Insulting Kenya's president on Facebook lands blogger in prison

Insulting Kenya's president on Facebook lands blogger in prison

wakati mwengine ni sawa tu. bora kulinda masilahi mapana ya wanakenya kuliko kukumbatia huyo kibaraka wa odinga kuiharibu kenya.
 
Marais wanajishusha wenyewe, wanajitukana wenyewe. Huyo adolescent president alikuwa mshiriki mkubwa wa raia waliouawa kwenye uchaguzi kule Kenya. Je, amechukuliwa hatua gani? Au hiyo zawadi ya kuwa rais ndio kigezo? JK anakaidi amri za Bunge kulinda makuwadi wake wa wizi wa mali ya umma tukisema ati anatukanwa? Wanajitukana wenyewe. Ni ujinga na ulafi wao ndio unaofanya wadharaulike. Mbona marais wengi tu wanatukanwa tena wenye majina makubwa kabisa ambao ni wachapa kazi itakuwa hivi vimburukenge vinavoiba kura kila uchwao. Africa needs to work up and fight for their rights otherwise our children will continue to be slaves of the bastards.
 
Matusi ni njia ya kufikisha ujumbe au kuonyesha msisitizo ata wazazi wetu baadhi ambao tunaamini ndo chimbuko la maadili utumia matusi kwa wanao pindi wanapo kasirishwa.
Hapa kwetu viongozi wametukanwa sana na wananchi kwa kushindwa kuthibiti mapungufu yao.
 
Maandishi ya huyo kijana yamekuwa " redacted " au ni hivyo kama mwanzisha mada alivyo yaleta.? Kama ndivyo alivyo leta mleta mada basi Kenya kuna tatizo kubwa la uhuru wa maoni.
 
150102220926_kenya_president_uhuru_kenyatta_640x360_ap.jpg
Mwanafunzi mmoja nchini Kenya amepewa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kumtukana rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika mtandao.

Alan Wadiu Okengo mwenye umri wa miaka 25 pia atalipa faini ya dola 2,200 la sivyo ahudumie kifungo chengine cha mwaka mmoja.
Alikuwa ameshtakiwa kwa kutoa matamshi ya chuki baada ya kusema kuwa watu wa kabila la rais la kikuyu wanafaa kuwekewa mipaka katika maeneo fulani.
Mwanablogu mashuhuri nchini humo pia alishtakiwa baada ya kumwita rais Uhuru Kenyatta 'rais ambaye hajakomaa'.
Kenya ina mitandao mahiri na mwandishi wa BBC Emmanuel Igunza amesema kuwa kesi hiyo imezua mjadala mkubwa kuhusu kile kilichosahihi katika mitandao.

source BBC.

Sipati picha wana JF wangekuwapo kenya magereza yangejaa wana JF.
 
Hamna, Watanzania waoga sana, hebu onyesha post hata moja ambayo Mtanzania amefikia kiwango cha huyu jamaa, yaani Mtanzania ambaye amekua hadi na ujasiri wa kuagiza Kikwete auawe. Hata kwa Obama ukithubutu yanakukuta, hebu ona hii.

Lawrence Man Arrested for Threatening Obama’s Life

bdd75eb6915c41c9890b43a3cefe23e1-bdd75eb6915c41c9890b43a3cefe23e1-0.jpg
Stephen Perrotti, 28, with his attorney Steven Van Dyke, right, in Lawrence, Mass., District Court on Friday during his arraignment on firearms charges in connection with an investigation into alleged threats against President Barack Obama.AP/Paul Bilodeau/The Eagle-Tribune
By Mikaela Lefrak
Boston.com Staff | 08.01.14 | 2:38 PM

A Lawrence man who allegedly threatened to kill President Barack Obama via Twitter was arraigned Friday on nine firearms charges in Lawrence District Court, according tomultiple reports.
Stephen Perrotti, 28, allegedly threatened to kill the President “even if it takes a lifetime,” according to a police report obtained by the Eagle-Tribune. The arraignment is in connection with a US Secret Service investigation into the alleged threats, according to the Eagle-Tribune.
Perrotti was arrested on Thursday after the Secret Service contacted Lawrence Police about the threats, according to CBS. Secret Service agents and Lawrence police officers went to Perrotti’s residence and searched the premises.
According to The Boston Globe:
[Essex District Attorney Jonathan] Blodgett spokeswoman Carrie Kimball Monahan said five large capacity firearms were found inside his residence on Byron Avenue Thursday night, leading to Perrotti being charged with five counts of illegal possession of large capacity firearms.
The firearms included an AR-15 assault rifle. Three scopes, four high-capacity magazines, and ammunition were also allegedly in his possession.
Perrotti will return to court on September 8th for a dangerousness hearing. He is being held without bail.

Mikaela can be reached at mikaela.lefrak@globe.com or via Twitter @mikafrak.

Wacha uongo wewe habari hii hapa:

_80029648_80028866.jpg

Okengo pleaded guilty to insulting President Kenyatta

A Kenyan student has been sentenced to a year in jail for insulting President Uhuru Kenyatta on social media.
Alan Wadi Okengo, 25, alias lieutenant Wadi, must also pay a fine of $2,200 (£1,400), or serve a second year. He was also convicted of hate speech, after saying members of the president's Kikuyu ethnic group should be confined to certain parts of the country. A prominent blogger was recently charged after calling Mr Kenyatta an "adolescent president".Kenya has a vibrant social media scene and the BBC's Emmanuel Igunza says the cases have led to fierce debate about what is acceptable online. Our reporter notes that many people think Okenga overstepped the mark, as they felt his comments were personal abuse that was not fit to be published. Okenga pleaded guilty to both hate speech and insulting the head of state. The Daily Nation website reports that he was arrested while trying to flee the country.The case comes as a Kenyan court suspended sections of a tough new security law which critics say curtails media freedoms.

What did the blogger said .... ..... ....

_79793845_alai624.jpg

Robert Alai is no stranger to controversy over his Twitter activity

A popular but controversial Kenyan blogger has been charged with undermining the presidency, following a tweet he posted earlier this week. Robert Alai, a fierce government critic, called President Uhuru Kenyatta an "adolescent president". He denied the charge and was released on bail of $2,000 (£1,300) but ordered not to post similar comments while investigations continue.
Mr Alai is among Kenya's most prominent and influential bloggers. He has 140,000 followers on Twitter. The BBC's Emmanuel Igunza in Nairobi says Mr Alai attracts love and hate in equal measure. On the same day as calling Mr Kenyatta an "adolescent president", he also tweeted the phone numbers of the president and other senior officials. Mr Alai has already received massive support on Twitter from Kenyans who see his prosecution as part of a government scheme to curtail media freedom and freedom of expression. Soon after being released, he tweeted defiantly that it will be hard to silence him. Two years ago, he was arrested and questioned after claiming that the then government spokesman was planning to kill him.

Kenyatta should grow up aka ''Adolescent president''.
 
Hivi siku hizi wameacha kutangaza mtukufu rais . .... ..... .. kwenye kila taarifa ya habari?
 
C'mon! Kenyan 'IT' Expert, we call JK all kinds of names here. haven't you seen my post history?i thought you troll profiles before discussing anything with anyone?

I am not a child, so i won't go on and post nonsensical whimsical yadayada just to fill your empty ego. Fact is you have a President who is not man enough to stand up to criticism.

as for your Kenyan wannabe. am not surprised, it's the National MOTTO it seems,faking till something happens.Keep cheering up.

this is the problem with the internet, an 18year old with too much internet on their hand thinks they have a successful career. call me 20 years later, if you still manage that 6 figure salary, consistently, then we can talk.

Good thing with having the right brain is, it gets better with Age, just like good wine.
 
Aha! just a typical liar. There is not a single thread or comment anywhere here in JF insulting JK, differentiate criticism from insult. I can't think of a grandpa like you wasting in UK spending up time to insult a seating president, but with you, anything is possible, have seen your worst.

But you're lucky you're hiding in that mzungu cage, back home in Tanzania, patriots gets arrested for walking from Geita to Dar with the intention of seeing president to express their national concerns. Talking of tolerance to critism...???

VIJANA watatu wanaoaminika kuwa ni wafuasi wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA, wamekamatwa na polisi eneo la Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Januari 2, 2014, baada ya jaribio lao la kufanya matembezi kutoka mkoa wa Geita wakielekea Ikulu ya Dar es Salaam kumuona Rais Jakaya Kikwete kufikisha malalamiko yao.
Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Jordan Rugimbana, vijana hao watatu, Juma Maganga, Khalifa Selemani na Athanas Michael, walielekezwa na maafisa usalama kumuona yeye DC baada ya kuwasili kwenye eneo lake la utawala wakitokea Geita, ili awape baraka za kwenda Ikulu. Lakini walipofika ofisini hapo, DC huyo alitaka kujua nini hasa kilichowafanya watembee safari ndefu kama hiyo?

DC Rugimbana alisema, walimweleza kuwa Mosi, Wanataka Kumnuona Rais ili wamueleze kuchukizwa kwao na vitendo vya viongozi kula rushwa na hakuna hatua dhabiti zinazochukuliwa dhidi yao, kukithiri kw amatumizi mabaya ya rasilimali za taifa, kukithiri kwa vitendo vya unyanyasaji dhidi ya raia, na kudai kurejeshwa kwa serikali ya Tanganyika.
Baada ya kusikia hayo, DC aliwaeleza kuwa kila Mtanzania anayo haki ya kumuona Rais wa nchi, hata hivyo sio kumuona kiholela bali ni kwa utaratibu maalum, na kwa kufikia hatua waliyofikia vijana hao, tayari walikuwa wamevunja sheria lakini akawataka wasubiri awasiliane na wakubwa ili waandaliwe utaratibu wa kumuona Rais.

Hata hivyo vijana hao walikataa na walipotoka nje ya ofisi ya DC hapo Kinondoni, walifanya tena jaribio la kuelekea Ikulu na safari hii polisi hawakufanya masihara, waliwaweka chini ya ulinzi mita chache kutoka taa za kuongozea magari kwenye makutano ya barabara za Morogoro na Kawawa ukiwa uneelekea Kariakoo.

DSC_7825.JPG

Vijana hao wakiwa kwenye safari yao eneo la Magomeni Kagera
DSC_8110.JPG

Vijana hao wakiwa chini ya ulinzi wa polisi wakielekea kituo cha polisi Magomeni Mapipa
DSC_8055.JPG

Polisi wa kutuliza ghasia akiwahi sehemu walikoelekea vijana hao tayari kuwakamata
DSC_7912.JPG

Polisi wakionye raia kutounga "tela" safari ya vijana hao wakati wakiwa eleo la Magomeni Mwembechai

DSC_8154.JPG

Polisi wakimdhibiti mmoja w avijana wasiokubali "kupitwa"

DSC_8047.JPG

Polisi wakiwahi kukamata vijana

under%2Barrest2.jpg

Vijana wakiwa chini ya ulinzi
DSC_8138.JPG

Wakionyesha mshikamano baada ya kukamatwa

Rugimbana.jpg

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Jordan Rugimbana, akiwaeleza waandishi wa habari matokeo ya mazungumzo yake na vijana hao.

VIJANA WA3 TOKA GEITA WATEMBEA SIKU 37 KUFIKISHA UJUMBE KWA RAIS KIKWETE; Wakamatwa na Polisi Dar | ALOYSON - Digital News
 
Nimeshakuzoea, thread ya kuhusu Kenyan Blogger wewe unaleta hadithi za maandamano ya TZ.wapi na wapi?
 
Kimweri

Wapi na wapi kivipi, ungekua umepata elimu ya kutosha ungeelewa ninachomaanisha hapa. Kati ya marais hawa ni yupi asiye mvumilivu.
- Mkenya ameshikwa na kushtakiwa kwa kumtusi rais akitumia maneno machafu huku akimtishia.
- Naye Mtanzania mzalendo ameshikwa na kushtakiwa kwa kutembea umbali wa kilomita 1200 kwa siku 37 akiwa na nia ya kumfikishia rais ujumbe kuhusu maovu yanayotendeka kule kwao Geita.

Hebu ona hizo picha hapo juu zinavyoonyesha makomando wa Kitanzania wakiwa kwenye shughuli kali ya kuwashika hao vijana.
 
Last edited by a moderator:

Dude, watakucheka watu Humu JF, JK can be a lot of things, but people in Tanzania call him whatever name they like. From Dhaifu,to Mk.w.ere to VAsco dagama.Can't remember all the weird names he gets called.
Thing is He doesn't care. Hao waliokamatwa it's just political, kama siasa za TZ huzijui, utapasua kichwa na huo ubongo wako wa kuku.

Kwenye diplomasia EA hakuna wa kumfananisha na JK, ana mapungufu yake, but comparing JK to that clueless Uhuru is disrespecting JK. Uhuru is like a toddler to JK. Uhuru's mentor is probably JK not the other way around.

Uhuru angekuwa na busara za JK, asingefikishwa ICC,wala asingesababisha Alshabab wawaletee vurugu kila siku huko north Kenya. But anaendelea kujifunza. for many he is president in training.
 
Tofautisha kumuita rais majina ya utani na matusi, get back to some elementary training about some stuffs of life. Uhuru has been called names, including bhang smoker and stuffs. But it's the first time am seeing somebody pulling up F** words on him and even calling for his killing. You don't get a lot of that anywhere and damn sure not a single Tz has balls enough to attempt that, even you in your cocoon.

Halafu unashangaza sana, yaani unalichukulia kisiasa uzalendo wa watu watatu kutembea umbali wa kilomita 1200 kwa siku 37 ili wamfahamishe rais wao masaibu yanayowakumba. Halafu jamaa wamejufunika bendera za nchi. Yaani hiyo shughuli yao imeniingia mimi hadi kwenye mifupa na sio nchi yangu, nimewapenda sana jamaa halafu wewe mvivu uliyejificha nyuma ya laptop yako unabaki kuwabeza eti wanacheza siasa. Kweli miafrika aliyeturoga kafa zamani zile.
 
Time to put Sony entertainment in Jail, last month they not only called NK president all kinds of names, they even "killed" him on the big screens. I thought kenya was this Western puppet that was following whatever trend out of washington?it's now a trend to call all sort of names world leaders.
As for that Kenyan poor kid, am not supprised, stress can do a lot of things to a young man, i witness this everyday here in JF, you should have reached out to your frustrated friend to vent here in your Kenyan Corner, as it seems you don't have such places in Kenya, where you can all keep your ID's to yourself.
 
NK fat kid threatened to bomb USA for that, just that he doesn't have the balls.
We've seen a guy arrested for insulting and threatening Obama.
There is a limit to freedom, even here in JF, people get banned and has happened to me after some JF grandpa went crying to the mods when I pushed him too far.
 
Back
Top Bottom