Intelijensia ya CHADEMA imenasa njama za Kumdhuru Mbunge Lema

Intelijensia ya CHADEMA imenasa njama za Kumdhuru Mbunge Lema

Status
Not open for further replies.
Mbona nimesikia mulongo yuko dar kumpokea obama? Au kawakilishwa kwenye kikao!
 
Kamanda Lema atakufa pale Mungu atakaporuhusu. Period. Maana Roho wa Mungu yu juu yake.
 
Hakika hili tulijua tangu awali ya kwamba tukio hili halikuwa na budi kutoke!
Ila hakika nawaambieni ya kwamba yeyote atakaye husika ndani ya upuuzi huu hakiamungu hata nao watafanyiwa haya haya wanayotaka kumfanyia Mbunge wetu!
Tulikuwa tunasubiri majibu xa maaskari tu!
 
Mungu Mkuu,
Lema ni mtetezi wa umma hivyo yuko na mungu Kwani sauti ya umma ni sauti ya Mungu.

Nguvu ya mungu itashinda na Nguvu ya shetani itashindwa

Amin
 
CHADEMA hizo ni mbinu chafu za kupisha ukweli, mtu yoyote anaweza kuwa mtuhumiwa ktk hii kesi mpaka mahakama itapoamua, sasa kusema kua Lema anataka kubambikiwa kesi ni kutaka kuwachanganya watu na kumsafisha kwa uoga wenu. Mkanda wa tukio zima mnadai mnao sasa mnaogopa nini? Msiandae madaraja kuwa Lema kila siku anaonewa tu.
 
Ni wakati wa kuomba Mungu sasa juu ya haya mambo kwa sababu wanadamu wamegeuka kuwa wanyama na wamesahau kwamba hapa tunapita tu.
 
Ni mkakati wa kuwalazimisha CHADEMA watoe ushahidi wao mapema wa pale Soweto. Ushahidi hautoki ng'o..ninyi mkamateni Mh. Lema.Lema ataachiwa huru kama "Paco Lambatine" alivyoachiwa huru kwenye tamthiliya ya "Shades of Sin" Ushahidi ule wa pale Soweto, A-town utakuwa ndani ya You Tube,..mnamo 2015. Aidha DW, BBC, Aljezeera na kwingineko utaoneshwa.

Kisha vikao vya viongozi wa SADC, AU na Baraza la Usalama la UN watapata nakala. Usisau ICC na The Hague watapata nakala.

Kwa sasa hapana shaka, mkanda una-haririwa kuondoa mambo yasiyo ya msingi. Polisi na CCM wasubiri copy yao, maana hata wao watapelekewa.
 
Kama ni kweli, wanaoshiriki na watakaoshiriki katika uovu huu walaaniwe na kizazi chao chote kisibaki salama. Mungu kwanini unawaacha hawa watu kwenye mamlaka haya?
 
Mh lema mungu pekee ndye anaweza chukua roho yko sio mtu yeyote daima unapigania haki mungu yuko nawewe
 
Wanapanga uovu wao gizani na MUNGU anauweka kwenye mwanga.

CHADEMA ni mpango wa MUNGU waache kujisumbua. Kuna kikao kingine walikaa juzikati katika hoteli moja maarufu wakapanga mipango yao hawakujua tutajua uovu wao kupitia CCTV za hoteli hiyo....!
 
Habari zenu jamani, mimi ni mgeni,naombeni ushirikiano wenu
 
Iko siku Lema atatembea uchi ili apate headlines

we endelea kuwaosha wazee wa kizungu ------ watu wanajadili uhai wa mtu wewe unaongea upuuz wako hapa hata kama unawafurahsha mabwana zako mpuuz mkubwa wewe.
 
Magesa na RPC wanamihoyo ya chuma niniiii... wanamini kabisa hawatakufa milele.

MWISHO WA HAYA UPO
TUVUTE SUBIRA TUUUU.
 
Lema alishajitoa mhanga siku nyingi hilo haliwezi kumtisha wapange jingine hao wendawazimu.

Kama Ccm na wapanga majanga qake wamepinda, Lema amwvunjika kila mahali, kama mkoa unakaa siku nzima kujadilu mtu badala ya kujadili maendeleo basi nathubutu kusema Lema ni jembe
 
Hivi mkanda wa ushahidi wa bomu bado mnashoot au mnaedit? Au mmejisahaulisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom