Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
Hahah inaonesha unamjua vizuri,huyo mtoto sio wa majizo lakini eeh?
Hapo kwenye mtoto sijui,lakini mapipa alikuwa anakuja sana.
Na ni enzi za 2013 huko.......
Ila ni kazuri na chenyewe.
 
Uwiiiiii hii itakuwa imenipita,insta nilirudi usiku nikiwa nimechoka na nilipita kwa Lulu kisha nikalala.
Bado lipo nikalicheki?
Hahaaaa nifah nimepita kimya kimya nikicheka tu, ila hii imenivunja mbavu, ukalicheki la nini? Uone size aliloshuhulikiwa nalo au? Wewe umeamua mwaka huu warumi atakata rufaa., kiti ukekikalia ukaenea
 
Hahahaaa shoga roho iliniumaje?
Bahati mbaya kote nililikosa!
Tufanyeje sasa? warumi katuhama jukwaa limekosa msisimko....
Bora tuendelee kuchangamsha akirudi tunafanya collabo,mbona raha?
 
Hahaaaa kwa spidi uliyokuja nayo mwaka huu warumi lazima ahame jukwaa naona amehamia jukwaa la siasa ameamua kuwa mchapa kazi, umbea basi, ila hilo dildo alieliposti kapinda. Wadada wamechafua hewa insta mpaka wamefanya ushindi wa samata upooze.
 
Shoga wewe uliliona?Kwanini usipige screen shot?
Ona sasa umetunyima uhondo wambea wenzio!😡😡
 
Kuna vitu vingine unaviona unabaki kushangaa screen ya simu, huamini kama unaona au unawaza, hawa watu sijui kama wana mshipa wa haya.
 
Last edited:
SHAMELESS
2615190-season%2B5%2Bis%2Bstill%2Ba%2Bgood%2Bseason%2Bto%2Bjump%2Bon%2B_5eb9e72ab08313ea6ed4500d10fd4742.png
 
Shoga wewe uliliona?Kwanini usipige screen shot?
Ona sasa umetunyima uhondo wambea wenzio!😡😡
Chukua Ubuyu huo Nifah wa motoooi
Akiongea katika kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Television, Gigy alisema kuna baadhi ya wasanii alishawahi kuwa nao kwenye mahusiano akiamini watamtoa kimaisha, lakini ilikuwa kinyume na kuishia kuchezewa tu.

"Mimi nilishawahi kudate na Hemed PHD nikiamni atanitoa nitatoboa, lakini wapi, Hemedi alishawahi kugombana na Rich Mavoko kwa ajili yangu, tena kipindi hiko niko form two, unajua maisha kila mtu kuna aliyopitia, nilishawahi kuwa na mtu ambaye hata hatuendani lakini nilikuwa nalazimika, mtu ameshanimilikisha gari, nyumba, tukitoka nalazimika kuvaa angalau nifanane nae kiutu uzima", alisema Gigy.

Akiendelea kuelezea harakati za maisha yake anasema pamoja na Rich Mavoko kugombana na Hemedi, lakini pia alishawahi kumuharibia kwenye mahusiano yake ambayo alikuwepo kwa wakati huo, na kumtaka kuacha tabia za kike.

"Richard akaharibu mahusiano yangu, Richard kama Richard aache tabia za kike", alisema Gigy.
 
Attachments

  • 1456289830142.jpg
    1456289830142.jpg
    63.8 KB · Views: 62

Afadhali na wewe uliiona,jana niliangalia marudio yake nikabaki mdomo wazi!
Huyu mtoto ana laana,sio bure!
 
Mitoto ya kinondoni hiyo.. namshukuru mzee wangu tulihamaga huko kitambo,, muda huu na mimi ningeshakuwa teja!!
 
Yule mtoto na lile shepu lake kama dodoki,,,Zile nido utazan mlenda wa Singida
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom