Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
Huyo husna siku bwana yao yeye na lulu kafa akaanza kuandika vitu vya majonzi mara yallabi nitie nguvu
Kama kihawara tu kinaomba mungu akitie nguvu mke asemeje, baada ya wiki tu kakaonesha pete mara kanajiita mrs chief
Mwezi haujaisha sio kamrs tena
Haha husna nyota hana na vichuchu vyake ka kona ya sambusa
 
Haha husna nyota hana na vichuchu vyake ka kona ya sambusa
Alianza kugongwa tangia kapo kaduchu sana kale katoto.....nakajua siku nyingi.Kaanzia kugongwa na vijana mtaani weeee mpk akahamua kuingia katika umiss nakuanza kugongwa na hao wa afadhali
 
Nimekuelewa, nilisema hivyo kiutani, si unajua jf!
 
Mke wa mtu huyo,ama kweli mmewe kakaliwa,munaa na tako lake la kichina...
Ndio nimetoka insta hivi,nimecheka hadi kichwa kinauma!
Sio kwa vituko vile kutoka kwa huyo Scoop_tz,hasa pale alipoweka picha ya mtoto wa Aunt akiwa kavaa gauni jekundu (nadhani ilikuwa 40 yake)
Ila kweli katoto cha Aunt chembambaje?
Na alivyoweka picha ya Aunt akiwa kwenye kile kijumba cha udongo....lol
 
May be anaitwa Saidi coz jina lake silikumbuki....ana kigari flan cha bluu.Kila anayepigwa mti nae lazima apige nacho picha hyo gari.Jamani eeeeh niliacha umbea sijui imekuwaje ha ha ha 😉
Hakunaga mtu anaestaafu umbea ukiacha ujue upo likizo tu, yap ndo huyo huyo anaitwa said ana kigari cha blue
 
Hahahaa huko Insta watu wamevurugwa...mimi huwa nacheka sana..ukimfolow na baby_ake ndio vituko zaidi unaweza Cheka mwenyewe kama kichaa..
 
kheeee kheeee kumbe tecno ni mswahili...😵🙄
 
OK. Hatimaye nimeweza kumtambua huyu binti vizuri. Nimeiona ishu yake kamili HAPA.
Mimi nadhani tatizo lake ni kwamba anajaribu kuiga wanamuziki wa kike kutoka nje na page yake ya Instagram inaonyesha vizuri juhudi zake hizi. Mazingira na tamaduni ni tofauti ndiyo maana inaonekana haeleweki. Isitoshe ni jambo la kushangaza kwa binti wa Kiafrika kujitangaza laivu kuwa kafanya mapenzi na mwanaume haijalishi kama huyo mwanaume ni maarufu ama la. Nyakati zinabadilika na huko mbele ya safari itabidi tu tuizoee hali hii. Wenye watoto wa kike hasa katika hiki kizazi cha dot.com kazi ni ngumu. Hata wenye watoto wa kiume nao uzi ni ule ule kwani ni afadhali nizae akina Giggy Money elfu kumi kuliko kuzaa toto la kiume shoga. Mungu Atusaidie !!!​
 
Last edited:
Hii collabo iliyoko hapa acha kabisa,wambea wote wa JF na E.A nzima wako hapa unategemea nini?
Rahaaaa tu.
Ila #nifah we mbona nimekukoma??? Lohh umbea km umeupandia ndege kuusomea
 
Ila #nifah we mbona nimekukoma??? Lohh umbea km umeupandia ndege kuusomea
Hahahahaaa maisha yamekuwa magumu pesa hakuna January hii stress tupu.
Bora tupige umbea tu maana hakuna namna.
 
kheeee kheeee kumbe tecno ni mswahili...😵🙄
Hapana,alikiri kuandikiwa na marafiki zake kutoka Tz,alisema yeye hajui kiswahili hivyo hakujua kilichoandikwa.
 
Hahahaa huko Insta watu wamevurugwa...mimi huwa nacheka sana..ukimfolow na baby_ake ndio vituko zaidi unaweza Cheka mwenyewe kama kichaa..
Shoga nimechekaje?Sasa hivi kachambwa Esma na kwa baby_ake kachambwa Young Killer.
Hahahahaaa
 
Ila hakushindi wewe kungwi wa makungwii gwiji la umbeaa
Yule ndiye mbobezi sasa,mimi mwenyewe tu namvulia kofia.
Anaweza choma mafuta gari kufuata umbea,pia ana Verrosa special ya kwenda kupiga umbea!
Hahahahahaaa
 
Yule ndiye mbobezi sasa,mimi mwenyewe tu namvulia kofia.
Anaweza choma mafuta gari kufuata umbea,pia ana Verrosa special ya kwenda kupiga umbea!
Hahahahahaaa
Hahahahaha wajua hata chongo mfalme wa vipofuuuuuuuuu, unatishaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…