Intaneti imezidi kupanda Bei

Intaneti imezidi kupanda Bei

Jana, nimenunua 640 MB kwa sh. 1000 lakini kuamka asubuhi 350 MB Ni kwa hiyo 1000. Kwa hiyo gharama imepanda mara mbili ndani masaa machache. Yote haya Ni kwa sababu upinzani wa Rais upo mtandaoni.

Hili balaa lilianza Baada ya huyu Rais kuingia madaraki. Kutokana na kusemwa sana akaanza kupandisha virushi.

Enzi za Magufuli kwa sh. 500 unapata 1GB - 500 mb , na alisisitiza sana taasi za serikali kuhamia mtandaoni.
Hii ilichangia ongezeko la internet users.

Madhara ya kupunguza watumiaji wa intaneti Ni makubwa :-

Kuwa na lundo la wasomi wasioendana na kasi ya duniani (wasomi wa vitabu).
Uhaba wa ma-programmer
Mifumo itakuwa ni analog
Hivi Leo Kuna watu ni matajiri kutokana tu na kucheza game online, (Ninja).
Kwenye simu yako nenda kwenye settings, ondowa 4G preferred weka 3G preferred.

Achana na 4G haikusaidii kitu zaidi ya kula bando lako tu na ikibaki mb kidogo 4G haifungui internet.
 
enzi za magu kulikua na night pack,toboa daah kwa bei ya 1500 tu unaseleleka mpaka asubuh
Package nzuri zipo mpaka leo, uhuni unafanywa na kampuni za simu wanazificha, unakuta package nzuri iko namba 9 wengi huwa hawaoni maana kwenye screen huwa inaishia namba 5, kwahiyo 6 hadi 10 unatakiwa uingize mwenyewe manual huko ndio utashangaa utakayokutana nayo.

Jipe muda wa kuchezea menu za mtandao unaotumia utagunduwa kitu ulichokuwa hukijui.
 
Shukrani mkuu

Kwenye simu yako nenda kwenye settings, ondowa 4G preferred weka 3G
Hapa hatuongelei matumizi ya bando ,
Tunaongelea Bei za bando.
Cha pili, natumia computer na sio simu

Acha siasa kwenye mambo yasiyo ya kisiasa
 
Enzi za Magufuli kwa sh. 500 unapata 1GB - 500 mb , na alisisitiza sana taasi za serikali kuhamia mtandaoni.
Hii ilichangia ongezeko la internet users.

Hapo umetudanganya
Kwa vile nimemtaja Maguful?
Au we ni mmojapo wa ma-Zombie?
 
Kwenye simu yako nenda kwenye settings, ondowa 4G preferred weka 3G preferred.

Achana na 4G haikusaidii kitu zaidi ya kula bando lako tu na ikibaki mb kidogo 4G haifungui internet.
Ikiwa 3G mtandao unakua chini sana
 
Package nzuri zipo mpaka leo, uhuni unafanywa na kampuni za simu wanazificha, unakuta package nzuri iko namba 9 wengi huwa hawaoni maana kwenye screen huwa inaishia namba 5, kwahiyo 6 hadi 10 unatakiwa uingize mwenyewe manual huko ndio utashangaa utakayokutana nayo.

Jipe muda wa kuchezea menu za mtandao unaotumia utagunduwa kitu ulichokuwa hukijui.
Hapa umekwepa tu ukweli
Halotel miezi michache iliyopita 4G halotel kwa sh 10000 ilikua GB 10. Sasa hivi GB 6.6
Hiyo sijui namba au sijui nenda kwa chini ni uongo.
 
Usiongee kitu watu tunamaliza mpka hiyo menu lakini hamna cha maana ni wapumbavu sana
 
1500 Ni 10GB. 🤣🤣🤣
Halotel walikuwa na unlimited kwa 1500/- kwa usiku yaani unapakua mpaka 100GB na bado mzigo unatembea.
Voda nao walikuwa na Wajanja Night kwa jero enzi hizo.

Sasa hivi vifurushi vimepanda bei sana. Kifurushi cha 10000 hufanyi cha maana.
 
Hapa umekwepa tu ukweli
Halotel miezi michache iliyopita 4G halotel kwa sh 10000 ilikua GB 10. Sasa hivi GB 6.6
Hiyo sijui namba au sijui nenda kwa chini ni uongo.
Mimi mwanzo walikuwa wananipa kifurushi cha 4G GB 7 kwa wiki kwa elf 5, leo hii unapewa GB 3.3 pekee........wamefyeka GB 3.7 nzima lakini wanalamba buku 5 ileile.
 
Back
Top Bottom