Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 454
- 1,270
Nampenda sana Vannesa Mdee mtoto ana swaga sana. wasanii wa kimataifa tanzania kwa sasa ni V.Money na Diamond tu wengine waigizaji tu. sijui kuna mwingine anajiita mkurugenzi hamna kitu pale.
ebu siki ngoma hii ya v.money https://youtu.be/tWJgznNTEKM
na sikiliza hii ngoma ya Chibu Dangote hatari
https://youtu.be/324gOVazRvQ
Diamond na Vannesa ebu fanyeni ngoma ya pamoja Watanzania mamilioni tunaowasupport tufurahi. kuna Wasanii wengine wanaigiza tu mara sijui wamekuwa wakurugenzi..Wasanii Tanzania wakimataifa wawili tu. big up sana kwa V.money na Chibu dangote