Ni mkakati wa kuwalazimisha CHADEMA watoe ushahidi wao mapema wa pale Soweto. Ushahidi hautoki ng'o..ninyi mkamateni Mh. Lema.Lema ataachiwa huru kama "Paco Lambatine" alivyoachiwa huru kwenye tamthiliya ya "Shades of Sin" Ushahidi ule wa pale Soweto, A-town utakuwa ndani ya You Tube,..mnamo 2015. Aidha DW, BBC, Aljezeera na kwingineko utaoneshwa.
Kisha vikao vya viongozi wa SADC, AU na Baraza la Usalama la UN watapata nakala. Usisau ICC na The Hague watapata nakala.
Kwa sasa hapana shaka, mkanda una-haririwa kuondoa mambo yasiyo ya msingi. Polisi na CCM wasubiri copy yao, maana hata wao watapelekewa.