uongo wako hapa hii mbona naona kama ni umbea tuu sasa hiyo post ilikua ni kwa dakika 20 lakini wewe umescreenshort ikiwa ina masaa tisa sasa hizo dakika 20 vp tena mbona zilizidi mpaka masaa tisa kingine ulisema ndani ya dakika chache ilikua na comment zaidi ya 1000 lakini according to your screenshort hiyo picha ilikua na masaa tisa but ilikua na like 11 tuu sasa hiyo ni akaunt sahihi ya tecno au kuna mtu kabadilisha user name instagram ili mmchague huyo gigy money alaff mkajitia mnascreenshort ila wabongo wengi hamnazo sana hebu jipange next time ukitaka kutengeneza skendo uwe unajaribu kushawishi hadhira ila mimi hujanikamata ata kidogo nakuona mpumbavu tuu hujielewi jipange mdada
Japo mapenzi ni ya wawili ila hamisa nae sijui kwanini alizaa na huyo dj mwenye pua kama uyoga, she is too cute she deserve the best sio huyo panya road majizo (siku wakirudiana sura yangu ntaificha kwenye dumu la tindikali)Huyu mtoto mimi huwa namuona mnafiki na dada yake muna,ila ipo siku yao
Maana kumnyakulia mwenzie hamisa daah,na hii ya gigy lulu anajiona yupo juu sana anajidanganya
Hahahahahaaa uwiiiiii.Japo mapenzi ni ya wawili ila hamisa nae sijui kwanini alizaa na huyo dj mwenye pua kama uyoga, she is too cute she deserve the best sio huyo panya road majizo (siku wakirudiana sura yangu ntaificha kwenye dumu la tindikali)
we umekunywa chai kwanza leo? mbona unahasira utadhani umeibiwa mke...kip calm acha kukariri umbea una wenyewe! wacha kuruka ruka kama popcorn kwenye sufuria..ndo nini kumwandikia gazeti binamu angu nifah hivyo...fyi mambo ya mjini waachie wenyewe...em tupishe uko!!! rais rais my foot!! nenda jukwaa la siasa huko panakufaanext time wewe mleta mada jaribu kujipanga vizuri kuleta uongo wako hapa hii mbona naona kama ni umbea tuu sasa hiyo post ilikua ni kwa dakika 20 lakini wewe umescreenshort ikiwa ina masaa tisa sasa hizo dakika 20 vp tena mbona zilizidi mpaka masaa tisa kingine ulisema ndani ya dakika chache ilikua na comment zaidi ya 1000 lakini according to your screenshort hiyo picha ilikua na masaa tisa but ilikua na like 11 tuu sasa hiyo ni akaunt sahihi ya tecno au kuna mtu kabadilisha user name instagram ili mmchague huyo gigy money alaff mkajitia mnascreenshort ila wabongo wengi hamnazo sana hebu jipange next time ukitaka kutengeneza skendo uwe unajaribu kushawishi hadhira ila mimi hujanikamata ata kidogo nakuona mpumbavu tuu hujielewi jipange mdada
Nimeona,kijinga sana kile kivulana.nifah Umeona teckno kafuta post zote huko insta, kaweka moja anajikosha. Sasa watz wanavyo tukana huko chaaa, yani nimewavulia kofia, gloves na socks!!
Namuoneaga huruma, yani nikilingalia hilo janaume na ile pua ilivosambaa nabaki kusonya tuHahahahahaaa uwiiiiii.
Nakuunga mkono Evelyn Salt ila kuna kukosea my dear,nadhani Hamisa amejifunza vya kutosha.
Mwanamke makini lazima umjue mwanaume vya kutosha kabla ya kuamua kuzaa nae.
Hivi majizo ana hela?Evelyn Salt tatizo njaa hawa watu, MTU akiwa na jina kidogo basi atataka akae masaki aendeshe range, wanaume wenye hela wachache ndo hao hao wanabadilishana.
Sijui, ila kama Hana sidhani Kama lulu angekaa hapo, unless anasaidia mfadhili mkuu.Hivi majizo ana hela?
Hahahahaaaaa asante cuzoo wangu,huyu mshamba sijui kanitokea wapi.we umekunywa chai kwanza leo? mbona unahasira utadhani umeibiwa mke...kip calm acha kukariri umbea una wenyewe! wacha kuruka ruka kama popcorn kwenye sufuria..ndo nini kumwandikia gazeti binamu angu nifah hivyo...fyi mambo ya mjini waachie wenyewe...em tupishe uko!!! rais rais my foot!! nenda jukwaa la siasa huko panakufaa
Pole zake Kalamba jokerYeah,si haba + umaarufu juu.
Ndio bibie akabeba mimba
Huo uongozi wa TV 1 unapaswa kupimwa akili kama ulifikia kuajiri mtu wa aina ya Gigy....Na kishanuka TV 1
View attachment 315367
Huyo jamaa amenichekesha sana makeke na dharau nyingi na ujuaji kumbe tatizo lake ni kushindwa kujua kuwa kuna tofauti kati ya likes na comments....sikutegemea jambo hili kutokea...nimecheka sana..Jf ni kisima cha burudani...Hebu nyoosha maneno basi--- unachokataa wewe hasa ni nini?! Halafu unaona unavyojichanganya? Umeambiwa comments 1000+ lakini wewe unasema Likes 11; hivi hujui kwamba kuna tofauti kati ya comments na Likes? Lakini kwa upande mwingine, picha ninayoipata hapa ni kwamba, mleta mada alianza ku-screenshot kwanza labda kwa kuhofia post ingeondolewa na alichoandika ni updates! Na watu wa Instagram kwa habari kama hii kuwa na comments 1000+ ndani ya muda mfupi ni kawaida sana... hizi ndizo posts tupendazo Wabongo! REMEMBER, wakati population ya Nigeria ni karibu mara 4 ya Tanzania, lakini ni Diamond wa Tanzania ndie mwenye followers wengi huko Instagram!
Halafu huyu dogo Tekno nimeshamshitukia anawataka Followers wetu tu manake hamna soko la uhakika la Followers barani Afrika zaidi ya Tanzania.
Ahaha tekno aliandikiwa na nani hicho kiswahili?? Au ndo luluHali si hali,balaa tupu Instagram kumechafuka ndani ya dakika 20 alizozitoa Super Star kutoka Nigeria Teknomiles hazijatosha kwani comments za wadau wa umbea zimefika 1000 na zaidi!
Yote haya yalianza baada ya mwanamuziki huyo (yes ni mwanamuziki na sio msanii) kuja nchini kwenye tamasha la muziki la siku ya kuamkia mwaka mpya tarehe 31 Alhamis iliyopita,sasa wadada wa mujini kama kawaida yao kila mmoja akataka kulala na Star huyo (what a shame).
Vita kubwa ilikuwa kati ya Lulu na Gigy Money (mwanadada anayetafuta umaarufu kwa nguvu mjini hapa)
Leo mchana huu mwamuziki huyo kutoka Nigeria katuacha midomo wazi kwa alichopost Instagram kama ifuatavyo....
Cha kujiuliza ni nani kamfundisha kiswahili tena kilichonyooka namna hii?
Tuliowahi tumescreen shot,jioneeni wenyewe....
View attachment 314834