Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Erling Haaland leo amekula mioyo miwili na maini manne kama breakfast. Inter waandike maumivuWengi wanaipotezea Inter.
Lakini ndio atashinda ubingwa UCL.
Niko tayari kwa madongo kama atashindwa.
Hashindi mkuu. Kwa kikosi kip??Hata Mimi nahisi watashinda
Inter wanatumia viungo watano tena world class ..katikati....wanasaidia Sana defence...walifanya counter Wana lautaro Martinez... world class striker....Tactical analysis ?