Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha! Ha! Ha! Ha! waliojenga Ruksa? Yaani nimekuja huku baada ya kuona nifah analalamika kule jukwaa la malalamiko kwamba wapita njia wanamkerra. Nimekutana na hili hadi nimeshangaa. Unaweza kujidai unajua mambo kumbe kuna vijambo vitakupita na wewe mshamba huvijui. Afadhali Lulu kidogo nilikuwa namjua. lakini huyo Giggy Money sijui!!Nenda kajenge wewe, ila hakikisha kiwanja ni halali!
Sijakuelewa mkuu,mbona mimi sijalalamika hivyo?Ha! Ha! Ha! Ha! waliojenga Ruksa? Yaani nimekuja huku baada ya kuona nifah analalamika kule jukwaa la malalamiko kwamba wapita njia wanamkerra. Nimekutana na hili hadi nimeshangaa. Unaweza kujidai unajua mambo kumbe kuna vijambo vitakupita na wewe mshamba huvijui. Afadhali Lulu kidogo nilikuwa namjua. lakini huyo Giggy Money sijui!!
Nimechanganya madesa bibie! Kumbe ni huyuSijakuelewa mkuu,mbona mimi sijalalamika hivyo?
Au umenifananisha nini?
Mi naomba niwaite "wapotea njia" make kiukweli wanakuaga wamepotea...
JF ina majukwaa kibao yani mengi mnoo kazi kwako kuangalia interest zako upite majukwaa yanayokufaa.
Mpotea njia anapita MMU anakuta mtu kaweka thread yake ya mapenzi, utasikia "asubuhi asubuhi yote hii unawaza mapenzi" sasa Mpotea njia kama wewe huwazi mapenzi MMU umefata nini kwani ungeenda business Forum ungekuta hayo mapenzi? Umeingia kwa mapenzi yako na akili zako timamu ukijua hapo utakutana na habari za mapenzi hivo viherehere muache jamani haujaipenda pita hivi....
Mpotea njia anaingia celebrities forum utasikia "small mind discuss people" "mind you business" "hao watatusaidia nini" "watanzania ni wa pu mba vuu kazi kudiscuss watu" dear Mpotea njia jua wewe ndo mpu mbavu nambari wani tena Juha kabisa wakati unaingia celebrities forum umesoma kabisa "mazuri na vimbwanga vya ma celebrities" afu unakuja kuuliza hao watu watakusaidia nini heeee umekuja celebrities forum kutafuta msaada? Haya wapotea njia wa "mind your business" hivi huwa mpo serious Kuja kumind business celebrities forum?
Ni hivi majukwaa ni mengi, na sio lazma kila thread uchangie vingine vikupite
Cc: wapotea njia wooote wa jf
Happy new year
Haswaaa ni mie, karibu celebrities forum bila shaka we sio mpotea njia tehNimechanganya madesa bibie! Kumbe ni huyu
yule member mwenzetu wa jf kumbe umeshampiga kibuti..ndio maana ana stress sana tunashinda nae siasani sasa hiviNitampenda,nitakuwa muaminifu kwake ila akinizingua tu sinaga cha tumswalie Mtume,kibuti kinahusu.
Maisha yenyewe yako wapi kuishi na stress?
Mimi ni mdukuzi!!Haswaaa ni mie, karibu celebrities forum bila shaka we sio mpotea njia teh
Hahahaa, lol mjini njoo na akili tabia utazikuta huku huku...Mie sasahivi mashosti watashangaa michango ya harusi tu ghafla ndoa...there's too much nyakunyaku in town😉😀
Eeeh...walikua mashost,ila zuhura hakuzaa na majizo japo anae mtoto sina uhakika baba ni nani,anatangaza clouds I think huyu dadaHuyo zuhura alikua shost wa hamisa? Nae amezaa na majizo?
Hahahaa kiatu cha bday kilibadilishwa,maana ana kiatu hicho alivaa kwa bday ya mwanae mpaka kusutwa mwee ndio kavaa kingine now...Hiyo post ya birthday? Hilo alilovaa kichwani ni wigi au steel wool?
Ha ha ha ha ha nliona anachambwa kuwa ana kiatu kimoja, yani huyu ni ana apply kaa na uaridi unukie, anatafuta umaarufu kupitia luluHahahaa kiatu cha bday kilibadilishwa,maana ana kiatu hicho alivaa kwa bday ya mwanae mpaka kusutwa mwee ndio kavaa kingine now...
Eeeh basi mchezo umeisha nilidhani anaonewaEeeh...walikua mashost,ila zuhura hakuzaa na majizo japo anae mtoto sina uhakika baba ni nani,anatangaza clouds I think huyu dada
Ndo Id yako nyingine au?Mimi ni mdukuzi!!
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! hapana ni mtindo wangu wa maisha. Napenda udukuzi wa habari!!Ndo Id yako nyingine au?
Nitampenda,nitakuwa muaminifu kwake ila akinizingua tu sinaga cha tumswalie Mtume,kibuti kinahusu.
Maisha yenyewe yako wapi kuishi na stress?
Stress kwenye mapenzi ni kama maji kwa samaki. Lazima iwepo. Ila kuzinguana ni jambo jingine kabisa!Maisha yenyewe yako wapi kuishi na stress?
Oooh nimekupata make mdukuzi ni id ya mtu hapa.....poaHa! Ha! Ha! Ha! Ha! hapana ni mtindo wangu wa maisha. Napenda udukuzi wa habari!!