hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
[emoji16][emoji16]100 MB iuzwe kwa Elfu 10
Itapendeza zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16]100 MB iuzwe kwa Elfu 10
Itapendeza zaidi
[emoji16][emoji16]Alafu sh 10 ya Kenya, Ni sh. 200 ya TZ,
Tuna wakikilishi wa hovyo
As if tunaishi Kwa kutizama matatizo ya majirani yalivyoUkipiga sana kelele utaambiwa bei ya intanet TZ ni ndogo kuliko Kenya...
Kwenye simu yako nenda kwenye settings, ondowa 4G preferred weka 3G preferred.Jana, nimenunua 640 MB kwa sh. 1000 lakini kuamka asubuhi 350 MB Ni kwa hiyo 1000. Kwa hiyo gharama imepanda mara mbili ndani masaa machache. Yote haya Ni kwa sababu upinzani wa Rais upo mtandaoni.
Hili balaa lilianza Baada ya huyu Rais kuingia madaraki. Kutokana na kusemwa sana akaanza kupandisha virushi.
Enzi za Magufuli kwa sh. 500 unapata 1GB - 500 mb , na alisisitiza sana taasi za serikali kuhamia mtandaoni.
Hii ilichangia ongezeko la internet users.
Madhara ya kupunguza watumiaji wa intaneti Ni makubwa :-
Kuwa na lundo la wasomi wasioendana na kasi ya duniani (wasomi wa vitabu).
Uhaba wa ma-programmer
Mifumo itakuwa ni analog
Hivi Leo Kuna watu ni matajiri kutokana tu na kucheza game online, (Ninja).
Package nzuri zipo mpaka leo, uhuni unafanywa na kampuni za simu wanazificha, unakuta package nzuri iko namba 9 wengi huwa hawaoni maana kwenye screen huwa inaishia namba 5, kwahiyo 6 hadi 10 unatakiwa uingize mwenyewe manual huko ndio utashangaa utakayokutana nayo.enzi za magu kulikua na night pack,toboa daah kwa bei ya 1500 tu unaseleleka mpaka asubuh
Kapeti ya nyumba ya Asali ambayo wakina mbowe wanakwendaga kulambaHili ni kapeti la nyumba ipi mkuu?!
Package nzuri zipo mpaka leo, uhuni unafanywa na kampuni za simu wanazificha, unakuta package nzuri iko namba 9 wengi huwa hawaoni maana kwenye screen huwa inaishia namba 5, kwahiyo 6 hadi 10 unatakiwa uingize mwenyewe manual huko ndio utashangaa utakayokutana nayo.
Jipe muda wa kuchezea menu za mtandao unaotumia utagunduwa kitu ulichokuwa hukijui.
Hapa hatuongelei matumizi ya bando ,Kwenye simu yako nenda kwenye settings, ondowa 4G preferred weka 3G
1500 Ni 10GB. 🤣🤣🤣enzi za magu kulikua na night pack,toboa daah kwa bei ya 1500 tu unaseleleka mpaka asubuh
Kwa vile nimemtaja Maguful?Enzi za Magufuli kwa sh. 500 unapata 1GB - 500 mb , na alisisitiza sana taasi za serikali kuhamia mtandaoni.
Hii ilichangia ongezeko la internet users.
Hapo umetudanganya
Huna akili huwezi kunielewa.Hapa hatuongelei matumizi ya bando ,
Tunaongelea Bei za bado.
Cha pili, natumia computer na sio simu
Acha siasa kwenye mambo yasiyo ya kisiasa
1500 Ni 10GB. 🤣🤣🤣
Ikiwa 3G mtandao unakua chini sanaKwenye simu yako nenda kwenye settings, ondowa 4G preferred weka 3G preferred.
Achana na 4G haikusaidii kitu zaidi ya kula bando lako tu na ikibaki mb kidogo 4G haifungui internet.
Hapa umekwepa tu ukweliPackage nzuri zipo mpaka leo, uhuni unafanywa na kampuni za simu wanazificha, unakuta package nzuri iko namba 9 wengi huwa hawaoni maana kwenye screen huwa inaishia namba 5, kwahiyo 6 hadi 10 unatakiwa uingize mwenyewe manual huko ndio utashangaa utakayokutana nayo.
Jipe muda wa kuchezea menu za mtandao unaotumia utagunduwa kitu ulichokuwa hukijui.
Nimegundua kuongopewa ni rahisi sana.Shukrani mkuu
Usiongee kitu watu tunamaliza mpka hiyo menu lakini hamna cha maana ni wapumbavu sanaPackage nzuri zipo mpaka leo, uhuni unafanywa na kampuni za simu wanazificha, unakuta package nzuri iko namba 9 wengi huwa hawaoni maana kwenye screen huwa inaishia namba 5, kwahiyo 6 hadi 10 unatakiwa uingize mwenyewe manual huko ndio utashangaa utakayokutana nayo.
Jipe muda wa kuchezea menu za mtandao unaotumia utagunduwa kitu ulichokuwa hukijui.
Halotel walikuwa na unlimited kwa 1500/- kwa usiku yaani unapakua mpaka 100GB na bado mzigo unatembea.1500 Ni 10GB. 🤣🤣🤣
Mimi mwanzo walikuwa wananipa kifurushi cha 4G GB 7 kwa wiki kwa elf 5, leo hii unapewa GB 3.3 pekee........wamefyeka GB 3.7 nzima lakini wanalamba buku 5 ileile.Hapa umekwepa tu ukweli
Halotel miezi michache iliyopita 4G halotel kwa sh 10000 ilikua GB 10. Sasa hivi GB 6.6
Hiyo sijui namba au sijui nenda kwa chini ni uongo.