mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
Kwanza tujikumbushe kuwa gharama ujenzi wa 'flyovers' na 'interchanges' ni msaada 'Grant' kutoka serikali ya Japan na nyingine ni mkopo kutoka Benki ya Dunia (Mabeberu) . Mikataba ulishaingiwa kujenga aina 6 za mfano wa hizo katika makutano ya barabara hapa mjini tangu awamu ya 4 mwishoni.
Watu wengi hawajui kuwa hizi pesa zote tumepwa msaada na ndugu zetu serijali ya Japan na wala hajuwahi hata kuwashukuru kwenye majukwaa. Tuwe waungwana tuwape shukrani na kuwapongeza kwa moyo wao wa upendo.
Mkataba ulishasainiwa na pesa zote tulishapewa.
Tukirudi kwa Ubungo Interchange, kwa nini ilijengwa chini ya specification kama ilivyokusudiwa? Au kwa ufupi chini ya kiwango tofuati na ilivyokusudiwa licha ya pesa kuwepo?