Interest Rate On Fixed Deposit Accounts

Interest Rate On Fixed Deposit Accounts

MalcolmX

Senior Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
158
Reaction score
100
Haya tena tunaopenda kula riba karibuni

Leteni list ya mabenki na offers zao tuone zipi zinalipa in 3/6/9 and 12 months

Leteni namba za percentage za hizo interests ili tujue ukiweka milioni 5,10, 50, 100 etc utapata ngapi?

wengine biashara za kufuga kuku na mayayi zimetushinda

Je zipo ambazo wanakubali foreign currency maana mkuu wa nchi anasema madafu hazina mpango
 
mimi benki ambayo najua ni CBA rate yao inaanzia 11% hadi 12% kulingana na kiasi cha ela unayo weka
 
Bora uwekeze kwenye hisa mkuu kuliko fixed deposit. Nimekuwa nafuatilia soko la hisa kuna baadhi ya makampuni hisa zao zimepanda bei Mara mbili katika kipindi cha mwaka mmoja

Hivyo kama utanunua hisa baada ya mwaka mmoja utaziuza kwa bei Mara mbili ya uliyo nunulia. Kwa maana nyingine ni sawa na kudouble hela yako kitu ambacho huwezi pata kwenye fixed deposit.
 
umeongea la maana mkuu
 
Hapa issue ni kusubiria pesa mwaka mzima! Afadhali hata miezi 3 au 6
 
Mkuu hisa unaweza kuuza Muda wowote ule utakao. The only problem is it's not always that u will sale all your shares at once quickly. It may take sometime kuweza kuuzika
 
Kuwekeza kwenye hisa si biashara mbaya ila iyo yakupata thamani mara mbili baada ya mwaka wa kuwekeza ni mara chache kutokea hasa kwenye soko letu ambalo bado linakuwa..binafsi siwezi ekeza kwenye hisa kipindi cha mwaka wa uchaguzi...
 
msitaki , ni kwanini huwezi kuwekeza kwenye hisa mwaka wa uchaguzi???
 
Last edited by a moderator:
Bora uwekeze kwenye hisa mkuu kuliko fixed deposit. Nimekuwa nafuatilia soko la hisa kuna baadhi ya makampuni hisa zao zimepanda bei Mara mbili katika kipindi cha mwaka mmoja

Hivyo kama utanunua hisa baada ya mwaka mmoja utaziuza kwa bei Mara mbili ya uliyo nunulia. Kwa maana nyingine ni sawa na kudouble hela yako kitu ambacho huwezi pata kwenye fixed deposit.

makampuni kama yapi?......
 
Mkuu hisa unaweza kuuza Muda wowote ule utakao. The only problem is it's not always that u will sale all your shares at once quickly. It may take sometime kuweza kuuzika
Kuwekeza kwenye hisa si biashara mbaya ila iyo yakupata thamani mara mbili baada ya mwaka wa kuwekeza ni mara chache kutokea hasa kwenye soko letu ambalo bado linakuwa..binafsi siwezi ekeza kwenye hisa kipindi cha mwaka wa uchaguzi...
 
Hisa sio liquid sana na suala la upandaji wake wa thamani huwezi kuutabiri kwa uhakika ni suala la speculation zaidi, unaweza ukanunua hisa na isipande bei ikawa umefanya biashara kichaa. Meanwhile fixed deposits are less risky maana unajua ikishamature utapata return yako na pia zipo more liquid ikimaanisha pindi unapohitaji pesa zako utazipata kirahisi tofauti na uwekezaji wa hisa.
 
Mkuu interest za fixed deposit ni bora uchimbie shimo hela yako ikae huko. Hazili kabisa ndugu.

Yani kama mtu atashindwa kabisa bora ukanunue ardhi then uize Baada ya mwaka. Uzuri wa fixed deposit ni kwamba hela yako utaipata immediately baada ya muda kuisha lakin faida kidogo

Kuhusu swala la hisa kupanda bei Mara mbili inawezekana tena sana hasa kwa kampuni ambazo zinakua kibiashara. Ni kuangalia tu trend ya hisa za kampuni husika. Kuna baadhi ya makampuni kama TBL na kampuni ya sigara TCC ni ngumu sana hisa zake kushuka kwahiyo hata zisipo double basi lazima zitapanda bei kiasi fulani
 
Hivi wasomi wetu wanauchumi wako wapi? Tunategemea kuona mijadala na kupata information muhimu kutoka kwao kwenye post kama hizi lakini usipoangalia unaweza ukasoma post yote bila kuona wazo mwafaka la kuweza kufanyia kazi. Mwanzisha mada ameuliza interest rates za fixed deposits kwenye mabenki lakini mpaka sasa aliyetoa jibu la uhakika!
Eee, nyie wasomi wetu wachumi mko wapi? Njooni huku mtusaidie na maswala ya kuichumi!!
 
Haki ya mungu kila siku mnaanzisha thread mpya! Rate za FNB hizi hapa.
AJ5vSHn.jpg
 
Bora uwekeze kwenye hisa mkuu kuliko fixed deposit. Nimekuwa nafuatilia soko la hisa kuna baadhi ya makampuni hisa zao zimepanda bei Mara mbili katika kipindi cha mwaka mmoja

Hivyo kama utanunua hisa baada ya mwaka mmoja utaziuza kwa bei Mara mbili ya uliyo nunulia. Kwa maana nyingine ni sawa na kudouble hela yako kitu ambacho huwezi pata kwenye fixed deposit.

Kumbuka past performance is not indicative of future results kwa vile hisa imedouble huko nyuma haina maana kuwa itadouble tena mbeleni.

Kuna risk sana kwenye strategy yako, hisa inaweza kushuka/kupanda au kampuni kufilisika kabisa. Na timing ya kuuza na kununua hisa ni kitu kigumu sana pia, almost impossible actually.

Hii ni investment na lazima utambue risk zake ikiwa ni pamoja na kupoteza principal uliyowekeza hisa zikishuka au kampuni kufilisika.

Fixed deposit ina guaranteed results na low risk, benki ikifilisika tu ndo unaweza kupoteza hela.
 
Back
Top Bottom