NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Wasio elewa huyu jamaa yake mauaji ya wakati ule ya kimbari hakushiriki ila baada ya hapo akataka kumtoa Kagame madarakani kwa kuanzishi kikundi chake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri hapa ungesema PAKA ndiye humuwinda kila anayemuona anahatarisha umaarufu wakeRwanda wakiamini mtu fulani anahatarisha usalama wa nchi yao basi ajue hayuko salama popote pale alipo duniani. Nakumbuka miaka ya 1980s Nigeria walijaribu kumteka aliyekua waziri wao wa mambo ya nje akakimbila Uk lakini issue ika backfire airport
Hakuna uhalisia wowote. Huyu toka 1996 hajakanyaga Rwanda. Alianza akakimbilia Nairobi Kenya, then Ubelgiji ambako alipewa uraia na baadae akahamia Marekani ambako ana Green Card 'ukaazi wa kudumu'. So hawezi by any chance kuongoza vikundi vya waasi Congo, au kurecruit child soldiers. Ni haiwezekani. Hizo ni fake charges.Mkuu, these are very serious charges!!!
Ninavyoelewa wengi wa waasi wanaoshutumiwa kwa ugaidi, mauwaji na kutumia watoto kwenye vita na wale wanatuhumiwa kushiriki mauwaji ya kimbari Rwanda huwa ni vigumu sana kupewa hifadhi kwenye nchi zingine. Lakini hapa tunaona Rusesabagina akiwa na uraia wa Ubelgiji(au kama usemavyo Marekani), kwanini sasa ilishindikana kutumia njia za kisheria kama Interpol au arrest warrant ya Mahakama ya The Hague?Hakuna uhalisia wowote. Huyu toka 1996 hajakanyaga Rwanda. Alianza akakimbilia Nairobi Kenya, then Ubelgiji ambako alipewa uraia na baadae akahamia Marekani ambako ana Green Card 'ukaazi wa kudumu'. So hawezi by any chance kuongoza vikundi vya waasi Congo, au kurecruit child soldiers. Ni haiwezekani. Hizo ni fake charges.
Sisi hatushangai. Ni kawaida sana kwa regime hii ya sasa ya PK na RPF Inkotanyi.
Ni wengi sana wamepitia maswahibu haya. Wengi sana. Narudia tena ni wengi sana. Wa juzi juzi tu ni Kizito Mihigo, Maj Calliste Sankara,etc
Na yataendelea kutokea sana tu kama watu wataendelea kukaa kimya hivi hivi
usiifananishe Tanzania na nchi yako, piga hatua zako vizuri.Wazungu wakampa uraia, akapewa tuzo nyingi kama shujaa kumbe naye ailikuwa "mdhamini" wa mauaji na msaliti wa nchi yake! (Kuna mambo mengi ya kujifunza kutoka kwa huyu jamaa hasa pale unapoona kiongozi anapewa support kubwa na mataifa ya magharibi na Marekani) Ingekuwa Tanzania Paul Rusesabagina angekuwa kiongozi wa chama cha siasa au NGO ya kutetea Haki za raia, na hata urais angegombea tu, ila kwa Rwanda ukiisaliti nchi na kuwatumikia "mabeberu" lazima wakuwinde tu!
View attachment 1568411
Ingelikuwa ni kweli ni mhalifu USA wenyewe wangeshamkamata siku nyingi na kumuhand over kwa kagame. Maana wanaintelligensia ya kutosha kupitia CIA,FBI na NSA. Ila kwa kuwa si mhalifu ila tu ametofautiana itikadi na PK ikabid Mr Slim amsubiri siku akitua kwenye nchi ambayo maafisa usalama wake wanahongeka kirahisi. Kwa hiyo alivyotua Dubai mzigo wa maana in US dollars ulitumwa kwa maafisa usalama wa UAE Dubai plus private jet ya PK mwenyewe ili kumleta Rusesabagina Kigali. Kwenye hela na maafisa wenye njaa hakuna linaloshindikana. Hivyo ndivyo alivyodakwa. Kafika Kigali. Kawekwa mahabusu. Kateswa.Katishwa sana. Kapewa kila options zilizopo mezani. So kwa usalama wake atakiri makosa kama alivyokiri Sankara. Then atafungwa jela Kigali hapo hapo miaka ya kutosha mpaka auone mwisho wake. Angekua mbishi kama Kizito Mihigo mngeishia kusikia mtuhumiwa kajinyonga mwenyewe na mkanda wa suruali alipokuwa mahabusu, au mngesikia mtuhumiwa kapigwa risasi na kufariki hapo hapo alipokuwa akitaka kutoroka mahabusu. Case closedNinavyoelewa wengi wa waasi wanaoshutumiwa kwa ugaidi, mauwaji na kutumia watoto kwenye vita na wale wanatuhumiwa kushiriki mauwaji ya kimbari Rwanda huwa ni vigumu sana kupewa hifadhi kwenye nchi zingine. Lakini hapa tunaona Rusesabagina akiwa na uraia wa Ubelgiji(au kama usemavyo Marekani), kwanini sasa ilishindikana kutumia njia za kisheria kama Interpol au arrest warrant ya Mahakama ya The Hague?
Huyu amekamatwa kwa sababu ya kumpinga kagame! Hayo mengine ni uzushi tu.Wazungu wakampa uraia, akapewa tuzo nyingi kama shujaa kumbe naye ailikuwa "mdhamini" wa mauaji na msaliti wa nchi yake! (Kuna mambo mengi ya kujifunza kutoka kwa huyu jamaa hasa pale unapoona kiongozi anapewa support kubwa na mataifa ya magharibi na Marekani) Ingekuwa Tanzania Paul Rusesabagina angekuwa kiongozi wa chama cha siasa au NGO ya kutetea Haki za raia, na hata urais angegombea tu, ila kwa Rwanda ukiisaliti nchi na kuwatumikia "mabeberu" lazima wakuwinde tu!
View attachment 1568411
Mpaka usababishe wazungu wakuuze basi ukubali tu kua Intelijensia iliyotumika ni ya hali ya juu. Bila kujali kama alivyofanyiwa Rusesabagina ni haki au si haki, tukubali iliyotumika hapo ni mchanganyiko wa connection, fedha na akiliHawana ukali wowote huyo boya kauzwa na wazungu kama junia la pamba ya usukuman
Kuuzwa ni kuuzwa tu. So aimple KAUUZWA kama juniaMpaka usababishe wazungu wakuuze basi ukubali tu kua Intelijensia iliyotumika ni ya hali ya juu. Bila kujali kama alivyofanyiwa Rusesabagina ni haki au si haki, tukubali iliyotumika hapo ni mchanganyiko wa connection, fedha na akili
Ngoja tuone Mkuu, yetu macho na masikioSesten Zakazaka hahaha naona umeangua kicheko.
Ngoja tuangalie cinema itaishaje maana PK anasinema mnoooo
Hivi Rwanda wameshafikiria nani atakuwa Raisi wao baada ya Kagame?
Mbele giza...
Hahaha, haniamini mimi kwenye WhatsApp lakini ananiamini kwenye WeChatWhatsApp nayo ni safe sana japo sio 100% labda tu hakuamini wewe
Mkuu embu nifafanulie hapa vizuri. Anayeuwa ndugu zake ni huyuBasi alikuwa mzembe sana,,kuna prince Turki nae alifanywa vilevile,katumiwa ndege na mfanyabiashara wa saudi arabia wakutane cairo,,ile ndege inaanza kushuka anashangaa anaona mapaa ya nyumba za Riyadh,,,kukuruka huku na huku,,hawezi kuruka nje ya ndege akimbie,,mwisho akawa mpole,wakamkamata ,wakaweka lokapu,,akaitwa mcharanga mapanga wa huko,wakamkata kata vipande,habari ikaishia hapo,,
Na huyo alikuwa prince ndugu wa damu wa mwana wa mfalme,MBS
Mkuu lakini huyu sio raia wa rwanda tena ni mbeligiji. Kwa nini afungwe rwandaIngelikuwa ni kweli ni mhalifu USA wenyewe wangeshamkamata siku nyingi na kumuhand over kwa kagame. Maana wanaintelligensia ya kutosha kupitia CIA,FBI na NSA. Ila kwa kuwa si mhalifu ila tu ametofautiana itikadi na PK ikabid Mr Slim amsubiri siku akitua kwenye nchi ambayo maafisa usalama wake wanahongeka kirahisi. Kwa hiyo alivyotua Dubai mzigo wa maana in US dollars ulitumwa kwa maafisa usalama wa UAE Dubai plus private jet ya PK mwenyewe ili kumleta Rusesabagina Kigali. Kwenye hela na maafisa wenye njaa hakuna linaloshindikana. Hivyo ndivyo alivyodakwa. Kafika Kigali. Kawekwa mahabusu. Kateswa.Katishwa sana. Kapewa kila options zilizopo mezani. So kwa usalama wake atakiri makosa kama alivyokiri Sankara. Then atafungwa jela Kigali hapo hapo miaka ya kutosha mpaka auone mwisho wake. Angekua mbishi kama Kizito Mihigo mngeishia kusikia mtuhumiwa kajinyonga mwenyewe na mkanda wa suruali alipokuwa mahabusu, au mngesikia mtuhumiwa kapigwa risasi na kufariki hapo hapo alipokuwa akitaka kutoroka mahabusu. Case closed