Ni wakenye wachache wenye mapenzi na mtanzania yeyote. I have been to Kenya for a while, I know them. Hapa wanataka ndoa kwa kuwa wanataka ARDHI and all other benefits associated to the EAC especially employment benefits. Kenyans are gold diggers na akina dada zetu wawe makini maana kule kwa ni lazima awe na mke. Believe me!!! Opportunists!!
let me differ with u bro, hapo kwenye kugeneralize kwamba kenyan women are ugly umekosea. Aisee we hujapita nairobi eeh! Kuna totoz yani kila mmoja kamzidi mwenzake, ni sawa na unavyokuwa dar. Mtazamo wangu tu.Don't get me wrong nairoberry,I'm talkin bout kenyan ladies n nuh south sudanese,kenyan ladies are ugly period me don't tink datin a gyal from kenya.
Ukinitukana utakua umeamua tu kunitukana.Mwali, umeniuliza haya yafuatayo:
'Na kwa nini wanawake wa kenya wapende wanaume wa Tanzania basi?'
Jibu ni kwamba sijuwi na sielewi kwa nini umeniuliza hili swali wakati I put it clear kwamba ni mademu wa kibongo ndiyo walioniambia haya niliyoandika na sikusema mademu wa kikenya. Jamani mbona matatizo hivyo? Ilibidi umquote mtu alitoa hoja juu ya mademu wa Kikenya, omba radhi kabla sijakutukana!
why i love TZ is polygamy is legal, i can have all them women :nod::nod: but i will marry only one. i guess i will have to toss a coin heads and tails to see my choice coz competition ni noma
Na kwa nini wanawake wa kenya wapende wanaume wa Tanzania basi?
by the way rose if you are single i can consider marrying you, tyhough if you were born in 1980 you older than me but dont worry,nimewahi kuendesha gari za aina zote kama mobutu seseseko kuku ngbedu wa zabanga wewe ni mkabila gani??
Hivi tatizo ni u-Kenya,u-Tanzania au malezi?
malezi ndo pbm.
wakenya wamekaa kiliberal sana na wamekuzwa ivyo
watanzania stl tuna ucommunity bin usocialism kdgoooondo unaotusaidia:embarassed2:
beautful dayyyy....laalalalalalaal ohhh bebbb i th i wanna mary uuuuuuuu...:kev:.....mbona mimi nipo conventin jaman?mwenzakomie sista kaka....shirika la wadada wadogowadogo wa bikira maria..so sor dia boy:disapointed:
Much of Nairoberry says is true to some extent; I studied in Nairobi in the late 80's and witnessed Tanzanian women (majority ni wachagga) wanawagombania Kenyan men and vowed not to marry a Tanzanian man when it's time for them to marry. Yes, wanawagombania kama vile almasi bcs wanasema Kenyan men know how to make love as compared to Tz guys na hawana akili za kitoto. I didn't believe it then but that's what they said and stuck in my mind for a while. Then nikapata kazi England mwanzoni mwa miaka ya 90 na kufika kule nikawa namfukuzia mbongo fulani lakini alikuwa mgumu ile mbaya. Siku ya siku akanitokea na nikamweleza yangu ya moyoni akaniambia yeye na wenzake hawatoki na wanaume wa kibongo kwani wana akili za kitoto na hawakuwi/mature. Mwaka juzi nilipokuwa Atlanta, Marekani nilikuta mjadala huu kwa rafiki yangu wakilalamika kwamba mademu wa kibongo hawawapendi kaka zao bali wapopo (Nigerians) and other Africans. Kwa hiyo ni kweli kuwa mademu wa kibongo wana prefer outsiders than kaka zao pengine kutokana na hizo sababu wanazozisema kuwa hatukui/mature.