Intelligence ya ccm iko hoi bin taaban.. Ya CHADEMA iko above next level..

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Imagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa ndio kagharamia🤣🤣🤣
Mara Lissu kachangisha mwenyewe nknk
Iteligensia ya CCM pia imeshindwa kabisa kabisa kung'amua kwamba Lissu aliwasilisha barua ya kutoa taarifa kwa katibu mkuu nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti tangu mwezi wa nane
Inteligensia ya ccm ikashindwa kabisa pia kung'amua muktadha wa press conference ya Lissu ya Tarehe 12.12.2024.. Maana siku moja kabla ya PC hiyo ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana toka chawa wa ccm.. Siku hizi LMb7 ilishakufa ikazikwa kitambo kabisa
Mada za kizushi zilikuwa nyingi sana.. Na zote zikafemeašŸ˜‚
Imagine watu wametoka mikoani na mabango yao.. Lakini intelligence makini ya chama chawala haikuambua kitu
CHADEMA ipewe maua yake kwenye hili.. Ina mipango ina mikakati ina utunzaji wa 'classified information' ulinyooka sana
Hizi post mpya za kuhoji gharama za kukodi ukumbi na maandalizi yake yote ni machweo ya jua lililotegemewa kuunguza kila kilichotakiwa kuungua🤣
 
CCM HAIWEZI KUWA NA INTELIJENSIA HAFIFU. ACHENI KUJIDANGANYA. MNAANZISHA MAMBO WENYEWE NA KUYASPIN WENYEWE.
CCM CHAMA KUBWA
CCM CHAMA KUBWA!!?šŸ˜€ CHADEMA watafumua mshono soon
IMG-20241214-WA0050.jpg
 
Ndiyo shida yenu Chadema

Yaani badala mrekebishe panapovuja kila mtu anaona nyie mmekazana na ya hao CCM ambao wanazidi kujiimarisha .

CCM mpaka 2090 kwa mtindo huu wa kijinga wa Chadema mnatuangusha
 
Imagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa ndio kagharamia🤣🤣🤣
Mara Lissu kachangisha mwenyewe nknk
Iteligensia ya CCM pia imeshindwa kabisa kabisa kung'amua kwamba Lissu aliwasilisha barua ya kutoa taarifa kwa katibu mkuu nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti tangu mwezi wa nane
Inteligensia ya ccm ikashindwa kabisa pia kung'amua muktadha wa press conference ya Lissu ya Tarehe 12.12.2024.. Maana siku moja kabla ya PC hiyo ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana toka chawa wa ccm.. Siku hizi LMb7 ilishakufa ikazikwa kitambo kabisa
Mada za kizushi zilikuwa nyingi sana.. Na zote zikafemeašŸ˜‚
Imagine watu wametoka mikoani na mabango yao.. Lakini intelligence makini ya chama chawala haikuambua kitu
CHADEMA ipewe maua yake kwenye hili.. Ina mipango ina mikakati ina utunzaji wa 'classified information' ulinyooka sana
Hizi post mpya za kuhoji gharama za kukodi ukumbi na maandalizi yake yote ni machweo ya jua lililotegemewa kuunguza kila kilichotakiwa kuungua🤣
Chadema wanajua kwamba Lissu anaendeshwa na msigwa kwa remote ktk hili
 
Chama Cha Mazezeta
 
2025 ni uchaguzi mkuu.

CCM imelenga kujiimarisha kwa kutafuta wanachama wengi zaidi. Nimeona wakihimiza uandikishwaji wa wanachama wapya.

Chadema ndiyo kuna mtu anaitisha press conference kuazimia kugombea uenyekiti. Online wanachama wake wako busy kubishana nani anafaa kua mwenyekiti. Notable party members same route.

No one discusses the humiliating defeat kwenye chaguzi za mwezi tu uliopita.

Acting like hawajui mwakani kuna nini kitakua
 
Imagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa ndio kagharamia🤣🤣🤣
Mara Lissu kachangisha mwenyewe nknk
Iteligensia ya CCM pia imeshindwa kabisa kabisa kung'amua kwamba Lissu aliwasilisha barua ya kutoa taarifa kwa katibu mkuu nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti tangu mwezi wa nane
Inteligensia ya ccm ikashindwa kabisa pia kung'amua muktadha wa press conference ya Lissu ya Tarehe 12.12.2024.. Maana siku moja kabla ya PC hiyo ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana toka chawa wa ccm.. Siku hizi LMb7 ilishakufa ikazikwa kitambo kabisa
Mada za kizushi zilikuwa nyingi sana.. Na zote zikafemeašŸ˜‚
Imagine watu wametoka mikoani na mabango yao.. Lakini intelligence makini ya chama chawala haikuambua kitu
CHADEMA ipewe maua yake kwenye hili.. Ina mipango ina mikakati ina utunzaji wa 'classified information' ulinyooka sana
Hizi post mpya za kuhoji gharama za kukodi ukumbi na maandalizi yake yote ni machweo ya jua lililotegemewa kuunguza kila kilichotakiwa kuungua🤣
Sounds like nonsense with a lot of stupidity.
 
Mungu huachia maovu na mabaya yaendelee na kisha huja kuyaangamiza na kuyafutilia mbali.

Wamejiona wajanja sana kwenye huu Uchaguzi kwa kubebwa na Tamisemi lakini kumbe hilo ndio anguko lao kuu.

Leo kuna Mjumbe mmoja kawazingua Madereva Bodaboda kisa wamekaa ofisi ya serikali ya mtaa wamepumzika tu. Madogo walimchenjia mpaka akaondoka kwa aibu.
 
Wewe ndo hujui mambo yaan lissu kuchangiwa ela ya ukumbi ni siri mpaka itake intelejinsia wakati kweny Clubhouse kupitia Sauti ya Watanzania ndo alichangiwa na lilikua tukio la live sio siri. nikuongezee tu hio sku anachangiwa,Lyenda ambae alikua team ya organization alikiri kua wanapata vitisho kutoka CDM juu ya ile press kwa kuwaita wahaini na Mshabaha akaleta hadi ushahid wa screenshot. Sasa CCM ichunguze nn akati ni mambo ya Chama chao hayo acha ujinga bhana Mshana we ni mkongwe huku
 
Kuhusu barua TAL aliandika barua mbili moja yenye nia ya kugombea urais 2025 na nyungine umakamo uwenyekiti na hizo zote ni barua za mwezi wa nane. Inshort TAL amebadilika saiv kutaka uenyekiti kama ulikua hujui. Mambo unayoyasema hayaitaji intelijensia ni mambo ya wazi. Uzi wako ni nonsense
 
Imagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa ndio kagharamia🤣🤣🤣
Mara Lissu kachangisha mwenyewe nknk
Iteligensia ya CCM pia imeshindwa kabisa kabisa kung'amua kwamba Lissu aliwasilisha barua ya kutoa taarifa kwa katibu mkuu nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti tangu mwezi wa nane
Inteligensia ya ccm ikashindwa kabisa pia kung'amua muktadha wa press conference ya Lissu ya Tarehe 12.12.2024.. Maana siku moja kabla ya PC hiyo ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana toka chawa wa ccm.. Siku hizi LMb7 ilishakufa ikazikwa kitambo kabisa
Mada za kizushi zilikuwa nyingi sana.. Na zote zikafemeašŸ˜‚
Imagine watu wametoka mikoani na mabango yao.. Lakini intelligence makini ya chama chawala haikuambua kitu
CHADEMA ipewe maua yake kwenye hili.. Ina mipango ina mikakati ina utunzaji wa 'classified information' ulinyooka sana
Hizi post mpya za kuhoji gharama za kukodi ukumbi na maandalizi yake yote ni machweo ya jua lililotegemewa kuunguza kila kilichotakiwa kuungua🤣
Sikujua kama kuna wajumbe kutoka kanda zote walihudhuria.

Vipi Kamanda wa Kanda Maakum nayw hakung'amua?
 
Back
Top Bottom