Integensia za wazee wetu zilizokuwa zikisaidia familia na jamii zetu hapo kale!

Integensia za wazee wetu zilizokuwa zikisaidia familia na jamii zetu hapo kale!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Mama zetu walikuwa atleast kila wiki lazima watulishe makande, yaliyowekwa magadi ya kienyeji, wakiyaombea kwa siri yaende kuwaondoshea wanawe mokosi, kijicho na bahati mbaya, na ilibidi wapike chakula kigumu, chenye kuhitaji magadi ya kienyeji kwa makusudi,
#Tutiririshe intelegensia mbali mbali za wazee wetu katika kusaidia jamii zao!
°Leo hii wataalamu wa Afya wanatuambia magadi huenda kuua protein zote kwenye chakula!
N. B, Hawa vijana wa kisasa waliokosa vyakula hivi, ni rahisi kulipuka vichwa, maana misingi ya kale haipo miilini mwao!
 
Hivyo ccm ndiyo zenu kutumia magadi,kujihakikishia ushindi sio?Hivyo nikubali kuwa,watekaji na wauaji ndiyo magadi yenyewe sio au mwenye kufahamu zaidi anijulishe.
 
Hivyo ccm ndiyo zenu kutumia magadi,kujihakikishia ushindi sio?Hivyo nikubali kuwa,watekaji na wauaji ndiyo magadi yenyewe sio au mwenye kufahamu zaidi anijulishe.
Mada haipo na chadema mkuu, ya chadema waachie wenyewe!
 
Back
Top Bottom