frankkilulya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2022
- 590
- 1,494
Tupo kwenye awamu inayopelekeshwa pelekeshwa haina msimamo alafu inawabeba wafanya biashara kuliko wananchi ndio maana kila kukicha vitu vnapanda bei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.Kwa mara ya kwanza unaenda Tigo wanakuunga, then kila mwezi unalipia mwenyewe kwa Tigopesa.
Ukijiunga Kifurushi ndio hicho hicho kila mwezi. Mfano umejiunga GB 30 kila Tarehe 1 GB 30 zinaingia kwenye Account. Uzuri wa Postpaid hulazimiki kulipia papo hapo, hata kama Huna hela wanakupa wiki kadhaa, unaweza hata tarehe 10 ukalipia.
Elfu kumi na tano wanatoa Gb ngap??Kama Lengo ni kupata GB nyingi
1. Hamia post paid kama unajiweza 25,000 unapata GB 30 ama wastani 15,000 unapata GB 3. Kwa Tigo.
2. Funga internet ya Nyumbani, Unlimited 4mbps TTCL ni 25,000 tu ipo mpaka mikoani, japo si maeneo yote, kama Huwezi ku Afford 25,000 changa na mwenzako.
GB 13 bila dakika.Elfu kumi na tano wanatoa Gb ngap??
Laki na nusu ndo unyama zaidi mwaisa tuishi kama mazombiIwe laki tu ili tuishi Kama mashetani halafu itakuwa unyama sana
Kwa mara ya kwanza unaenda Tigo wanakuunga, then kila mwezi unalipia mwenyewe kwa Tigopesa.
Ukijiunga Kifurushi ndio hicho hicho kila mwezi. Mfano umejiunga GB 30 kila Tarehe 1 GB 30 zinaingia kwenye Account. Uzuri wa Postpaid hulazimiki kulipia papo hapo, hata kama Huna hela wanakupa wiki kadhaa, unaweza hata tarehe 10 ukalipia.
Freemason tunalo suruhisho..🤣Washenzii aisee watu waje na suluhishoo
Sifahamu mkuu, na hata kama ipo sijajua masharti yake. Masharti ya Tigo ni marahisi kiasi kwamba yoyote anaweza jiunga.Airtel hawana hii kitu?