Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
Khaaaa,ina maana hataki watu wa-tagiane kuja kuona umbea?
Mjinga sana huyo...asipost kabisa basi.
Wanamwambia uchi wake umelegea kama maini ya mbuzi.
Jamani watu wa insta nawagawa jamani.
afu anapenda sana kusifiwa kwa page yake, kwa lipi kubwa analolifanya?
"Mwenyewe anajikutaga Beyonce" namnukuu Evelyn Salt
 
Hahahahaaa hivi maini ya mbuzi yakoje?
Ngoja nifuatilie hili.
 
Aunt Ezekiel nakubali ni mtamu ingawaje sijawahi kumpakua..labda nimuulize mlokole mwenzangu waziri mstaafu wa wanyama na mlima Kilimanjaro athibitishe...lakini lulu🙄
cc Steph Curry
Jamaa yetu ako na habari mingi sana aiseee
 
Uwiiiiii hii itakuwa imenipita,insta nilirudi usiku nikiwa nimechoka na nilipita kwa Lulu kisha nikalala.
Bado lipo nikalicheki?
Insta nayo ishakuwa kama Jf...wanazingatia maadili....waliitoa usiku uleule.
Hahaahha.....Giggy jamani, lohhh na alivyo na makunyanzi ya paja jamani.
Hivi ni video gani alivocheza kama video queen maana naona yupoyupotu kama furushi la kokoto
 
Shoga nawe unatuangusha wambea wenzio,huna hata ka screen shot jamani?
Nimemindije sasa kupitwa na huo ubuyu?
 
Alhamdulilah I am a village Woman!! Wadada wa Mujini ni bomu in the making soon tutasikia matokeo yake, Allah atupe Uhai inshaallah.

**Every Action has a Equal & Opposite Reaction!
 
Tuzae watoto wa kiume wawe mashoga,tuzae vya kike viwe type ya gigy na wachafu wengine..dah😕😕sijui tutafute watoto wa jinsia gani!!

Tafute watoto wa udongo mvua ikinyesha wanamongonyoka hakuna hasara hila ukizaa awa kizazi cha sifa lazima utadhalilika hakuna namna
 
Tulizoea complimentary ya breakfast penye mahoteli sasa hizi complimentary za binaadamu kiboko.
 
Alhamdulilah I am a village Woman!! Wadada wa Mujini ni bomu in the making soon tutasikia matokeo yake, Allah atupe Uhai inshaallah.

**Every Action has a Equal & Opposite Reaction!
Kijijini nako kuna mambo mamito,ni hivi tu hawana mambo ya social networks, though hayawezi fikia ya mjini ila hayakosekani vilevile.
 
Hali si hali,balaa tupu Instagram kumechafuka ndani ya dakika 20 alizozitoa Super Star kutoka Nigeria Teknomiles hazijatosha kwani comments za wadau wa umbea zimefika 1000 na zaidi!

Yote haya yalianza baada ya mwanamuziki huyo (yes ni mwanamuziki na sio msanii) kuja nchini kwenye tamasha la muziki la siku ya kuamkia mwaka mpya tarehe 31 Alhamis iliyopita,sasa wadada wa mujini kama kawaida yao kila mmoja akataka kulala na Star huyo (what a shame).

Vita kubwa ilikuwa kati ya Lulu na Gigy Money (mwanadada anayetafuta umaarufu kwa nguvu mjini hapa)

Leo mchana huu mwamuziki huyo kutoka Nigeria katuacha midomo wazi kwa alichopost Instagram kama ifuatavyo....
Cha kujiuliza ni nani kamfundisha kiswahili tena kilichonyooka namna hii?
Tuliowahi tumescreen shot,jioneeni wenyewe....
View attachment 314834
Third Newton Law
Alhamdulilah I am a village Woman!! Wadada wa Mujini ni bomu in the making soon tutasikia matokeo yake, Allah atupe Uhai inshaallah.

**Every Action has a Equal & Opposite Reaction!
 
Kijijini nako kuna mambo mamito,ni hivi tu hawana mambo ya social networks, though hayawezi fikia ya mjini ila hayakosekani vilevile.

Najua kuna mambo sana tu ila makuzi na malezi ya mwanamke (sio msichana) wa kijijini ni tofauti na makuzi ya mwanamke wa mjini (sio wote).
Most of these ladies hasa wa hapa Dar tabia zao ni kama hawakua na Wazazi ama walezi katika makuzi yao (uzungu mwingi majumbani) baba na Mama wako busy wanasaka noti watoto wanalelewa na boardinG schools hapo lazima equation igome kutoa majibu sahihi!

#Utandawazi ni sumu ya Roho!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom