Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,711
Chuo cha usimamizi wa fedha (ifm) ni chuo kinachoongoza kwa kutoa au kuzalisha wataalam wa kada za uhasibu,benki,IT na mambo ya biashara.
Watu wamekua wakiponda vyuo vngne kua vinatoa wahtim wabovu na kuisahau ifm.
Wahitim wengi(karibu wote)wa ifm wana ufaulu mzuri sana ila hawana uwezo kichwani,wanafaulu kwa kusoma past papers,elim ya ifm imejikita kwenye past papers,mwanafunz anaweza kua haendi darasani ila bado akafaulu kwa kusoma past papers
kuna walim pale ni wavivu kutunga mitihani,kazi yao ni kurudia mitihani iliyopita,na wengne wana vitabu vyao,ukikinunua ukasoma maswali yaliyomo(yana majb) huhitaji kuhuzuria darasani,wewe una A
kana huamin,fuatilia kipindi cha mitihan pale ifm utaona wanafunzi wanavyohangaika kupitia past papers
hili jambo niliambiwa na mdogo wangu aliekua anasoma pale baada ya kumkuta ana gunia la past papers,akanipa hyo siri,nikafanya utafiti nikalithibitisha hlo.
Ushauri wangu. Waalim ifm badilikeni,hii dunia ya utandawaz mnatulemazia watoto wetu,igeni tabia ya UDSM.