Interchange ya Ubungo kutojengwa kama ilivyokusudiwa. Kwanini ilipunguzwa Ubora?

Interchange ya Ubungo kutojengwa kama ilivyokusudiwa. Kwanini ilipunguzwa Ubora?

mngony

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
5,555
Reaction score
6,972
Kwanza tujikumbushe kuwa gharama ujenzi wa 'flyovers' na 'interchanges' ni msaada 'Grant' kutoka serikali ya Japan na nyingine ni mkopo kutoka Benki ya Dunia (Mabeberu) . Mikataba ulishaingiwa kujenga aina 6 za mfano wa hizo katika makutano ya barabara hapa mjini tangu awamu ya 4 mwishoni.

Watu wengi hawajui kuwa hizi pesa zote tumepwa msaada na ndugu zetu serijali ya Japan na wala hajuwahi hata kuwashukuru kwenye majukwaa. Tuwe waungwana tuwape shukrani na kuwapongeza kwa moyo wao wa upendo.

Mkataba ulishasainiwa na pesa zote tulishapewa.

Tukirudi kwa Ubungo Interchange, kwa nini ilijengwa chini ya specification kama ilivyokusudiwa? Au kwa ufupi chini ya kiwango tofuati na ilivyokusudiwa licha ya pesa kuwepo?

EnA3WN4XIAISLDu.jpeg
 
Ungeweka picha zote mbili tulinganishe. Huku Chato tunaimbiwaa mjini Dar es Salaam kila kitu kinameremeta
 
Hii ilikuwa plan ya JK akaibuka mpigaji akajenga kwa style yake akapiga hela na akaandika majina ya washkaji zake.

Miradi yote ameshindwa hata mmoja kuupa jina la muasisi, mwanaharamu sana.
Wamepiga hela pia wamechelewesha hii miradi makusudi ili walipe kampuni zao na riba. Miaka mitano mirafi haijakamilika na hela zilikuwepo
 
Msaada wa Japan ulikua kwa flyover ya Tazara tuu, huu wa Ubungo ni mkopo wa World Bank, ndivyo ninavyojua, kukosoa ruksa.
 
Msaada wa Japan ulikua kwa flyover ya Tazara tuu, huu wa Ubungo ni mkopo wa World Bank, ndivyo ninavyojua, kukosoa ruksa.
Uko sawa Mkuu, nimesha edit
 
Back
Top Bottom