sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Hivi wewe unazo sifa za kuzungumzia Akili au Intelligencia au unadhani ni ubwabwa wa Mbowe na Kiraka Lissu.Imagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa ndio kagharamiaš¤£š¤£š¤£
Mara Lissu kachangisha mwenyewe nknk
Iteligensia ya CCM pia imeshindwa kabisa kabisa kung'amua kwamba Lissu aliwasilisha barua ya kutoa taarifa kwa katibu mkuu nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti tangu mwezi wa nane
Inteligensia ya ccm ikashindwa kabisa pia kung'amua muktadha wa press conference ya Lissu ya Tarehe 12.12.2024.. Maana siku moja kabla ya PC hiyo ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana toka chawa wa ccm.. Siku hizi LMb7 ilishakufa ikazikwa kitambo kabisa
Mada za kizushi zilikuwa nyingi sana.. Na zote zikafemeaš
Imagine watu wametoka mikoani na mabango yao.. Lakini intelligence makini ya chama chawala haikuambua kitu
CHADEMA ipewe maua yake kwenye hili.. Ina mipango ina mikakati ina utunzaji wa 'classified information' ulinyooka sana
Hizi post mpya za kuhoji gharama za kukodi ukumbi na maandalizi yake yote ni machweo ya jua lililotegemewa kuunguza kila kilichotakiwa kuunguaš¤£
Nonsense. Kichefuchefu .