Simply hujui mpira, tupishe!!Hao wote hamna kitu huyo fraga unayemsifia hata amfikii mkude sisi tunataka mchezaji anayekuja hapa awe ana kiwango kikubwa kuliko mchezaji wa ndani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simply hujui mpira, tupishe!!Hao wote hamna kitu huyo fraga unayemsifia hata amfikii mkude sisi tunataka mchezaji anayekuja hapa awe ana kiwango kikubwa kuliko mchezaji wa ndani.
Fraga Ni mzuri kwa kucheza kwa usahihi mipira ya pasi.Kwa jicho la kitaalamu Gerson fraga veira ni mchezaji aliyetimia. Complete player. Wabrazil wengine Santos 60%, walker henrique mmmh bado hajawafiti 35%, bado yupo chini Sana.
Salamba Ni mwenyewe alijibwetesha, hakutaka kutia bidii ya mazoezi na kiwango chake kilizidi kushuka siku Hadi siku.Inashangaza eti Simba inataka ilitaka kupiteza vipaji Kama Salamba na Mohamed Ibrahim,Hata amlipili ni Hazina angeendeleza Moto wa 2017 Leo angekuwa ni lulu ya Taifa
Santos Umri unamsumbua, akikutana na washambuliaji wenye kasi anapata shida sana, angalia kwa Makini mechi na Mtibwa Sugar.Hata Santos umekosea kumpa 60%, kwangu nampa 95%, a very intelligent player, parnership yake either na Nyoni au na Wawa ipo vizuri sana.
Kama ungemuona jana alivyokuwa anaenda kucover majukumu ya dogo namba 3 alipokuwa amezidiwa usingempa 60%, very unfair of him...
Mkuu wewe ni shabiki maandazi.Hao wote hamna kitu huyo fraga unayemsifia hata amfikii mkude sisi tunataka mchezaji anayekuja hapa awe ana kiwango kikubwa kuliko mchezaji wa ndani.
Achana naye huyo asikupotezee muda.Simply hujui mpira, tupishe!!
Mkuu, huyu fraga muda si mrefu watu wataanza kumwimbia wimbo, ni mkata umeme wa hatari, mpe muda kidogo. Hata James Kotei alivyoanza walimponda Sana.Fraga Ni mzuri kwa kucheza kwa usahihi mipira ya pasi.
Ila hakabi kwa usahihi na anacheza rafu Sana.
Kwa nafasi yake namchagua Ndemla.
Wewe unamuona Bora kwasababu anacheza na timu Kama ruvushooting n.k ngojea tukutane na timu Kama Tp mazembe,Esperance uone huyo mbrazili wako atan'gara? Mashabiki aina yako ndo mtaifanya Simba isifike mbaliMkuu wewe ni shabiki maandazi.
Kwa observation yangu, jamaa bado ni mzito Sana Hana kasi, kukaba man to man yupo vizuri sana, mipira ya juu ana-win vizuri. Nakubaliana na hoja zako though.Hata Santos umekosea kumpa 60%, kwangu nampa 95%, a very intelligent player, parnership yake either na Nyoni au na Wawa ipo vizuri sana.
Kama ungemuona jana alivyokuwa anaenda kucover majukumu ya dogo namba 3 alipokuwa amezidiwa usingempa 60%, very unfair of him...
Hapa nakuunga mkono 100% hata sub ya jana ya Deo Kanda na kuingia Rashid Juma Kiberenge amekuwa bora zaidi na kutengeneza goli.Tunamshukuru Sana Mfadhiri wa Simba Sports Club, kwa kuiwezesha timu kujiendesha bila migogoro na kuleta maendeleo ya haraka sana kwa kipindi kifupi.
Namtahadharisha Mwenyekiti mpya atakayechaguliwa kumrithi Mwenyekiti aliyejiuzuru.
Ampe ushirikiano mzuri mwekezaji.
Simba Sports Club msimu huu imestahili kutolewa mapema katika mashindano ya CAF.
Usajiri wa wachezaji wa Kigeni imekuwa wa kiwango cha chini sana.
Mchezaji wa Kigeni aliyepaswa kusajiriwa Simba ni Ali Abdalah Shiboub, ndiye mwenye kiwango cha Kimataifa.
Hao wengine viwango vyao Ni vya chini sana ukilinganisha na vya wachezaji wa hapa ndani.
Labda tu Kama Mfadhiri ameridhika kuwalipa au ndio malengo yake.
Nasema katika msimu ujao tutakapo shiriki mashindano ya kimataifa hao wachezaji hawatatufikisha tunakotarajia kufika.
Pia nawaona kama wanachangia kuua vipaji vya wachezaji wetu wa ndani.
Maana wanaziba nafasi kwa wachezaji wa ndani kukuza vipaji vyao ili watusaidie hata kwenye timu za taifa hapo baadae.
Pia wanawanyima nafasi wachezaji wa kikosi B kupanda na kukuza uwezo wao.
Tunawahitaji vijana Kama Rashidi Juma wacheze mara kwa mara ili kuisaidia timu ya taifa, tunawahitaji akina Mlipili, na wengineo wajenge uzoefu ili waende kutuwakilisha katika mashindano ya wachezaji wa ndani CHAN.
Tunataka timu ya Simba iwe chimbuko la wachezaji wa ndani wenye uwezo wa kusakata kabumbu hadi wapate soko nje ya nchi, Kama atakuja mchezaji wa nje basi awe katika kiwango cha Shibobu au zaidi.
Sasa hawa wachezaji wetu wa Kigeni wenye viwango vya kawaida wanakuwa kikwazo kwa maendeleo ya soka letu la ndani.
MO Kama anamalengo chanya na clabu ya Simba basi.
Katika dirisha dogo afanye kama nilivyoshauri hapo juu , Ila Kama anataka Simba icheze Mpira wa maonesho na Swaga huku ikiendelea kuondolewa na UD Songo basi sawa aiache timu Kama ilivyo.
Ndemla sio kiungo mkabaji, tafuta mwingineFraga Ni mzuri kwa kucheza kwa usahihi mipira ya pasi.
Ila hakabi kwa usahihi na anacheza rafu Sana.
Kwa nafasi yake namchagua Ndemla.
Mechi ya jana ilikuwa ngumu sana, Bandari ni wazuri na wanashambulia kwa kasi ila aliwamudu kwa sababu central defender anatakiwa awe na akili zaidi kuliko hata kasi.Santos Umri unamsumbua, akikutana na washambuliaji wenye kasi anapata shida sana, angalia kwa Makini mechi na Mtibwa Sugar.
Kimataifa ukimweka awazuie Waarabu utamkataa.
Simba inahitaji Mabeki vijana wenyenguvu na Kasi kubwa.
Mtangazaji jana alikuwa anasema jamaa anaonekana kama mayai ila ukikutana nae lazima ukae chini, ana nguvu na stamina sana halafu anacheza 'book footbal'.Mkuu, huyu fraga muda si mrefu watu wataanza kumwimbia wimbo, ni mkata umeme wa hatari, mpe muda kidogo. Hata James Kotei alivyoanza walimponda Sana.
Ndio, na huo ndio uhalisia wa Timu ya Simba kwasasa.Hapa nakuunga mkono 100% hata sub ya jana ya Deo Kanda na kuingia Rashid Juma Kiberenge amekuwa bora zaidi na kutengeneza goli.