Haya tena tunaopenda kula riba karibuni
Leteni list ya mabenki na offers zao tuone zipi zinalipa in 3/6/9 and 12 months
Leteni namba za percentage za hizo interests ili tujue ukiweka milioni 5,10, 50, 100 etc utapata ngapi?
wengine biashara za kufuga kuku na mayayi zimetushinda
Je zipo ambazo wanakubali foreign currency maana mkuu wa nchi anasema madafu hazina mpango
umeongea la maana mkuuBora uwekeze kwenye hisa mkuu kuliko fixed deposit. Nimekuwa nafuatilia soko la hisa kuna baadhi ya makampuni hisa zao zimepanda bei Mara mbili katika kipindi cha mwaka mmoja
Hivyo kama utanunua hisa baada ya mwaka mmoja utaziuza kwa bei Mara mbili ya uliyo nunulia. Kwa maana nyingine ni sawa na kudouble hela yako kitu ambacho huwezi pata kwenye fixed deposit.
umeongea la maana mkuu
Hapa issue ni kusubiria pesa mwaka mzima! Afadhali hata miezi 3 au 6Bora uwekeze kwenye hisa mkuu kuliko fixed deposit. Nimekuwa nafuatilia soko la hisa kuna baadhi ya makampuni hisa zao zimepanda bei Mara mbili katika kipindi cha mwaka mmoja
Hivyo kama utanunua hisa baada ya mwaka mmoja utaziuza kwa bei Mara mbili ya uliyo nunulia. Kwa maana nyingine ni sawa na kudouble hela yako kitu ambacho huwezi pata kwenye fixed deposit.
Hapa issue ni kusubiria pesa mwaka mzima! Afadhali hata miezi 3 au 6
Kuwekeza kwenye hisa si biashara mbaya ila iyo yakupata thamani mara mbili baada ya mwaka wa kuwekeza ni mara chache kutokea hasa kwenye soko letu ambalo bado linakuwa..binafsi siwezi ekeza kwenye hisa kipindi cha mwaka wa uchaguzi...Mkuu hisa unaweza kuuza Muda wowote ule utakao. The only problem is it's not always that u will sale all your shares at once quickly. It may take sometime kuweza kuuzika
msitaki , ni kwanini huwezi kuwekeza kwenye hisa mwaka wa uchaguzi???Kuwekeza kwenye hisa si biashara mbaya ila iyo yakupata thamani mara mbili baada ya mwaka wa kuwekeza ni mara chache kutokea hasa kwenye soko letu ambalo bado linakuwa..binafsi siwezi ekeza kwenye hisa kipindi cha mwaka wa uchaguzi...
Bora uwekeze kwenye hisa mkuu kuliko fixed deposit. Nimekuwa nafuatilia soko la hisa kuna baadhi ya makampuni hisa zao zimepanda bei Mara mbili katika kipindi cha mwaka mmoja
Hivyo kama utanunua hisa baada ya mwaka mmoja utaziuza kwa bei Mara mbili ya uliyo nunulia. Kwa maana nyingine ni sawa na kudouble hela yako kitu ambacho huwezi pata kwenye fixed deposit.
Kuwekeza kwenye hisa si biashara mbaya ila iyo yakupata thamani mara mbili baada ya mwaka wa kuwekeza ni mara chache kutokea hasa kwenye soko letu ambalo bado linakuwa..binafsi siwezi ekeza kwenye hisa kipindi cha mwaka wa uchaguzi...Mkuu hisa unaweza kuuza Muda wowote ule utakao. The only problem is it's not always that u will sale all your shares at once quickly. It may take sometime kuweza kuuzika
makampuni kama yapi?......
Hisa sio liquid sana na suala la upandaji wake wa thamani huwezi kuutabiri kwa uhakika ni suala la speculation zaidi, unaweza ukanunua hisa na isipande bei ikawa umefanya biashara kichaa. Meanwhile fixed deposits are less risky maana unajua ikishamature utapata return yako na pia zipo more liquid ikimaanisha pindi unapohitaji pesa zako utazipata kirahisi tofauti na uwekezaji wa hisa.