Much of Nairoberry says is true to some extent; I studied in Nairobi in the late 80's and witnessed Tanzanian women (majority ni wachagga) wanawagombania Kenyan men and vowed not to marry a Tanzanian man when it's time for them to marry. Yes, wanawagombania kama vile almasi bcs wanasema Kenyan men know how to make love as compared to Tz guys na hawana akili za kitoto. I didn't believe it then but that's what they said and stuck in my mind for a while. Then nikapata kazi England mwanzoni mwa miaka ya 90 na kufika kule nikawa namfukuzia mbongo fulani lakini alikuwa mgumu ile mbaya. Siku ya siku akanitokea na nikamweleza yangu ya moyoni akaniambia yeye na wenzake hawatoki na wanaume wa kibongo kwani wana akili za kitoto na hawakuwi/mature. Mwaka juzi nilipokuwa Atlanta, Marekani nilikuta mjadala huu kwa rafiki yangu wakilalamika kwamba mademu wa kibongo hawawapendi kaka zao bali wapopo (Nigerians) and other Africans. Kwa hiyo ni kweli kuwa mademu wa kibongo wana prefer outsiders than kaka zao pengine kutokana na hizo sababu wanazozisema kuwa hatukui/mature.