McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Instagram imeendelea ku-copy features za mitandao mingine. Naona kwenye hii update yao mpya wameongeza sehemu ya REPOSTS kama ambavyo ipo kule tiktok
Yaani hapa ukisha-REPOST kitu basi after sometime pia kinaonekana kwenye akaunti yako.
Kwa hiyo sasa hivi kuna options kama 4 ambazo ni MAIN FEED, REELS, TAGGED na hiyo REPOSTS.
Features nyingine ambazo zimeongezwa ni
Instagram Map – Ni feature ya location-sharing kwa hiari kupitia DMs, inayosaidia marafiki kupanga au kugundua maeneo ya karibu kwa urahisi.
Friends Tab kwenye Reels – Inaonesha content ambazo marafiki zako wame-like, comment, repost au walizotengeneza. Pia unaweza kuanzisha mazungumzo moja kwa moja kupitia reply bar.