International artists Tanzania ni Diamond na Vanessa Mdee tu, wengine mnazingua

Lakasa chika7

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
454
Reaction score
1,270
Nampenda sana Vannesa Mdee mtoto ana swaga sana. wasanii wa kimataifa tanzania kwa sasa ni V.Money na Diamond tu wengine waigizaji tu. sijui kuna mwingine anajiita mkurugenzi hamna kitu pale.

ebu siki ngoma hii ya v.money https://youtu.be/tWJgznNTEKM

na sikiliza hii ngoma ya Chibu Dangote hatari
https://youtu.be/324gOVazRvQ
Diamond na Vannesa ebu fanyeni ngoma ya pamoja Watanzania mamilioni tunaowasupport tufurahi. kuna Wasanii wengine wanaigiza tu mara sijui wamekuwa wakurugenzi..Wasanii Tanzania wakimataifa wawili tu. big up sana kwa V.money na Chibu dangote
 
huo ni mtazamo katiba imeruhusu na HAYO ni matamanio yako.ya moyo na maoni yako ya macho
 
Nampenda sana Vannesa Mdee mtoto ana swaga sana. wasanii wa kimataifa tanzania kwa sasa ni V.Money na Diamond tu wengine waigizaji tu. sijui kuna mwingine anajiita mkurugenzi hamna kitu pale.

ebu siki ngoma hii ya v.money https://youtu.be/tWJgznNTEKM

na sikiliza hii ngoma ya Chibu Dangote hatari
Diamond na Vannesa ebu fanyeni ngoma ya pamoja Watanzania mamilioni tunaowasupport tufurahi. kuna Wasanii wengine wanaigiza tu mara sijui wamekuwa wakurugenzi..Wasanii Tanzania wakimataifa wawili tu. big up sana kwa V.money na Chibu dangote

neno International wewe unalielewaje..? na unalilinganisha vipi na usanii na unatumia vigezo vipi kumuweka msanii kwenye hilo neno International..?
 
Nashukuru mungu wengi kwa sasa wameuona ukweli na kuukubali,safi sana WATZ.
 
Nampenda sana Vannesa Mdee mtoto ana swaga sana. wasanii wa kimataifa tanzania kwa sasa ni V.Money na Diamond tu wengine waigizaji tu. sijui kuna mwingine anajiita mkurugenzi hamna kitu pale.

ebu siki ngoma hii ya v.money https://youtu.be/tWJgznNTEKM

na sikiliza hii ngoma ya Chibu Dangote hatari
https://youtu.be/324gOVazRvQ
Diamond na Vannesa ebu fanyeni ngoma ya pamoja Watanzania mamilioni tunaowasupport tufurahi. kuna Wasanii wengine wanaigiza tu mara sijui wamekuwa wakurugenzi..Wasanii Tanzania wakimataifa wawili tu. big up sana kwa V.money na Chibu dangote

Povu tupu
 
Back
Top Bottom