Mkuu naisikia ni kosa kubwa na ukisema ovyo utakuta watu wanabisha hodi mlangoni kabla huja log out kutoka jf, eti jamaa ana intel kali sana africa nzima hata israel haoni ndani.Sijakuelewa Mkuu, kwamba kusema waliouwawa sio Watutsi pekee ni kosa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naisikia ni kosa kubwa na ukisema ovyo utakuta watu wanabisha hodi mlangoni kabla huja log out kutoka jf, eti jamaa ana intel kali sana africa nzima hata israel haoni ndani.Sijakuelewa Mkuu, kwamba kusema waliouwawa sio Watutsi pekee ni kosa?
HAPANA mademu tusiwaguse kuna watoto wakali sana kule wale turudi nao huku bongoland kwa ajili ya mbeguHuyo kagame mna mu overate tu, siku akileta upuuzi wake bongoland aka Mongolia hakuna rangi wataacha kuiona ndani ya dk kadhaa kigali itakuwa haina mtu
Labda panya na paka tu watakao kuwa wanaranda randa mitaani na masokoni
Itakua aisee,maana jamaa ni wanted muda mrefu tu sasa.AM anaishi maisha magumu sana kwa sasa
Hii ndiyobakili ya bwana wako PAKA: MUOSHA HUOSHWA. paul rusesabagina is nothing, lakini ubinadamu upo tuuuuuuuuNimegundua nabishana na ng'ombe!!
ww ni ya kuchinja tu.
Ni nini kilichokua nyuma ya hilo? Au sijaijua vizuri historia ya mauji ya kimbari ya Rwanda? Waliouliwa walikua ni Watutsi tu? Nimesoma hapa kuna baadhi ya watu wanasema kusema na Wahutu waliuwawa nalo ni kosa au ni kweli hakuna Mhutu aliyeuwawa?Mkuu naisikia ni kosa kubwa na ukisema ovyo utakuta watu wanabisha hodi mlangoni kabla huja log out kutoka jf, eti jamaa ana intel kali sana africa nzima hata israel haoni ndani.
Wacha kumtisha mwenzako.Mkuu naisikia ni kosa kubwa na ukisema ovyo utakuta watu wanabisha hodi mlangoni kabla huja log out kutoka jf, eti jamaa ana intel kali sana africa nzima hata israel haoni ndani.
Basi alikuwa mzembe sana,,kuna prince Turki nae alifanywa vilevile,katumiwa ndege na mfanyabiashara wa saudi arabia wakutane cairo,,ile ndege inaanza kushuka anashangaa anaona mapaa ya nyumba za Riyadh,,,kukuruka huku na huku,,hawezi kuruka nje ya ndege akimbie,,mwisho akawa mpole,wakamkamata ,wakaweka lokapu,,akaitwa mcharanga mapanga wa huko,wakamkata kata vipande,habari ikaishia hapo,,No, alitua rwanda kwa ndege ya kipekee iliyotumwa na PAKA
Soma Vizuri, Fred alikufa kiajabu sana na wakati anavuta paka hakuwa USAMkuu huyu Fred Rwegima nadhani alikua close ally/friend wa Kagame na ndio kiongozi wa mwanzo wa RPF. Ninavyoelewa kifo chake baada ya kuuwawa kule msituni ndio kulifanya PK akatishe masomo Marekani aje aongoze mapambo dhidi ya serikali ya Rwanda ya wakati ule iliyokua chini ya Juvenal Habiarimana (kama sikosei)
Baadhi ya Waarabu hasa Wa Saudia wana mambo ya hovyo na ni makatili sanaBasi alikuwa mzembe sana,,kuna prince Turki nae alifanywa vilevile,katumiwa ndege na mfanyabiashara wa saudi arabia wakutane cairo,,ile ndege inaanza kushuka anashangaa anaona mapaa ya nyumba za Riyadh,,,kukuruka huku na huku,,hawezi kuruka nje ya ndege akimbie,,mwisho akawa mpole,wakamkamata ,wakaweka lokapu,,akaitwa mcharanga mapanga wa huko,wakamkata kata vipande,habari ikaishia hapo,,
Na huyo alikuwa prince ndugu wa damu wa mwana wa mfalme,MBS
Wale ni mbwa..Baadhi ya Waarabu hasa Wa Saudia wana mambo ya hovyo na ni makatili sana
Nitazidi kuchimba historia hii kutoka vyanzo rasmi na visivyo rasmuSoma Vizuri, Fred alikufa kiajabu sana na wakati anavuta paka hakuwa USA
'In 2005 he even received US Honorary presidential medal of freedom from president George Bush'.Latest news:
View attachment 1569585
For 15 years they have been tracking him, watching his moves waiting for him to travel to any country where they have rougue affiliations with govt officials.
Hatimaye wamemdaka.
Fake charges.
Akibahatika sana atafungwa si chini ya miaka kumi kama si kifungo cha maisha.
Indeed PK is a very dangerous man.
At his prime Paul Rusesabagina was a very famous man. In 2005 he even received US Honorary presidential medal of freedom from president George Bush
View attachment 1569592View attachment 1569593View attachment 1569594
No, hakuwa mzembe, alienda arabuni kukitana na rafiki kumbe huyu rafiki alikuwa trap, hapo ndo akatiwa ndani ya ndege akiwa sedatedalikuwa mzembe sana,,kuna
Mkuu, these are very serious charges!!!
Kama hawa watamnyamanzia PAKA basi mawe yatasema, nauona mwisho kuleeeeeLatest news:
View attachment 1569585
For 15 years they have been tracking him, watching his moves waiting for him to travel to any country where they have rougue affiliations with govt officials.
Hatimaye wamemdaka.
Fake charges.
Akibahatika sana atafungwa si chini ya miaka kumi kama si kifungo cha maisha.
Indeed PK is a very dangerous man.
At his prime Paul Rusesabagina was a very famous man. In 2005 he even received US Honorary presidential medal of freedom from president George Bush
View attachment 1569592View attachment 1569593View attachment 1569594
Awe kiongoziMkuu huyu Fred Rwegima nadhani alikua close ally/friend wa Kagame na ndio kiongozi wa mwanzo wa RPF. Ninavyoelewa kifo chake baada ya kuuwawa kule msituni ndio kulifanya PK akatishe masomo Marekani aje aongoze mapambo dhidi ya serikali ya Rwanda ya wakati ule iliyokua chini ya Juvenal Habiarimana (kama sikosei)