International Friendly Match: Simba SC Vs Bandari FC, burudani ya pekee Uwanja wa Taifa

International Friendly Match: Simba SC Vs Bandari FC, burudani ya pekee Uwanja wa Taifa

46' Kipindi cha pili kimeanza..mabadiliko Simba SC

Ametoka Joseph Peter, na ameingia Yusuph Mlipili
 
leo simba wamesahau kutoa rushwa kwa wachezaji wa bandari ndio maana hawajapata goli, kipindi cha pii watakuwa wamewatumia M PESA ili washinde
 
Wakuu hii azam app ni mimi ndio haioneshi kwangu au hata kwenu ,,, maana nikufingua naambiwa ipo kwenye matengenezo !
 
hahaha huyu Wilker na uhakika hakuwa mchezaji huyu, alikuwa muuza madawa ya kulevya kwenye viunga vya jiji la Rio De Janeiro
 
56' Bandari FC wanakosa bao la wazi..baada gonga safi lango la Simba SC
 
58' Anatoka Wilker anaingia Ndemla upande wa Simba SC

Simba SC 0-0 Bandari FC
 
halafu hii simba mbovu ndio iko kwenye top 20 ya CAF, hii hata top 100 haistahili
 
65' Ndemla anafumua shuti kali Oooooopp...Golikipa anadaka, ilikuwa hatari lango la Bandari FC

Ametoka Deo Kanda ameingia Rashid Juma upande wa Simba SC
 
71' Kakolanya anaokoa moja ya hatari, ilikuwa Bandari FC wahesabu bao la kwanza

Simba SC 0-0 Bandari FC
 
77' Goooooooooooooooooooaaal Goooooooooooaaal Ibrahim Ajibu anaandika bao kwanza kufuatia krosi safi iliyopigwa na Rashid Juma..!

Simba SC 1-0 Bandari FC
 
Back
Top Bottom