Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
next time wewe mleta mada jaribu kujipanga vizuri kuleta uongo wako hapa hii mbona naona kama ni umbea tuu sasa hiyo post ilikua ni kwa dakika 20 lakini wewe umescreenshort ikiwa ina masaa tisa sasa hizo dakika 20 vp tena mbona zilizidi mpaka masaa tisa kingine ulisema ndani ya dakika chache ilikua na comment zaidi ya 1000 lakini according to your screenshort hiyo picha ilikua na masaa tisa but ilikua na like 11 tuu sasa hiyo ni akaunt sahihi ya tecno au kuna mtu kabadilisha user name instagram ili mmchague huyo gigy money alaff mkajitia mnascreenshort ila wabongo wengi hamnazo sana hebu jipange next time ukitaka kutengeneza skendo uwe unajaribu kushawishi hadhira ila mimi hujanikamata ata kidogo nakuona mpumbavu tuu hujielewi jipange mdada
Hebu nyoosha maneno basi--- unachokataa wewe hasa ni nini?! Halafu unaona unavyojichanganya? Umeambiwa comments 1000+ lakini wewe unasema Likes 11; hivi hujui kwamba kuna tofauti kati ya comments na Likes? Lakini kwa upande mwingine, picha ninayoipata hapa ni kwamba, mleta mada alianza ku-screenshot kwanza labda kwa kuhofia post ingeondolewa na alichoandika ni updates! Na watu wa Instagram kwa habari kama hii kuwa na comments 1000+ ndani ya muda mfupi ni kawaida sana... hizi ndizo posts tupendazo Wabongo! REMEMBER, wakati population ya Nigeria ni karibu mara 4 ya Tanzania, lakini ni Diamond wa Tanzania ndie mwenye followers wengi huko Instagram!

Halafu huyu dogo Tekno nimeshamshitukia anawataka Followers wetu tu manake hamna soko la uhakika la Followers barani Afrika zaidi ya Tanzania.
 
Huyu mtoto mimi huwa namuona mnafiki na dada yake muna,ila ipo siku yao
Maana kumnyakulia mwenzie hamisa daah,na hii ya gigy lulu anajiona yupo juu sana anajidanganya
Japo mapenzi ni ya wawili ila hamisa nae sijui kwanini alizaa na huyo dj mwenye pua kama uyoga, she is too cute she deserve the best sio huyo panya road majizo (siku wakirudiana sura yangu ntaificha kwenye dumu la tindikali)
 
Hahahahahaaa uwiiiiii.
Nakuunga mkono Evelyn Salt ila kuna kukosea my dear,nadhani Hamisa amejifunza vya kutosha.
Mwanamke makini lazima umjue mwanaume vya kutosha kabla ya kuamua kuzaa nae.
 
next time wewe mleta mada jaribu kujipanga vizuri kuleta uongo wako hapa hii mbona naona kama ni umbea tuu sasa hiyo post ilikua ni kwa dakika 20 lakini wewe umescreenshort ikiwa ina masaa tisa sasa hizo dakika 20 vp tena mbona zilizidi mpaka masaa tisa kingine ulisema ndani ya dakika chache ilikua na comment zaidi ya 1000 lakini according to your screenshort hiyo picha ilikua na masaa tisa but ilikua na like 11 tuu sasa hiyo ni akaunt sahihi ya tecno au kuna mtu kabadilisha user name instagram ili mmchague huyo gigy money alaff mkajitia mnascreenshort ila wabongo wengi hamnazo sana hebu jipange next time ukitaka kutengeneza skendo uwe unajaribu kushawishi hadhira ila mimi hujanikamata ata kidogo nakuona mpumbavu tuu hujielewi jipange mdada
we umekunywa chai kwanza leo? mbona unahasira utadhani umeibiwa mke...kip calm acha kukariri umbea una wenyewe! wacha kuruka ruka kama popcorn kwenye sufuria..ndo nini kumwandikia gazeti binamu angu nifah hivyo...fyi mambo ya mjini waachie wenyewe...em tupishe uko!!! rais rais my foot!! nenda jukwaa la siasa huko panakufaa
 
nifah Umeona teckno kafuta post zote huko insta, kaweka moja anajikosha. Sasa watz wanavyo tukana huko chaaa, yani nimewavulia kofia, gloves na socks!!
Nimeona,kijinga sana kile kivulana.
Ila naona hakujua alichokiandika,baada ya kutafsiriwa ndio ikabidi afute post zake akaacha ile ya kuomba radhi.
Naona alitaka kufuta picha alizopiga na Lulu akaona italeta doubts akafuta zote.
 
Hahahahahaaa uwiiiiii.
Nakuunga mkono Evelyn Salt ila kuna kukosea my dear,nadhani Hamisa amejifunza vya kutosha.
Mwanamke makini lazima umjue mwanaume vya kutosha kabla ya kuamua kuzaa nae.
Namuoneaga huruma, yani nikilingalia hilo janaume na ile pua ilivosambaa nabaki kusonya tu
 
Evelyn Salt tatizo njaa hawa watu, MTU akiwa na jina kidogo basi atataka akae masaki aendeshe range, wanaume wenye hela wachache ndo hao hao wanabadilishana.
 
we umekunywa chai kwanza leo? mbona unahasira utadhani umeibiwa mke...kip calm acha kukariri umbea una wenyewe! wacha kuruka ruka kama popcorn kwenye sufuria..ndo nini kumwandikia gazeti binamu angu nifah hivyo...fyi mambo ya mjini waachie wenyewe...em tupishe uko!!! rais rais my foot!! nenda jukwaa la siasa huko panakufaa
Hahahahaaaaa asante cuzoo wangu,huyu mshamba sijui kanitokea wapi.
 
Sema bhana evelyn salt na niffa mkianzisha nyuzi nyuzi mnajua kusimamia shoo!! Naona leo humu mnapiga corabo😀😀
 
Umalaya unawaponza.....umaarufu usio na maana ndo wanaona sifa.Haipendi kusoma,haitaki kazi yaani wapo wapo tu.Sasa kama huyo Lulu anajifanya mjanjaaaa!!!mnxiuuuu hovyo kabisa
 
Hebu nyoosha maneno basi--- unachokataa wewe hasa ni nini?! Halafu unaona unavyojichanganya? Umeambiwa comments 1000+ lakini wewe unasema Likes 11; hivi hujui kwamba kuna tofauti kati ya comments na Likes? Lakini kwa upande mwingine, picha ninayoipata hapa ni kwamba, mleta mada alianza ku-screenshot kwanza labda kwa kuhofia post ingeondolewa na alichoandika ni updates! Na watu wa Instagram kwa habari kama hii kuwa na comments 1000+ ndani ya muda mfupi ni kawaida sana... hizi ndizo posts tupendazo Wabongo! REMEMBER, wakati population ya Nigeria ni karibu mara 4 ya Tanzania, lakini ni Diamond wa Tanzania ndie mwenye followers wengi huko Instagram!

Halafu huyu dogo Tekno nimeshamshitukia anawataka Followers wetu tu manake hamna soko la uhakika la Followers barani Afrika zaidi ya Tanzania.
Huyo jamaa amenichekesha sana makeke na dharau nyingi na ujuaji kumbe tatizo lake ni kushindwa kujua kuwa kuna tofauti kati ya likes na comments....sikutegemea jambo hili kutokea...nimecheka sana..Jf ni kisima cha burudani...
 
Hali si hali,balaa tupu Instagram kumechafuka ndani ya dakika 20 alizozitoa Super Star kutoka Nigeria Teknomiles hazijatosha kwani comments za wadau wa umbea zimefika 1000 na zaidi!

Yote haya yalianza baada ya mwanamuziki huyo (yes ni mwanamuziki na sio msanii) kuja nchini kwenye tamasha la muziki la siku ya kuamkia mwaka mpya tarehe 31 Alhamis iliyopita,sasa wadada wa mujini kama kawaida yao kila mmoja akataka kulala na Star huyo (what a shame).

Vita kubwa ilikuwa kati ya Lulu na Gigy Money (mwanadada anayetafuta umaarufu kwa nguvu mjini hapa)

Leo mchana huu mwamuziki huyo kutoka Nigeria katuacha midomo wazi kwa alichopost Instagram kama ifuatavyo....
Cha kujiuliza ni nani kamfundisha kiswahili tena kilichonyooka namna hii?
Tuliowahi tumescreen shot,jioneeni wenyewe....
View attachment 314834
Ahaha tekno aliandikiwa na nani hicho kiswahili?? Au ndo lulu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom