Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
Nisichoweza kukifanya ni kutoka na mwanaume ambaye mimi na mwanamke wake tunajuana.
Ikitokea bahati mbaya nimedate na mume wa mtu bila kujua basi nitaachana nae mara moja.
Inauma sana acha tu,sio kitu cha kupendeza kumuona mwanamke mwenzangu analia kisa mimi.

Hongera kwa kujali na kuthamini lakini si mwanamke mwenzako tu hata mwanaume wako pia hatakiwi kulia kwa ajili yako
 
Hongera kwa kujali na kuthamini lakini si mwanamke mwenzako tu hata mwanaume wako pia hatakiwi kulia kwa ajili yako
Nitampenda,nitakuwa muaminifu kwake ila akinizingua tu sinaga cha tumswalie Mtume,kibuti kinahusu.
Maisha yenyewe yako wapi kuishi na stress?
 
Wewe unauliza ya Wema na Van Vicker usiulize ile ya Superstar aliyomleta hadi Omotola Jalade?
Nyie hakuna muigizaji bora wa kike Tz nzima kama Wema,maisha yake tu ni zaidi ya maigizo.
Unaujua ubuyu wa mjini ww
 
Jamani kwanini wanapenda kumchokoza Hamisa lakini?
Mie namuonaga mpole dada wa watu,bwana wamchukulie bado wamchokoze.
Samahani nifah unafanya kazi gani?maana ushampita warumi kwa sasa.Na nafikiri warumi anakuonea donge.
 
Samahani nifah unafanya kazi gani?maana ushampita warumi kwa sasa.Na nafikiri warumi anakuonea donge.
Hahahahaaa wewe mwendawazimu ulipotelea wapi?
Mimi nachoma vitumbua mkuu,hapa nimeshamaliza niko nyumbani napiga umbea.
 
Pamemshindia nini sasa? Kashindwa kuhudumia au lulu kumzidi kete hamisa
Yote mawili.....huyo Majizo alikuwa bwana wa Zuhura Goal,Hamisa akamnyakua wakati walikuwa mashost na Zuhura.Leo Lulu nae kamnyakulia.Ni mwendo wa kunyakuliana
 
Mjini mambo yake mazito,leo Gigy kakanwa na Tekno hadharani tena kamuita malaya aliyelala na meneja wake.
Nimejisikia aibu sana.
Aibu ya nn wakati ndo mambo mnayoyataka wanawake wa tz. Utadhani wanakuja na mitalimbo ya dhahabu. Seee
 
Aibu ya nn wakati ndo mambo mnayoyataka wanawake wa tz. Utadhani wanakuja na mitalimbo ya dhahabu. Seee
Tafadhali tutake radhi wanawake wa Tz,sio wote.
 
Nilikuwa simfahamu huyo Gigy Money baada ya kuona anaongelewa sana kwenye mitandao nikasema nim-Google nimuone. Aiseee! Huyu mtoto ni mkali.

Hata mimi nikipata nafasi nitampiga tu maana hamna namna.
 
Yote mawili.....huyo Majizo alikuwa bwana wa Zuhura Goal,Hamisa akamnyakua wakati walikuwa mashost na Zuhura.Leo Lulu nae kamnyakulia.Ni mwendo wa kunyakuliana
Huyo zuhura ndo mama wa kile kitoto cha kiume? Duh kumbe fifty fifty kaibia nae kaibiwa
 
Yote mawili.....huyo Majizo alikuwa bwana wa Zuhura Goal,Hamisa akamnyakua wakati walikuwa mashost na Zuhura.Leo Lulu nae kamnyakulia.Ni mwendo wa kunyakuliana
Wakazane. ...zuhura nae alimnyakua nani naona ni mwendo wa nyakunyakuzi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom