Intelejensia: CHADEMA wamewatega polisi, wamejazana Dar na sasa wanapaswa kulinda maandamano ya amani 23/09

Ole wenu mtoe pua yenu kuingiza barabarani mtakiona cha mtema kuni
Unajisahau sana mkuu
Unatoa codes kudhihirisha umepoka mamlaka ya CIC.

Pua ni zetu na siyo zako
Mtema kuni tunayafahamu hayo kwa sababu hata mauaji na utekaji mnaoufanya ni matokeo ya cha mtemakuni
 
Polisi DSM kwa sasa ni wengi hivyo kisingizio cha Polisi ni wachache hakitakuwepo. Wapo wengi wa kutosha kulinda waandamanaji.
 
Polisi hao wameletwa kwa kazi moja tu, kuja kuua wanachadema, ila damu watakazomwaga J3 ndiyo kaburi la CCM. Mama kajaa kwenye clamp ya wabaya wake kwani ule unabii wa JK wa mambo kuharibika sana ndiyo unaenda kutimia. Halafu machawa na wapambe wake hata wa humu wanamshangilia kwa kuamuru Chadema wauwawe.
 
Uzoefu kutoka duniani kote unaonyesha kwamba Umma haujawahi kushindwa kitu pale wanapoamua kwa dhati kabisa ya mioyo yao.

Aidha, nafikiri Chadema wanapaswa kutafakari kwa kina zaidi kuhusu suala hili.
Swali ninalojiuliza, Je, maandamano hayo ambayo Chadema wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 23 Septemba, 2024 ndio itakuwa suluhu na mwisho kabisa wa vitendo vya Utekaji na mauaji hapa Tanzania?????????
 
Pale Ikulu hatuna binadamu kamili. Kila hatua ya kuwadhuru watu anaifanya bila kificho sasa.

Katiba Mpya ni takwa la msingi
 
Maandsmano ni mojawspo ya shinikizo kuitaka serikali kuchukua hatua.

Wananchi wanalo suluhisho la kudumu
 
Unajidanganya, we nenda uone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…