Intaneti imezidi kupanda Bei

Intaneti imezidi kupanda Bei

Tupo kwenye awamu inayopelekeshwa pelekeshwa haina msimamo alafu inawabeba wafanya biashara kuliko wananchi ndio maana kila kukicha vitu vnapanda bei
 
Kwa mara ya kwanza unaenda Tigo wanakuunga, then kila mwezi unalipia mwenyewe kwa Tigopesa.

Ukijiunga Kifurushi ndio hicho hicho kila mwezi. Mfano umejiunga GB 30 kila Tarehe 1 GB 30 zinaingia kwenye Account. Uzuri wa Postpaid hulazimiki kulipia papo hapo, hata kama Huna hela wanakupa wiki kadhaa, unaweza hata tarehe 10 ukalipia.
Sawa.
 
Kama Lengo ni kupata GB nyingi
1. Hamia post paid kama unajiweza 25,000 unapata GB 30 ama wastani 15,000 unapata GB 3. Kwa Tigo.
2. Funga internet ya Nyumbani, Unlimited 4mbps TTCL ni 25,000 tu ipo mpaka mikoani, japo si maeneo yote, kama Huwezi ku Afford 25,000 changa na mwenzako.
Elfu kumi na tano wanatoa Gb ngap??
 
Airtel hawana hii kitu?

Back
Top Bottom