Insulting Kenya's president on Facebook lands blogger in prison


Let me stop here. Your Hypocrisy level is beyond my comprehension level. Keep mumbling alone. Hii free speech selective siipendi. kama unaona si sahihi Uhuru kutishiwa maisha, hata fat kid naye si sahihi.

kwa kichwa kibovu kama cha kwako, sishangai Mods kukutia ban, kwani humu ndani tuna deal na psychiatric cases wa kutosha.
 

Nishakuzoea, huwa unazunguka zunguka hadi hatimaye unajitoa mwenyewe kwa aibu.
Ulianza kwa kudai rais Uhuru sio mvumilivu kwa kumtia ndani jamaa aliyemtusi akitumia maneno machafu kama ya ngono na hata kumtishia maisha, hapo hapo sikusita kukuonyesha jamaa Watanzania wanashikwa kwa kutembea kilomita 1200 ili waongee na rais.

Kauli yangu ni simple, kila mtu ana uhuru ila lazima kuwe na uwajibikaji, huwezi vuka mpaka na ukose adhabu. Rais huyo wa Kore Kusini hamna sehemu nimeunga mkono matusi dhidi yake, nimekuzoea kawaida kulazimishia maneno unapobanwa na hoja. Nilichosema ni kwamba jamaa alikerwa kiasi cha kutisha kuwapiga Wamarekani kwa bomu ila akaogopa.

Namalizia na kukuomba usome signature yangu ya JF na utafakari "Discipline without freedom is Slavery, Freedom without discipline is Anarchy"
 

Both are banana-like...oh ye' primitive citizens of third world tribal banana chiefdoms of republic of Africa.
 
Mwanafunzi mmoja nchini kenya amefungwa mwaka mmoja gerezani kwa kosa la kumtukana raisi kwenye mitandao ya kijamii au atalipa faini ya dola 200 za kimarekani na endapo atashindwa atatumikia kifungo cha mwaka mmoja.Kijana huyo alishtakiwa kwa kutoa matamshi ya chuki baada ya kusema watu wa kabila la kikuyu wanafaa kuwekewa mipaka katika maeneo fulani hilo ndo kosa lake .Ingekuwa tanzania wengi humu tungekuwa mahabusu leo.
 
We subiri rais ajae awe anatoka chama chochote kama mtaendelea kutukana.
huyu si alishawambia kelele za mlango...
 
dah Tz kuna uhuru sana saivi.

tuna uhuru kwa sababu wanaotukanwa ni wahusika wa hayo matukio kama wanaitwa wezi wa pesa za umma wameiba kweli Mnyika kusema raisi ni mdhaifu alisema ukweli
 
Acha atukanwe kwa nini faini iwe dola na si kshs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…