Hahaaaa nifah nimepita kimya kimya nikicheka tu, ila hii imenivunja mbavu, ukalicheki la nini? Uone size aliloshuhulikiwa nalo au? Wewe umeamua mwaka huu warumi atakata rufaa., kiti ukekikalia ukaeneaUwiiiiii hii itakuwa imenipita,insta nilirudi usiku nikiwa nimechoka na nilipita kwa Lulu kisha nikalala.
Bado lipo nikalicheki?
Hahahaaa shoga roho iliniumaje?Hahaaaa nifah nimepita kimya kimya nikicheka tu, ila hii imenivunja mbavu, ukalicheki la nini? Uone size aliloshuhulikiwa nalo au? Wewe umeamua mwaka huu warumi atakata rufaa., kiti ukekikalia ukaenea
Hahaaaa kwa spidi uliyokuja nayo mwaka huu warumi lazima ahame jukwaa naona amehamia jukwaa la siasa ameamua kuwa mchapa kazi, umbea basi, ila hilo dildo alieliposti kapinda. Wadada wamechafua hewa insta mpaka wamefanya ushindi wa samata upooze.Hahahaaa shoga roho iliniumaje?
Bahati mbaya kote nililikosa!
Tufanyeje sasa? warumi katuhama jukwaa limekosa msisimko....
Bora tuendelee kuchangamsha akirudi tunafanya collabo,mbona raha?
Shoga wewe uliliona?Kwanini usipige screen shot?Hahaaaa kwa spidi uliyokuja nayo mwaka huu warumi lazima ahame jukwaa naona amehamia jukwaa la siasa ameamua kuwa mchapa kazi, umbea basi, ila hilo dildo alieliposti kapinda. Wadada wamechafua hewa insta mpaka wamefanya ushindi wa samata upooze.
Kuna vitu vingine unaviona unabaki kushangaa screen ya simu, huamini kama unaona au unawaza, hawa watu sijui kama wana mshipa wa haya.Shoga wewe uliliona?Kwanini usipige screen shot?
Ona sasa umetunyima uhondo wambea wenzio!😡😡
Nifah hili nalo umeliona???Kuna vitu vingine unaviona unabaki kushangaa screen ya simu, huamini kama unaona au unawaza, hawa watu sijui kama wana mshipa wa haya.
Chukua Ubuyu huo Nifah wa motoooiShoga wewe uliliona?Kwanini usipige screen shot?
Ona sasa umetunyima uhondo wambea wenzio!😡😡
Afadhali na wewe uliiona,jana niliangalia marudio yake nikabaki mdomo wazi!Chukua Ubuyu huo Nifah wa motoooi
Akiongea katika kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Television, Gigy alisema kuna baadhi ya wasanii alishawahi kuwa nao kwenye mahusiano akiamini watamtoa kimaisha, lakini ilikuwa kinyume na kuishia kuchezewa tu.
"Mimi nilishawahi kudate na Hemed PHD nikiamni atanitoa nitatoboa, lakini wapi, Hemedi alishawahi kugombana na Rich Mavoko kwa ajili yangu, tena kipindi hiko niko form two, unajua maisha kila mtu kuna aliyopitia, nilishawahi kuwa na mtu ambaye hata hatuendani lakini nilikuwa nalazimika, mtu ameshanimilikisha gari, nyumba, tukitoka nalazimika kuvaa angalau nifanane nae kiutu uzima", alisema Gigy.
Akiendelea kuelezea harakati za maisha yake anasema pamoja na Rich Mavoko kugombana na Hemedi, lakini pia alishawahi kumuharibia kwenye mahusiano yake ambayo alikuwepo kwa wakati huo, na kumtaka kuacha tabia za kike.
"Richard akaharibu mahusiano yangu, Richard kama Richard aache tabia za kike", alisema Gigy.
Mavoko na PhD kwa Gigy Money,tena akiwa form II.Afadhali na wewe uliiona,jana niliangalia marudio yake nikabaki mdomo wazi!
Huyu mtoto ana laana,sio bure!
Wakitaka aman wasimjibu atawaumbuaAnajiona mzuri wakati hakuna kitu,ila siwapatii picha hao aliowataja wameaibikaje!
Duh!urithi mwingine huu watu wanarithishana mali wengine uzinzi na nyuso zisizo na haya na kutojua mabaya.Nasikia karithi kwa mama mkuu.