Intelijensia ya simba imchunguze Henock Inonga

MUSHEKY

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
2,812
Reaction score
2,760
Moja kwa moja nijikite kwenye mada,

Hapo jana sikupenda kusema chochote kuhusu simba yangu maana ningeteremsha mitusi mizito kuanzia kwa kocha na mzungu wake ningeambulia ban ya maisha humu

Wameshaongea mengi humu kuhusu ukilaza wa kocha hasa kutojua ampange nani na wakati gani hususani kumtoa chama dakika za mchana za mchezo na kumuingiza mzamilu mwenye kitambi cha kispoti ambaye kama asingekua mchezaji bila shaka angekua mvuvi wa dagaa wa kigoma, yote kwa yote muda umeshamtupa mkono

Muhimu hapa ni kuhusu perfomance ya huyu beki wetu Inonga Baka

Imethibiti beyond reasonable doubt huyu ni beki bora kweli kweli na hayo yalidhihilika msimu ulioisha pamoja na mechi mbalimbali za kimataifa alionyesha uwezo wa hali ya juu kwelikweli

Kilichonisukuma niandioe huu uzi ni kutokana na ukweli usiopingika kwamba mpira wetu unachezwa "NJE YA UWANJA'' zaidi ya asilimia 70 na zilizobaki 30 ndizo hasa mashabiki tunaendaga kuangalia pale uwanjani

Kwa mantiki hii wazee wa mjini wanayafahamu matokeo kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa kutokana na kuigharamikia ipasavyo miundombinu yote muhimu ya nje ya uwanja na jambo hili ndilo linaloinyima Azam ubingwa kwa kua pamoja na miundombinu imara ya viwanja,mazingira na malipo kwa wachezaji wake wao hawaamini kushiriki fitina za nje ya uwanja

Miundombinu ya nje ya uwanja yawezakua marefalii wote, kuwanunua wachezaji wapinzani "kwa maneno ya kaseja alithibitisha ndiye kipa aliyefuatwa kurubuniwa kuachia magoli kwa ahadi ya pesa nyingi, miundombinu mngine ni uchawi hamasa n.k

Kama umesoma Cuba na ukiangalia kwa jicho la mbali hawa GSM ni mamafia wa kiwango cha kutisha, za ndaaani kabisa ni kwamba moja kati ya wachezaji waliodiskas kwenye vikao vyao kumpunguza upepo ni huyu beki nyota wa kimataifa wa Congo

Zipo habari kwamba iliandaliwa mipango kabambe ya kuhakikisha anacheza chini ya kiwango kwenye mechi nyingi za simba na upo uwezekano kashavuta pesa ndefu tayari kukamilisha deal hilo

Sambamba na hilo mamagia hao wa GSM wamemtuliza presha beko huyu kwa kumuahidi kumsajili endapo atatemwa na klabu ya wekundu wa msimbazi kwa madai ya kuperfom chini ya kiwango

Sote ni mashahidi Inonga sasa baada ya deal yake hiyo kukamilika anafanya makosa ya wazi na ya kizembe kabisa

Zile tackling za kuslide alizokua anafanya kazisitisha kabisa anamfukuza mchezaji kwa nyuma akifunga anajifanya anashika kichwa hii ni hadaa tu kwa mashabiki

Rai yangu kwa intelijensia ya simba pamoja na kumfukuza mzungu baye ni mtoto wa dada yake kocha Maki ikiwezekana pamoja na Maki mwenyewe ianze kudukua mawasiliano ya mchezaji Henock Inonga Baka na ikibaini anashiriki ufirauni huu atimuliwe mara moja ama kama mtahofia kuchukuliwa na wapinzani muongezeeni mkataba kisha mtieni benchi milele

Simba nguvu moja, ila jana mbili moja!
 
Hahaha

Kwa hyo nyie ile miaka mi 4 mliyotawala mlikuwa mnawahonga mabeki wa yanga si ndio?

Kubalini wakati wenu umefika ukuta jipangeni vzuro tu Kama yanga ilovyojipanga

Mkishangaa kuna timu 2 zimejiimarisha zaid SINGIDA NA AZAM sio timu za kuzibeza kabisa

Sio muda wa kutoa lawama huu chukulien Kama changamoto tu hyo

Man u mwaka wa kumi sasa mambo Bado hayaendi nao vp wamehongwa na Liverpool au man city?

HAKUNA TIMU ISIYOFUNGWA DUNIANI

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Asee tusifike huku mazee

Pamoja na ujinga wake wa kucheza na jukwaa,Ila tusimbebeshe mzigo wa timu nzima..Mechi ya Jana Simba kupoteza haina excuse yoyote.Simba ndy ilitengeneza nafasi nyingi zaidi lkn ikatumia moja wakati yanga walikuja kipindi cha pili Kwa lengo moja Tu..kufunga

Nafasi mbili wametia kambani,wakaibuka washindi

Mara zote Simba anafungwa na yanga Kwa sababu ya ego,kujiona ni mkubwa na yupo level ya al haly wakati anapokutana na timu za ndani kwenye ligi anastrugle Sana kupata matokeo.. EGOISM NDY TATIZO LINALOICOST SIMBA

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Du..kama kuna dalili za ukweli vile. Jana tukifuatilia mechi watu walisema Inonga ametoa nje mipira mingi kwa kuokoa, sio kawaida yake. Ame act kuumia pasipo kuumia. Sijui ngoja tuone.

Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Upo sahihi mkuu alikua hachezi inonga alikua anaigiza achunguzwe
 
Za kimataifa atamuuzia nani mbona mnakuwa wajinga sana
We mpuuzi sana hawezi tokea mbongo asiyetaka simba isisonge mbele akamdakisha millions 50 atafute ma red card kama jana?
Unadhani kuna watu hawatafurahi simba atolewe round ya awali na millions 50 kwao siyo kitu?
 
We mpuuzi sana hawezi tokea mbongo asiyetaka simba isisonge mbele akamdakisha millions 50 atafute ma red card kama jana?
Unadhani kuna watu hawatafurahi simba atolewe round ya awali na millions 50 kwao siyo kitu?
Mkuu juma kaseja wakati anahojiwa mwezi uliopita na azam tv alikiri kupokea mialiko mingi ya kuachia magoli watu hawaelewi tu,

Siku hizi mpira ni biashara kushinda kwa yanga ni kuing'arisha brand ya GSM na bidhaa zake hivyo si shida kwa GSM kuhonga hiyo mil.50
 
Mda si mrefu mtaanza kuuliza :
1.Kwa nini jezi zilichelewa.
2.Bilion 20 za Mo.

Okay hii ndio Yanga na kwenye ligi na kupiga tena.
 
Mtoa Uzi ni fala kama mafala wengine.. kama imeKUuMA nirudishie tu Ila ukweli utabaki wewe ni Fala na unastahili haya Mateso unayoyapitia Fala wewe
Mkuu mwaka jana niliona umerusha facebook unauza mbususu bado ipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…