Intermarriages between Kenyans and tanzanians; is there any official Statistics for this??

Intermarriages between Kenyans and tanzanians; is there any official Statistics for this??

Ni wakenye wachache wenye mapenzi na mtanzania yeyote. I have been to Kenya for a while, I know them. Hapa wanataka ndoa kwa kuwa wanataka ARDHI and all other benefits associated to the EAC especially employment benefits. Kenyans are gold diggers na akina dada zetu wawe makini maana kule kwa ni lazima awe na mke. Believe me!!! Opportunists!!

.

Dotworld, Dotworld, Dotworld, and 1,000,000 others like this

.
 
Don't get me wrong nairoberry,I'm talkin bout kenyan ladies n nuh south sudanese,kenyan ladies are ugly period me don't tink datin a gyal from kenya.
let me differ with u bro, hapo kwenye kugeneralize kwamba kenyan women are ugly umekosea. Aisee we hujapita nairobi eeh! Kuna totoz yani kila mmoja kamzidi mwenzake, ni sawa na unavyokuwa dar. Mtazamo wangu tu.
 
Mwali, umeniuliza haya yafuatayo:


'Na kwa nini wanawake wa kenya wapende wanaume wa Tanzania basi?'

Jibu ni kwamba sijuwi na sielewi kwa nini umeniuliza hili swali wakati I put it clear kwamba ni mademu wa kibongo ndiyo walioniambia haya niliyoandika na sikusema mademu wa kikenya. Jamani mbona matatizo hivyo? Ilibidi umquote mtu alitoa hoja juu ya mademu wa Kikenya, omba radhi kabla sijakutukana!
 
Mwali, umeniuliza haya yafuatayo:


'Na kwa nini wanawake wa kenya wapende wanaume wa Tanzania basi?'

Jibu ni kwamba sijuwi na sielewi kwa nini umeniuliza hili swali wakati I put it clear kwamba ni mademu wa kibongo ndiyo walioniambia haya niliyoandika na sikusema mademu wa kikenya. Jamani mbona matatizo hivyo? Ilibidi umquote mtu alitoa hoja juu ya mademu wa Kikenya, omba radhi kabla sijakutukana!
Ukinitukana utakua umeamua tu kunitukana.
Mi nimeuliza: kama wanaume wa TZ hawafai,
hadi wanawake wa TZ wakapende wakenya (as you suggest)
mbona sasa wanawake wa kenya nao wanapenda wanaume wa TZ?
(unless you say this is not true) Hapo nimekukosea kwa kipi?
Halafu yule kaka yako aliekua anatafuta wanawake wa Tanga yuko wapi?
Mwambie mi ni from Tanga, naweza muunganishia kwa mdogo wangu.
 
why i love TZ is polygamy is legal, i can have all them women :nod::nod: but i will marry only one. i guess i will have to toss a coin heads and tails to see my choice coz competition ni noma

I don't that is your really reason sir. The reason you're running away from your women is this.

[h=1]Revealed: Kenya's region with 'top husband-beaters'[/h]
Husband+beaters.jpg


A lobby that fights for the rights of male victims of domestic violence says its officials will camp in central Kenya for three months to help deal with piling cases of domestic abuse. Maendeleo ya Wanaume chairman Nderitu Njoka said his plate was full, trying to help battered men get legal redress to pull out of abusive marriages.

“Central Province is the worst place because women are in the habit of beating up their men. We are here to give women the ‘red card’ that such behaviour has to come to an end,” he said at the Nyeri Provincial General Hospital, about 150km north of Nairobi, on Wednesday.

“Men should be respected as family heads, but in central Kenya, they have been reduced to the role of fathering children before they are dumped,” he said.

The rising cases of single parenthood, where women were taking it upon themselves to raise children by themselves, and the piling divorce cases were testimony to the sad state of affairs, according to Mr Njoka.
 
Wanasema majani ya mbali ndiyo huwa ya kijani zaidi. Ila ukifika hapo, unaona ni kawaida tu kumbe.

Ngoja kwa hasira sasa nikitafute weekend hii KIKENYA fulani ambacho nimekilea kwa siku nyingi sana.

Nilikuwa sitaki mchezo maana nimeowa, ila sasa naona nawajibika kupandishe BENDERA YA TANZANIA.
Na kwa nini wanawake wa kenya wapende wanaume wa Tanzania basi?
 
now who moved my thread here??? this is an international standard thread that should be in the international forum. but thankfully i have discovered this forum here that i did not know exists. so all the ladies are here. very good. i am a single gentleman looking for a ready woman to be a wife
 
Hivi tatizo ni u-Kenya,u-Tanzania au malezi?
 
by the way rose if you are single i can consider marrying you, tyhough if you were born in 1980 you older than me but dont worry,nimewahi kuendesha gari za aina zote kama mobutu seseseko kuku ngbedu wa zabanga wewe ni mkabila gani??



beautful dayyyy....laalalalalalaal ohhh bebbb i th i wanna mary uuuuuuuu...:kev:.....mbona mimi nipo conventin jaman?mwenzakomie sista kaka....shirika la wadada wadogowadogo wa bikira maria..so sor dia boy:disapointed:
 
Hivi tatizo ni u-Kenya,u-Tanzania au malezi?

malezi ndo pbm.
wakenya wamekaa kiliberal sana na wamekuzwa ivyo
watanzania stl tuna ucommunity bin usocialism kdgoooondo unaotusaidia:embarassed2:
 
malezi ndo pbm.
wakenya wamekaa kiliberal sana na wamekuzwa ivyo
watanzania stl tuna ucommunity bin usocialism kdgoooondo unaotusaidia:embarassed2:

Malezi ndio ni tofauti lakini sio sana, nimekaa Bongo sana, nimezaliwa na kuishi Nairobi, so hizo enviroment mbili ziko karibu kufanana.. tunachukiana hapa kwenye mtandao lakini in real life, tunapendana sana. Ndugu na marafiki zangu wakija Nairobi kutoka Arusha na Dar wanafurahisha ma manzi wa Nairobi sana, they love them, sisi tukienda bongo na marafiki zetu wa Kenya, wanawake wanatupenda, hamna chuki yoyote.. In as much as we denie this fact, it always comes out, we love each other. cheers mates
 
beautful dayyyy....laalalalalalaal ohhh bebbb i th i wanna mary uuuuuuuu...:kev:.....mbona mimi nipo conventin jaman?mwenzakomie sista kaka....shirika la wadada wadogowadogo wa bikira maria..so sor dia boy:disapointed:

wala usijali mapenzi yetu yanaweza kukutoa huko conventin, hata mungu atafurahia zaidi nikikubikiri :love: badaae tupate watoto, alafu tunaweza kumpeleka mtoto mmoja wetu uko conventin kama zawadi kwa mungu :smile-big: achia hiyo story za bikira maria madada wengine wala si wewe
 
Much of Nairoberry says is true to some extent; I studied in Nairobi in the late 80's and witnessed Tanzanian women (majority ni wachagga) wanawagombania Kenyan men and vowed not to marry a Tanzanian man when it's time for them to marry. Yes, wanawagombania kama vile almasi bcs wanasema Kenyan men know how to make love as compared to Tz guys na hawana akili za kitoto. I didn't believe it then but that's what they said and stuck in my mind for a while. Then nikapata kazi England mwanzoni mwa miaka ya 90 na kufika kule nikawa namfukuzia mbongo fulani lakini alikuwa mgumu ile mbaya. Siku ya siku akanitokea na nikamweleza yangu ya moyoni akaniambia yeye na wenzake hawatoki na wanaume wa kibongo kwani wana akili za kitoto na hawakuwi/mature. Mwaka juzi nilipokuwa Atlanta, Marekani nilikuta mjadala huu kwa rafiki yangu wakilalamika kwamba mademu wa kibongo hawawapendi kaka zao bali wapopo (Nigerians) and other Africans. Kwa hiyo ni kweli kuwa mademu wa kibongo wana prefer outsiders than kaka zao pengine kutokana na hizo sababu wanazozisema kuwa hatukui/mature.


Kashifa za kugushi hizo. Hivi ukiambiwa wanaume wa kitanzania hawajui kufanya mapenzi unakubali? Uliwatest. hizi story nilitegemea zitoke kwa wanawake
 
Back
Top Bottom