Institute of finance management

Institute of finance management

Kichwa Ndio Mtu

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
3,079
Reaction score
1,711
Chuo cha usimamizi wa fedha (ifm) ni chuo kinachoongoza kwa kutoa au kuzalisha wataalam wa kada za uhasibu,benki,IT na mambo ya biashara.

Watu wamekua wakiponda vyuo vngne kua vinatoa wahtim wabovu na kuisahau ifm.

Wahitim wengi(karibu wote)wa ifm wana ufaulu mzuri sana ila hawana uwezo kichwani,wanafaulu kwa kusoma past papers,elim ya ifm imejikita kwenye past papers,mwanafunz anaweza kua haendi darasani ila bado akafaulu kwa kusoma past papers

kuna walim pale ni wavivu kutunga mitihani,kazi yao ni kurudia mitihani iliyopita,na wengne wana vitabu vyao,ukikinunua ukasoma maswali yaliyomo(yana majb) huhitaji kuhuzuria darasani,wewe una A

kana huamin,fuatilia kipindi cha mitihan pale ifm utaona wanafunzi wanavyohangaika kupitia past papers

hili jambo niliambiwa na mdogo wangu aliekua anasoma pale baada ya kumkuta ana gunia la past papers,akanipa hyo siri,nikafanya utafiti nikalithibitisha hlo.

Ushauri wangu. Waalim ifm badilikeni,hii dunia ya utandawaz mnatulemazia watoto wetu,igeni tabia ya UDSM.
 
Ndo hao ambao baadae wanakuwa hawajui hata Invoice ni nini? Jamani hadi Vyuoni
 
Unaongelea IFM ya mwaka gani wewe? IFM ilikufa kipindi kile imeanza kutoa degree na kuweka mambo ya semester system mwaka 2006 na kujaza wanafunzi wengi kuliko uwezo wa chuo wenyewe.Lakini hata hivyo IFM kina unafuu sana,nilishawahi kukutana na wahitimu wa Mzumbe yaaani ni majanga majanga majanga zaidi ya neno hilo,hivyo vya kata ndiyo usiseme kabisa
 
Watu wanadharau chuo kama muccobs,lakini naamin muccobs ni wazuri kuliko ifm au mzumbe.
 
Unaongelea IFM ya mwaka gani wewe? IFM ilikufa kipindi kile imeanza kutoa degree na kuweka mambo ya semester system mwaka 2006 na kujaza wanafunzi wengi kuliko uwezo wa chuo wenyewe.Lakini hata hivyo IFM kina unafuu sana,nilishawahi kukutana na wahitimu wa Mzumbe yaaani ni majanga majanga majanga zaidi ya neno hilo,(hivyo vya kata )ndiyo usiseme kabisa
Kwani IFM ni chuo kikuu? ni taasisi tu kama taasisi ya mwalimu nyerere! IFM chuo zoazoa iii.16/17 ndio zimejaa wahitimu wa IFM kichwani zero!
 
Unaongelea IFM ya mwaka gani wewe? IFM ilikufa kipindi kile imeanza kutoa degree na kuweka mambo ya semester system mwaka 2006 na kujaza wanafunzi wengi kuliko uwezo wa chuo wenyewe.Lakini hata hivyo IFM kina unafuu sana,nilishawahi kukutana na wahitimu wa Mzumbe yaaani ni majanga majanga majanga zaidi ya neno hilo,hivyo vya kata ndiyo usiseme kabisa

Ifm ya miaka ya hivi karibuni,kwa sasa nadhan ifm ndio chuo kinaongoza kuzalisha vilaza,wanafunzi wa kike(sio wote)wanatoa penzi wanapewa mitihani,walim wengi wana diploma(ni wahtim wa pale pale) na degree alaf wanafundisha wanafunzi wa degree(km unabisha soma prospectus yao uone elim ya walim wao).
 
Umenena mkuu
 
NDUGU YANGU POLE SANA,NADHANI UMEJARIBU KU GENERALIZE SANA MAMBO.KWANZA KABISA HILI TATIZO SI IFM TU BALI UDBS,MZUMBE,MUCCOBS NA VYUO VYOTE HAPA NCHINI ,WANAFUNZI WAKE WANAKUA WAMEKARIRI TOKA ADVANCE.WAMEZOEA KUMEZA REVIEW ZA NECTA ILI WAFAULU TU,NA WAALIMU NDIO WANAVYOWAKARIRISHA.MIMI SISOMI IFM LAKINI NATETEA CHUO,TATIZO SI CHUO BALI MFUMO WA ELIMU MZIMA ULIVYO.MTU AKIFAULU MAANAYAKE ALICHOKIMEZA KIMETOKA KWENYE MTIHANI.PIA UMESEMA KWAMBA ULIKUTANA NA WAHITIMU WA MZUMBE NI MAJANGA INAMAANA UMEKUTANA NA WANAFUNZI WOTE WA MZUMBE.MAKAMPUNI MAKUBWA DUNIANI HAPA NCHINI YA UKAGUZI NA UHASIBU KAMA PWC,ESTERN&YOUNG,DILLOITE YANAWACHUKUA WATU WENGI WALIOFANYA VIZURI KUTOKA MZUMBE,UDSM NA IFM MARANYINGI ,INAMAANA WOTE NI MAJANGA KUTOKA MZUMBE?.PIA MIMI NI MWANAFUNZI WA MZUMBE MBONA SIO MAJANGA?USITUMIE UDHAIFU WA KUKUTANA NA WANAFUNZI WAWILI AU WANNE WEAK NDIO UKASEMA WOTE WAPO HIVYO,WATU WAPO NONDO TU.LABDA UZUNGUMZIE ASILIMIA KUBWA YA WANAFUNZI WA VYUO WANAKUWA HAWANA UJUZI PRACTICALLY ILA KWENYE THEORY BONGO TUNAONGOZA ..KAMA KUNASEHEMU NIMEKOSEA NISAHIHISHENI PIA SORY KWA UANDISHI MAANA NATUMIA DEVICE INASUMBUA BATAN....
A%20S%20new.gif
 
kwani ifm ni chuo kikuu? Ni taasisi tu kama taasisi ya mwalimu nyerere! Ifm chuo zoazoa iii.16/17 ndio zimejaa wahitimu wa ifm kichwani zero!
mkuu acha kusema hivo.ni dharau hizo.mbona watu wenye ufaulu mzuri tu wapo pale.pia hata kama zoazoa lakini wanawachuja kweli kweli,pia tuangalie product sio input maana unaweza ukawa na input nzuri ukazalisha bidhaa ambayo si bora.
 
Ifm ya miaka ya hivi karibuni,kwa sasa nadhan ifm ndio chuo kinaongoza kuzalisha vilaza,wanafunzi wa kike(sio wote)wanatoa penzi wanapewa mitihani,walim wengi wana diploma(ni wahtim wa pale pale) na degree alaf wanafundisha wanafunzi wa degree(km unabisha soma prospectus yao uone elim ya walim wao).
MIMI SI MWANAFUNZI WA IFM ILA NIMEPITIA PROSPECTUS YAO.NDUGU ACHA KUSEMA HIVO,NI KWELI WATU WALIOMALIZA DEGREE WANAWAFUNDISHA WA DEGREE WENZAO PALE?.KWA MIMI NNAVYOJUA WALE WENYE BACHELOR WANAWAFUNDISHA WA CERTIFICATE NA DIPLOMA KI KAWAIDA.LECTURE/ASSISTANCE LECTURE LAZIMA AWE NA MASTERS AU ZAIDI ANAEFUNDISHA BACHELOR .PhD NDIO LECTURE/SENIOR LECTURE INATEGEMEA NA EXPERIENCE.PROF NDIO SENIOR LECTURE ALWAYS
 
Kujua kua sibahatishi,kama una prospectus yao,alaf uliza majina ya waalim maarufu pale wa kada tofauti tofauti wanaofundisha degree alaf angalia kwenye prospectus elim yao ndio utajua.
 
Mtu na akili zko hauwez kuacha udsm ama mzumb ama ardhi ukaend ifm vilaza na masalia wote wa shulen kwngu wali2pwa ifm tena 2nd choice
 
Wadogo zangu,
wengi wenu mnachanganyikiwa pindi mnapomaliza vyuo wa sababu ya high expectation kama hizo.

Unaweza kufaulu vizuri sana lakini ukafika mtaani na kuhesabu miaka nenda rudi bila ya kuwa na ajira, yote hiyo kwa sababuu ya dharau na dhihaka mnazoziomesha wakati mwingine Mungu anaamua kuwapigaa kofi ili mjifunze cha kuujifunza.

Kusoma ni jambo moja lakini network na watu ni jambo liingine, kwenye yote hayo dharau na majivuno ya kusoma sijui UD, ardhi, mzumbe na kudharau taasisi kama TIA, IAA, IFM na nyingine ni kosa na dhabi pia.

Malizenii shule mkifika mtaani mtajutaa na kusaga meno utatamani hata uajiriwe kuwa msaga mashine.

acheni dharau, mwombeni Mungu mnayosoma yawasaidie na kuwaongoza katikaa kujiajiri na si kuajiriwa apo ndipo pona yenu ya kusota mtaani itakuwa!!
 
mtu na akili zko hauwez kuacha udsm ama mzumb ama ardhi ukaend ifm vilaza na masalia wote wa shulen kwngu wali2pwa ifm tena 2nd choice
saawa lakini tuangalie wametoka kama walivyoingia?.pia mbona nasoma na watu kutoka kibaha,mzumbe sec ,marian na shule maarufu na wengine waliingia advance na div 1 za 8,10.9 na kali na advavce div 1 kali lakini chuo mtiti wanalambwa?elimu ya secondary ni kukalili sana,mimi mwenyewe siwezi kum judge mtu kwa alama za secondary maana kule ukufaulu maana yake ulichomeza kimetoka.kuhusu wahadhiri sijui maana nimesoma prospectors yao nimeona dept ya accounting,fin,na bank ndio ina ma dr wengi na jumla ya lecturers labda hawatoshi maana wanachukua wanafunzi wengi saana kuliko tia labda,lakini mimi si wa pale so nisiseme mengi
 
Wadogo zangu,
wengi wenu mnachanganyikiwa pindi mnapomaliza vyuo wa sababu ya high expectation kama hizo.

Unaweza kufaulu vizuri sana lakini ukafika mtaani na kuhesabu miaka nenda rudi bila ya kuwa na ajira, yote hiyo kwa sababuu ya dharau na dhihaka mnazoziomesha wakati mwingine Mungu anaamua kuwapigaa kofi ili mjifunze cha kuujifunza.

Kusoma ni jambo moja lakini network na watu ni jambo liingine, kwenye yote hayo dharau na majivuno ya kusoma sijui UD, ardhi, mzumbe na kudharau taasisi kama TIA, IAA, IFM na nyingine ni kosa na dhabi pia.

Malizenii shule mkifika mtaani mtajutaa na kusaga meno utatamani hata uajiriwe kuwa msaga mashine.

acheni dharau, mwombeni Mungu mnayosoma yawasaidie na kuwaongoza katikaa kujiajiri na si kuajiriwa apo ndipo pona yenu ya kusota mtaani itakuwa!!

Wadogo zangu,
wengi wenu mnachanganyikiwa pindi mnapomaliza vyuo wa sababu ya high expectation kama hizo.

Unaweza kufaulu vizuri sana lakini ukafika mtaani na kuhesabu miaka nenda rudi bila ya kuwa na ajira, yote hiyo kwa sababuu ya dharau na dhihaka mnazoziomesha wakati mwingine Mungu anaamua kuwapigaa kofi ili mjifunze cha kuujifunza.

Kusoma ni jambo moja lakini network na watu ni jambo liingine, kwenye yote hayo dharau na majivuno ya kusoma sijui UD, ardhi, mzumbe na kudharau taasisi kama TIA, IAA, IFM na nyingine ni kosa na dhabi pia.

Malizenii shule mkifika mtaani mtajutaa na kusaga meno utatamani hata uajiriwe kuwa msaga mashine.

acheni dharau, mwombeni Mungu mnayosoma yawasaidie na kuwaongoza katikaa kujiajiri na si kuajiriwa apo ndipo pona yenu ya kusota mtaani itakuwa!! daaa HAPO UMENICHEKESHA.KWELI KITAA NI NETWORK TU​

Unazungumzia IFM mtu.hata akiwa na Div 0, Div IV na Div III ya 16/17 ambao wanafanya pre entry wakifaulu wanaendelea na degree wenye div I na II ni 1/10 pale. mwanao akifeli iki upate uhakika wa chuo lazima uchague IFM hukosi pale. Ushahidi nianao!
 
mti wenye matunda ndio upigwao mawe...yan watu mnahangaika kuiponda IFM... hamchoki?
 
Unazungumzia IFM mtu.hata akiwa na Div 0, Div IV na Div III ya 16/17 ambao wanafanya pre entry wakifaulu wanaendelea na degree wenye div I na II ni 1/10 pale. mwanao akifeli iki upate uhakika wa chuo lazima uchague IFM hukosi pale. Ushahidi nianao!

wambea huwa hawakosagi ushahidi
 
Back
Top Bottom